Majibu kwa thread, "Mungu kwenye Quran kusema kwamba Jua hutuama kwenye kisima cha matope mazito alikuwa na maana gani?"

Majibu kwa thread, "Mungu kwenye Quran kusema kwamba Jua hutuama kwenye kisima cha matope mazito alikuwa na maana gani?"

Nawakumbusha tu mwanaume wa kiisilamu kupaka wanja au bleach ni suna..

kuna baadhi ya mabo yapo kwenye dini zote ukristo na uisilamu unaona kabisa hizi ni tamaduni za watu ambazo huwezi apply huku kwetu ila yamefanywa kama sheria ndani hizo dini na ni mapungufu makubwa sana.
Wanyamwezi na wasukuma Wana utamaduni wa wanaume kusuka,Tena twende kilioni kabisa
 
Nikweli kuna ambao hawakufa na walishuhudia alipofufuka akiwa na mamlaka yote na wakashuhudia alivyopaa pia so ni kweli walimwona akiwa ktk ufalme wake.

Ndio yoyote atayemfuata atakuwa ni shahidi na mfano kipindi cha hukumu wala haikuwa na maan ya wanafuzi 12 tu.

Petro aka peter anashimika sana kwenye imani ya ukristo ni miongoni mwa wamiseni wa mwanzo kueneza injili duniani na ni mtume aliyekuwa amejaaliwa upako ma roho mtakatifu alikuwa juu yake kwa hali ya juu na ndio aliyesababisha kuanzishwa kwa kanisa katoliki.

Ni kweli alienda nae peponi, peponi ni sehemu ya roho safi zinapoelekea kabla ya kwenda mbinguni siku ya mwisho ni sawa na jehnam zinapokwenda mtu mdhambi then kuzimu tofautisha hayo maeneo.

Ndugu yangu usimfananishe yesu na mtume Muhammad utakula mwelaka asubuh tu we ujiulizi hadi kitabu chako tukufu kinakiri hakuwa na dhabi na amepaa juu huogopi??

Nikweli kuna ambao hawakufa na walishuhudia alipofufuka akiwa na mamlaka yote na wakashuhudia alivyopaa pia so ni kweli walimwona akiwa ktk ufalme wake.

Alikuambia nani ??? au ulikuwepo ??
Ndio yoyote atayemfuata atakuwa ni shahidi na mfano kipindi cha hukumu wala haikuwa na maan ya wanafuzi 12 tu.

Kwa mujibu wa tafsiri ya biblia ipi , ambapo yesu aliitoa hiyo tafsiri ya maneno yake??
Petro aka peter anashimika sana kwenye imani ya ukristo ni miongoni mwa wamiseni wa mwanzo kueneza injili duniani na ni mtume aliyekuwa amejaaliwa upako ma roho mtakatifu alikuwa juu yake kwa hali ya juu na ndio aliyesababisha kuanzishwa kwa kanisa katoliki.

Mbona Yesu alimwita shetani ?? ni wapi aliposema sasa Petro si shetani tena??

Ni kweli alienda nae peponi, peponi ni sehemu ya roho safi zinapoelekea kabla ya kwenda mbinguni siku ya mwisho ni sawa na jehnam zinapokwenda mtu mdhambi then kuzimu tofautisha hayo maeneo.

Tupe aya Yesu alikuwa na huyo mwizi peponi ??
Ndugu yangu usimfananishe yesu na mtume Muhammad utakula mwelaka asubuh tu we ujiulizi hadi kitabu chako tukufu kinakiri hakuwa na dhabi na amepaa juu huogopi??

Kweli kwa mujibu wa biblia ni vigumu kumfananisha Yesu na Mtume muhammad

Sisi Waislamu tunaamini kwamba Bwana Yesu a.s. alikuwa Nabii wa Mungu. Na manabii wote ni watukufu na wapendwa wa Mwenyezi Mungu. Wanatoka kutoka koo takatifu.

Kuhusu ukoo wa Bwana Yesu Kristo Masihi Mwana wa Mariamu a.s. Qur'an Tukufu inaeleza kwamba:

A. Masihi bin Mariamu siye ila ni Mtume tu, bila shaka mitume wote wamekwisha fariki kabla yake, na mama yake ni mwanamke mkweli. (Qur'an 5:76).

B. (Ewe Mariam) baba yako hakuwa mtu m’baya wala mama yako hakuwa asherati. (Qur'an 19:29).

Kwa hiyo sawa na mafundisho ya dini ya Kiislamu tunamheshimu Nabii Isa a.s. (Yesu Kristo) na vile vile wazee wake.

Sisi tunashangaa sana wakati tunaposoma Biblia, tunaona Biblia inamfedhehesha Yesu Kristo vibaya sana.

Licha ya kuwa Mtume wa Mungu sawa na Biblia, Bwana Yesu haonekani hata mtu mwenye ukoo safi, bali tunalazimika kumtafautisha Isa a.s. na Yesu.

Biblia inasema kwamba:

1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).

2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1).

3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo 1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18).

4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).

Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu.

Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia.

Na kama Wakristo wanang’ang’ania usahihi wa Biblia, basi wajuwe kwamba Biblia inasema:

“Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).

Enyi ndugu Wakristo! Kama mnaona kwamba Biblia bado ni sahihi basi mjue kwamba Yesu ni kizazi cha wazinifu, hawezi kuingia katika mkutano wa Mungu.

Kama hawezi hata kuingia katika mkutano wa Mungu, ninyi mnamtegemea nini?

Kama mnaona kwamba Yesu Kristo ni mtakatifu lakini Biblia imechafuka kwa mikono ya waandishi, karibuni katika dini ya Kiislamu.

Qur'an kitabu cha Mungu kitawatoshelezeni.

Maana sasa hakuna njia ya kusalimika isipokuwa katika dini ya Kiislam.

Kwahiyo karibuni sana.
 
Mkuu tunatakiwa kusoma Quran ilichoandika ama kusoma tafsiri binafsi za hao watu uliowataja hapo juu? Na ni kwa nini tusome tafsiri zao, wao ni kina nani kama Allah alimshushia Mohamed yeye mwenyewe.

Kwa maelezo yako ni kwamba Quran ina maneno ya watu binafsi na ya Allah, sasa yapi ya Allah na yapi ya watu wengine binafsi? Na hayo ya watu binafsi yaliingiaje kwenye Quran wakati tunaaminishwa kwamba Quran ilishushwa kwa mtume direct kama vile Bluetooth.

Usinilishe maneno kinywani mwangu , Tulia usome vizuri ni kitu gani nimeandika .Ni wapi nilisema Quran ina maneno ya watu na ya Allah ?? Chumvi umeitia bila kiasi mpaka chakula kimekuwa ndiyo chumvi.
 
Alikuambia nani ??? au ulikuwepo ??

Kwa mujibu wa tafsiri ya biblia ipi , ambapo yesu aliitoa hiyo tafsiri ya maneno yake??

Mbona Yesu alimwita shetani ?? ni wapi aliposema sasa Petro si shetani tena??

Tupe aya Yesu alikuwa na huyo mwizi peponi ??

Kweli kwa mujibu wa biblia ni vigumu kumfananisha Yesu na Mtume muhammad

Sisi Waislamu tunaamini kwamba Bwana Yesu a.s. alikuwa Nabii wa Mungu. Na manabii wote ni watukufu na wapendwa wa Mwenyezi Mungu. Wanatoka kutoka koo takatifu.

Kuhusu ukoo wa Bwana Yesu Kristo Masihi Mwana wa Mariamu a.s. Qur'an Tukufu inaeleza kwamba:

A. Masihi bin Mariamu siye ila ni Mtume tu, bila shaka mitume wote wamekwisha fariki kabla yake, na mama yake ni mwanamke mkweli. (Qur'an 5:76).

B. (Ewe Mariam) baba yako hakuwa mtu m’baya wala mama yako hakuwa asherati. (Qur'an 19:29).

Kwa hiyo sawa na mafundisho ya dini ya Kiislamu tunamheshimu Nabii Isa a.s. (Yesu Kristo) na vile vile wazee wake.

Sisi tunashangaa sana wakati tunaposoma Biblia, tunaona Biblia inamfedhehesha Yesu Kristo vibaya sana.

Licha ya kuwa Mtume wa Mungu sawa na Biblia, Bwana Yesu haonekani hata mtu mwenye ukoo safi, bali tunalazimika kumtafautisha Isa a.s. na Yesu.

Biblia inasema kwamba:

1. Kitabu cha ukoo wa Yesu Kristo, mwana wa Daudi mwana wa Ibrahim. (Mathayo 1:1).

2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1).

3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo 1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18).

4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).

Hawa mabibi wote wa Yesu Kristo walikuwa makahaba na wazinifu.

Lakini sisi hatukubaliani na Biblia bali tunaona kwamba ni taka taka zilizoongezwa katika Biblia.

Na kama Wakristo wanang’ang’ania usahihi wa Biblia, basi wajuwe kwamba Biblia inasema:

“Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie aliye wake katika mkutano wa Bwana. (Kumb. la Torati 23:2).

Enyi ndugu Wakristo! Kama mnaona kwamba Biblia bado ni sahihi basi mjue kwamba Yesu ni kizazi cha wazinifu, hawezi kuingia katika mkutano wa Mungu.

Kama hawezi hata kuingia katika mkutano wa Mungu, ninyi mnamtegemea nini?

Kama mnaona kwamba Yesu Kristo ni mtakatifu lakini Biblia imechafuka kwa mikono ya waandishi, karibuni katika dini ya Kiislamu.

Qur'an kitabu cha Mungu kitawatoshelezeni.

Maana sasa hakuna njia ya kusalimika isipokuwa katika dini ya Kiislam.

Kwahiyo karibuni sana.
Wewe bado unasafari ndefu sana kuelewa biblia.
Mm nilisoma Quran nikiwa na goodwill ya kuijua hasa sio kwa ajili ya kuitumia kukosoa nisingeielewa.

Nimeielewa na kuna sura ninazipenda sana ila kuna nyingine hapana the same to biblia pia..
Mm napendelea kudiscuss au kuweka mjadala na mtu ambaye ni free minded na mtu wa research haswa..sio mwislamu au mkristo mapokeo.

Mwaka huu nataka nisome kidogo buddhism na Hinduism for my awareness kuhusu Dunia na Mungu.
 
Wewe bado unasafari ndefu sana kuelewa biblia.
Mm nilisoma Quran nikiwa na goodwill ya kuijua hasa sio kwa ajili ya kuitumia kukosoa nisingeielewa.

Nimeielewa na kuna aya ninazipenda sana ila kuna nyingine hapana the same to biblia pia..

Aya gani ulizipenda mkuu kwenye Qur'an na zipi hukuzipenda
 
Wewe bado unasafari ndefu sana kuelewa biblia.
Mm nilisoma Quran nikiwa na goodwill ya kuijua hasa sio kwa ajili ya kuitumia kukosoa nisingeielewa.

Nimeielewa na kuna aya ninazipenda sana ila kuna nyingine hapana the same to biblia pia..
Mm napendelea kudiscuss au kuweka mjadala na mtu ambaye ni free minded na mtu wa research haswa..sio mwislamu au mkristo mapokeo.

Nina safari refu kuielewa biblia ipi ??

Dr. J.K. Elliott, wa kitengo cha Thiolojia na Tafiti za Kidini wa Chuo Kikuu cha Leeds, ameandika makala iliyochapishwa katika jarida la The Times, London (10 Septemba, 1987) yenye kichwa "Kutazama mizizi ya Biblia".

Ndani ya makala yake, ameeleza kuwa: "Zaidi ya miswada 5,000 inayojumuisha Agano Jipya lote au sehemu yake iliyo katika lugha ya asili.

Miswada hii imepangika katika madaraja ya kuanzia karne ya pili hadi kuvumbuliwa kwa uchapaji.

Imekisiwa kuwa hakuna hata watu wawili wanaoafikiana kwa kila kitu.

Bila shaka, maandishi yote ya mkono yanastahili kuwa na makosa ya bahati mbaya wakati wa kunukuu.

Hata hivyo, katika kazi za kitiolojia si jambo la kushangaza kuwa mabadiliko ya kufikirika sana yaliingizwa ili kuondosha au kubadili maelezo ambayo waandishi wanayaona kuwa hayapendezi.

Pia kulikuwa na mwelekeo wa wanukuzi wa kuongeza ufafanuzi au fasiri.

Mabadiliko ya hadhari yanadhaniwa kuwa yameingizwa katika zama za mwanzo kabla ya kuanzishwa hali ya kanisa ya Agano Jipya.

Mwandishi aliendelea kufafanua kuwa "hakuna hata mswada mmoja wenye matini isiyobadilishwa kutoka katika uasilia wa ukamilifu wake, na kwa hiyo, "hakuna awezae kuchagua mswada wowote miongoni mwa miswada hiyo na kuuamini kwa imani ya pekee eti mswada huo ndio wenye ukiritimba wa kuwa ndio maneno asilia ya watunzi."

Aliendelea kusema zaidi:

"Kama mtu ataendelea kupinga na kudai kuwa maandiko asilia yamenusurika pahala fulani kwenye maelfu ya miswada iliyopo, basi mtu huyo atalazimika asome miswada yote hiyo, hatua kwa hatua, ili kukusanya tofauti miongoni mwa miswada hiyo, kisha atathimini, lahaja kwa lahaja, ili ajue ni mswada upi wenye [matini] asilia na upi ndio wa matini ya nafasi ya pili.

Matarajio kama hayo yaliwakatisha tamaa wasomi wengi wa Biblia walioaminia yaliyomo katika matini zilizochapwa za zama za mwanzo, wasomi hao walichukua ushahidi wa miswada waliyoiona kuwa ni bora.

Hata matoleo ya Agano Jipya kwa Kigiriki yaliyochapwa kisasa, vilevile mafafanuzi ya kisasa yametegemea chapa hizo za zama za mwanzo; kwa kawaida hufuata utaratibu huu wa kujenga matini zao kwa kutumia msingi finyu ambao hauonekani kuwa ni wa asili kikamilifu."
 
Wewe bado unasafari ndefu sana kuelewa biblia.
Mm nilisoma Quran nikiwa na goodwill ya kuijua hasa sio kwa ajili ya kuitumia kukosoa nisingeielewa.

Nimeielewa na kuna aya ninazipenda sana ila kuna nyingine hapana the same to biblia pia..
Mm napendelea kudiscuss au kuweka mjadala na mtu ambaye ni free minded na mtu wa research haswa..sio mwislamu au mkristo mapokeo.

Mwaka huu nataka nisome kidogo buddhism na Hinduism for my awareness kuhusu Dunia na Mungu.

Matoleo ya Biblia ya Kingereza

Katika utangulizi wa toleo la Biblia linalotumika sana, la Revised Standard Version, mtunzi ameandika yafuatayo:

"Biblia ya Revised Standard Version, ni marekebisho yaliyoidhinishwa ya toleo la American Standard Version, lilochapwa 1901, na ambalo nalo pia lilikuwa ni marekebisho ya toleo la King James Version, lilochapwa 1611…

Toleo la King James Version lililazimika kushindana na Biblia ya Geneva Bible (1560) juu ya kutumiwa na watu wengi; lakini hatimaye lilienea, na kwa zaidi ya karne mbili na nusu hakuna tafsiri ya Biblia kwa Kingereza iliyoandikwa na kuidhinishwa. Toleo la King James Version likawa ndilo "toleo lililoidhinishwa" kwa wanaoongea Kingereza…

Ndio, Toleo la King James Version lina dosari kubwa mno.

Kufikia katikati ya karne ya kumi na tisa, maendeleo ya tafiti za Kibiblia vilevile kugunduliwa kwa miswada mingi ambayo ni ya kale zaidi kuliko ile iliyotegemewa na Toleo la King James Version, yamefanya toleo hilo kuwa ni wazi kuwa lina dosari nyingi na mbaya mno na kusababisha kuitishwa kufanyika marekebisho ya tafsiri ya kingereza.

Kazi ikafanywa, kwa idhini ya Kanisa la Uingereza, mwaka 1870.

Toleo la Biblia la English Revised Version lilichapwa mwaka 1881 – 1885; na Toleo la American Standard Version, lahaja zake zimejiingiza katika upendeleo wa wanazuoni wa Kimarekani walioshiriki katika kazi hiyo, nalo lilichapishwa mwaka 1901."

Toleo la King James Version la Agano Jipya liliegemea matini za kigiriki zilizovurugwa kimakosa, ikiwemo kujilimbikizia makosa ya karne ya kumi na nne ya kunukuu miswada.

Nalo kimsingi, lilikuwa ni matini ya Kigiriki ya Agano Jipya kama lilivyoandikwa na Beza, 1589, ambaye kwa ukaribu zaidi alifuata chapa hiyo ya Erasmus, 1516 – 1535, iliyoegemea juu ya miswada ya zama za kati.

Mswada wa kwanza na ulio bora zaidi miongoni mwa miswada minane aliyoishirikisha ulikuwa ni wa karne ya kumi, naye akautumia kidogo mno mswada huo kwa sababu unatofautiana sana na matini za kawaida zilizopokelewa;

Beza alipata miswada miwili ya thamani kubwa mno, ikiwa ni ya karne ya tano na ya sita, lakini aliitumia kidogo mno kwa sababu inatofautiana na matini iliyochapwa ya Erasmus."

"… Toleo la American Standard Version lilipewa haki miliki ya kuzuia matini yake isibadilishwe bila idhini.

Mnamo 1928 haki hiyo ilipatikana kutoka katika Baraza la Kimataifa la Elimu na Dini, na kwa hiyo likawekwa katika umiliki wa makanisa ya Marekani na Canada yaliyoshiriki katika baraza hilo kwa kupitia bodi zao za elimu na uchapaji.

Baraza hilo liliainisha kamati ya wasomi kusimamia matini ya ya Toleo la American Standard Version na kufanya uchunguzi na kujua kama marekebisho zaidi yanahitajika…

[Baada ya miaka miwili] uamuzi ulifikiwa; nao ni kuwa; kunahitaji marekebisho kikamilifu katika toleo la 1901, ambalo litabakia kuwa lipo karibu na mapokeo ya Tyndale-King James kama itakavyokuwa… Mnamo 1937 na marekebisho yalipewa idhini kwa kura ya Baraza hilo." Inaendelea
 
Al nisaai hii ni aya yangu pedwa kabisa.

"Wasomi thelathini na wawili walitumika kama wanakamati wa kamati iliyotakiwa kufanya marekebisho hayo, nao waliyalinda mabadiliko na kuishauri Bodi ya Ushauri ya wawakilishi hamsini wa madhehebu ili kushirikiana kufanya kazi hiyo…

Toleo la Agano Jipya la Revised Standard Version lilichapwa mwaka 1946.

Toleo la Biblia la Revised Standard Version, linajumuisha Agano la Kale na Jipya, nalo lilichapwa mnamo Septemba 30, 1952, na likakubalika sana.

Katika Toleo la Biblia la Revised Standard Version, idadi kubwa ya mistari muhimu kutoka katika Toleo la King James Version ya Agano la Kale na Jipya, ambayo wasomi waliiona kuwa imeongezwa katika karne za baadaye, iliondoshwa kutoka katika matini na kuwekwa katika tanbihi. Kwa mfano, kifungu maarufu sana katika Injili ya Yohana 8:7 kinachohusu mzinzi aliyetakiwa kupigwa mawe.

Inasemakana Yesu amesema: "Nao walipozidi kumhoji, alijiinua, akawaambia, Yeye asiye na dhambi miongoni mwenu na awe wa kwanza wa kumtupia jiwe."

Tanbihi za Toleo la King Jemes (1952) zinaeleza "Mamlaka za kale mno zinaondosha aya za 7:53 – 8:11" Kwa kuwa mswada namba 1209 wa Vatikani na mswada wa Sinaitic ya tangu karne ya nne haina aya kumi na mbili hizo, wasomi wa Biblia wamefikia uamuzi wa kuwa maneno hayo hayatoki kwa Yesu.

Mfano mwingine ni kifungu kinachohusishwa na Yesu na kinachotumika kama ushahidi wa rejeo la Utatu katika Maandiko matakatifu.

Katika 1 Yohana 5:7, Inasemakana Yesu amesema: "Kuna watatu wanaoshuhudia huko mbinguni, Baba, Neno na Roho Mtakatifu: na watatu hawa ni mmoja"

Msomi maarufu sana wa Biblia, Benjamin Wilson, anaandika kuwa; maandiko haya yanayohusu "ushahidi wa mbinguni" hayamo katika mswada wowote wa Kigiriki ulioandikwa kabla ya karne ya kumi na tano! Kwa hiyo, katika Toleo la Biblia la Revised Standard Version, mstari huu umefutwa na kutolewa katika matini tena bila ya kuwekewa tanbihi.

Hata hivyo, ili kuwe na idadi ya mistari iliyosawa baina ya Toleo la Biblia la Revised Standard Version, na ile ya Toleo la Biblia la King James Version, warejeaji wameugawa mstari wa sita na kuwa mistari miwili.

Toleo la pili la tafsiri ya Agano Jipya (1971) limefaidika kwa tafiti za matini na isimu tangu lilipotolewa toleo la The Rivised Standard Version, kwanza lilitolewa mwaka 1946.

Kwa hiyo, baadhi ya vifungu vilivyofutwa zamani viliandikwa upya, na baadhi ya vifungu vilivyokubaliwa vilifutwa.

"Vifungu viwili, vya mwisho mrefu wa Marko (16:9-20) na kifungu cha mwanamke aliyekamatwa kwa uzinzi (Yohana 7:53 – 8:11), vilirejeshwa katika matini, zikitenganishwa kwa nafasi wazi na zikiambatana na nukuu za kauli taarifa…

Kukiwa na kuungwa mkono na miswada miwili, vifungu viwili, Luka 22:19b-20 na 24:51b, vilirejeshwa katika matini, na kifungu kimoja, Luka 22:43-44, kiliwekwa katika tanbihi, kama ni ibara katika Luka 12:39."
 
2. Salmoni akamzaa Boazi kwa Rahabu. (Mathayo 1:5) Rahabu alikuwa kahaba (Yoshua 2:1).
Hii sentensi imenifanya nikuone bado huijui biblia au basi haupo makini..rahabu wa solomoni si rahabu wa kipindi cha joshua ni ni watu wawili tofauti.
3. Yuda alimzaa Peresi na Zera kwa Tamari (Mathayo 1:3). Tamari alikuwa kahaba na mzinifu. (Mwanzo 38:13-18).
Kosa pia umelifanya hapo ni hilohilo..
4. Daudi alimzaa Sulemani kwa yule mke wa URIA (Mathayo 1:6). Beth Sheba mkewe URIA alipata mimba ya zinaa. (2 Samuel 11:2-5).
Haikuwezekana kuficha tendo la hila la mfalme, na kashfa ikazuka huko Yerusalemu. Nabii Nathani aliilaani waziwazi nyumba ya Daudi, akiilaani kwa mapigano ya jamaa. Kwa kuongezea, alitabiri kuwa mtoto aliyezaliwa na Bathsheba atakufa. Na ndivyo ilivyotokea. Ndipo Daudi akatubu mbele za Bwana, na Nathani akatangaza kuwa amesamehewa. Bathsheba mrembo alizaa mtoto wa pili wa kiume aliyeitwa Sulemani, au Shlomo, kutoka kwa neno "shalom", ambayo ni, amani.

Solomani alipatikana baada ya toba kubwa na ndio maana ya jina la suleimani ni amani na ndie mfalme ambaye alikula bata kubwa bila kuingia vitani hata mara moja kwenye historia ya watu wa israel.
 
Hii sentensi imenifanya nikuone bado huijui biblia au basi haupo makini..rahabu wa solomoni si rahabu wa kipindi cha joshua ni ni watu wawili tofauti.

Kosa pia umelifanya hapo ni hilohilo..

Haikuwezekana kuficha tendo la hila la mfalme, na kashfa ikazuka huko Yerusalemu. Nabii Nathani aliilaani waziwazi nyumba ya Daudi, akiilaani kwa mapigano ya jamaa. Kwa kuongezea, alitabiri kuwa mtoto aliyezaliwa na Bathsheba atakufa. Na ndivyo ilivyotokea. Ndipo Daudi akatubu mbele za Bwana, na Nathani akatangaza kuwa amesamehewa. Bathsheba mrembo alizaa mtoto wa pili wa kiume aliyeitwa Sulemani, au Shlomo, kutoka kwa neno "shalom", ambayo ni, amani.

Solomani alipatikana baada ya toba kubwa na ndio maana ya jina la suleimani ni amani na ndie mfalme ambaye alikula bata kubwa bila kuingia vitani hata mara moja kwenye historia ya watu wa israel.

jesus-geneology.jpg

Kitabu cha Mwanzo kinarekodi katika sura ya 38 hadithi ambayo Yuda (baba wa jamii ya Kiyahudi) anafanya ngono incest.

Anadanganywa kulala na kahaba; ambaye anageuka kuwa binti-mkwe wake. Na habari zikaenea kwamba alikuwa na mtoto kwa uasherati. Tamari, yule kahaba angezaa mapacha ambao wangeitwa Peresi na Zara.

Kitendo hiki cha wazi cha uharamu, na mimba ya kujamiiana kilikuwa katika ukiukaji wa wazi wa Sheria.

Kwa hiyo tunaposoma Mathayo 1:3

Yuda akamzaa Faresi na Zera kwa Tamari; na Faresi akamzaa Esromu; na Esromu akamzaa Aramu;

Kahaba na zao la kujamiiana na jamaa huheshimiwa katika ukoo wa Yesu. Licha ya maagizo mengi katika Biblia kuwatenga wenye dhambi kutoka kwa nyumba ya Mungu kwa vizazi.

Mwana wa haramu asiingie katika mkutano wa Bwana; hata kizazi cha kumi asiingie katika mkutano wa Bwana.
Kumbukumbu la Torati 23:2

Kwa hiyo Kulingana na haya Yesu A.s alitoka katika uhusiano haramu, ..Nauzbillah!
 
Hii sentensi imenifanya nikuone bado huijui biblia au basi haupo makini..rahabu wa solomoni si rahabu wa kipindi cha joshua ni ni watu wawili tofauti.

Kosa pia umelifanya hapo ni hilohilo..

Haikuwezekana kuficha tendo la hila la mfalme, na kashfa ikazuka huko Yerusalemu. Nabii Nathani aliilaani waziwazi nyumba ya Daudi, akiilaani kwa mapigano ya jamaa. Kwa kuongezea, alitabiri kuwa mtoto aliyezaliwa na Bathsheba atakufa. Na ndivyo ilivyotokea. Ndipo Daudi akatubu mbele za Bwana, na Nathani akatangaza kuwa amesamehewa. Bathsheba mrembo alizaa mtoto wa pili wa kiume aliyeitwa Sulemani, au Shlomo, kutoka kwa neno "shalom", ambayo ni, amani.

Solomani alipatikana baada ya toba kubwa na ndio maana ya jina la suleimani ni amani na ndie mfalme ambaye alikula bata kubwa bila kuingia vitani hata mara moja kwenye historia ya watu wa israel.

Kama unasoma biblia vizuri isome hii article

Do The Genealogies Of Matthew 1:1-17 and Luke 3:23-38 Validate Jesus As The Messiah? Pt. 1
 
Miongoni mwa masuala ambayo wamishenari wa Kikristo wanayatumia kupinga Qur'ani Tukufu ni kifungu kifuatacho.

"Wanakuuliza juu ya Zul-Qarnain. Sema nitakusomea khabari zake. Hakika sisi tuliuweka uwezo wake katika ardhi, na tukampa njia na njia za kila jambo. Njia moja (hiyo) akaifuata. Hata alipofika machweo ya jua alilikuta limetua katika chemchemi ya maji ya uvuguvugu, akakuta watu karibu nayo." (Kurani Tukufu 18:83-86)

Pingamizi lao ni kwamba jinsi jua linavyoweza kutua kwenye chemchemi ya maji ya kiza ilhali ni kubwa zaidi ya mara bilioni kuliko dunia na haliwezi kamwe kutua kwenye chemchemi ya maji yenye kiza! Wanatukabili kwa pingamizi hili katika hoja zao zote zinazohusu vipengele vya kisayansi vya Qur'an.

Naam, tunakwenda, insha'Allah, kuwajibu. Ninaanza na kunukuu mstari ufuatao wa kibiblia,
“Je! haziko ng’ambo ya Yordani, kando ya njia ya machweo ya jua, katika nchi ya Wakanaani, wakaao katika Araba, kukabili Gilgali, kando ya nchi tambarare za More?
( Kumbukumbu la Torati 11:30 )

Kama tunavyojua, hakuna njia ambapo jua linatua kwa sababu jua ni approx. kubwa zaidi ya mara 109 kuliko dunia. n.k. wakati ikiwa maana ni kwamba ni njia ambayo inaonekana kwa watu kwamba jua linazama ndani, pingamizi hilo litatatuliwa. Lakini kwa hakika wanakubali maelezo kama hayo kwa Maandiko yao, si yetu! Zaidi ya hayo, aya hiyo ni mbovu sana kama mmoja wa ndugu zetu Waarabu anavyosema,

Maandishi unayoyaona ni magumu sana kana kwamba yanaeleza anwani ya mtu aliyepotea: Mahali-jua-linaposhuka St., Jiji la Wakanaani, ondoka uwanda wa kwanza wa More, moja kwa moja dhidi ya Gilgali!
Wacha tuendelee kwenye aya nyingine,

"Jua halitakupiga mchana, wala mwezi usiku."
( Zaburi 121:6 )

Tunaelewa kabisa nini maana ya jua kumpiga mtu, lakini nini maana ya mwezi kupiga?! Je, kuna chochote kinachojulikana - kwa mfano - kama kiharusi cha mwezi?! Labda tunapaswa kujua!
Nukuu yetu ya mwisho ya kibiblia ni hii,

"Na ishara kuu ilionekana mbinguni; mwanamke aliyevikwa jua, na mwezi chini ya miguu yake, na juu ya kichwa chake taji ya nyota kumi na mbili." ( Ufunuo 12:1 )

Mwanamke anawezaje kuvikwa jua ambalo ni kubwa zaidi ya mara 109 kuliko dunia?!! Kweli hii ni hadithi!
Sasa, tunaacha Biblia ili kuzungumzia pingamizi la wamishonari. Aya inasema, “akaikuta imewekwa kwenye chemchemi ya maji ya uvugu” yaani kwa mujibu wa muono na uoni wake ndio maana Mwenyezi Mungu hasemi “inazama”.

Imam Al-Baidawi anabainisha,

Pengine alifika ufukoni mwa bahari akaona hivyo kwa sababu kulikuwa na maji lakini pembeni kabisa ya macho yake ndiyo maana Anasema “amekuta limetua” wala hasemi “linatuwa”. (Al-Baidawi, Anwar-ut-Tanzil wa Asrar-ut-Taw'il, Juzuu 3, ukurasa wa 394. Kimechapishwa na Dar-ul-Ashraf, Cairo, Misri)

Imam Al-Qurtubi anasema,

Al-Qaffal amesema: Haikusudii kufika kuchomoza au kuzama kwa jua kwamba aliufikia mwili wake na kuugusa kwa sababu linapita angani kuzunguka ardhi bila kuligusa na ni kubwa mno kuingia katika chemchemi yoyote duniani. Ni kubwa sana kuliko ardhi. Lakini ina maana kwamba alifika mwisho wa ardhi yenye watu wengi mashariki na magharibi, hivyo akaikuta - kwa mujibu wa maono yake - ikiwa imekaa kwenye chemchemi ya maji ya uvugu kama vile tunayatazama katika ardhi laini kana kwamba yanaingia ndani ya ardhi.

Ndio maana Akasema: "Ameikuta inawazukia watu ambao hatukuwa tumewawekea ulinzi dhidi ya jua." (Kurani Tukufu 18:90) na haikuwa na maana kwamba inawagusa au kushikamana nao; lakini wao ndio wa kwanza kuinuka.

Al-Qutabiy amesema: Huenda chemchemi hii ni sehemu ya bahari na jua linazama nyuma yake, likiwa na au ndani yake, basi pendekezo hilo linachukua nafasi ya kivumishi na Mwenyezi Mungu ndiye anayejua zaidi. (Al-Qurtubi, Al-Game' le Ahkam-el-Qur'an, Juzuu 16, ukurasa wa 47. Kimechapishwa na Dar-ul-Hadith, Cairo, Misri. ISBN 977-5227-44-5)

Imam Fakhr-ud-Deen Ar-Razi anasema,

Zul-Qarnain alipofika upande wa mbali kabisa wa magharibi na hakuna ardhi yenye watu iliyoachwa, alilikuta jua kana kwamba linatua kwenye chemchemi ya giza, lakini si kweli. Vile vile msafiri wa baharini anapoona jua kana kwamba linazama baharini ikiwa haoni ufuo na hali halisi linatua nyuma ya bahari. (Ar-Razi, At-Tafsir-ul-Kabir, Juzuu 21, ukurasa wa 166)

Imam Ibn Kathir anasema,

“Mpaka alipofika machweo ya jua” maana yake alifuata njia fulani mpaka akafika nchi ya mbali zaidi ambayo angeweza kwenda kutoka magharibi. Ama kufikia machweo ya jua angani, haiwezekani. Yale wanayosema wapokezi na wasimuliaji wa hadithi kwamba yeye alitembea muda katika ardhi na jua linapozama nyuma yake si kweli, na mengi katika ngano za Wakristo na Wayahudi na uzushi wa waongo wao.

"aliikuta imetua kwenye chemchemi ya maji ya uvugu" maana yake aliliona jua kulingana na maono yake yakitua ndani ya bahari na hii ni sawa na kila mtu anayeishia ufukweni kuona kana kwamba jua linazama ndani yake (yaani bahari).

(Ibn Kathir, Tafsir-ul-Qur'ân Al-'Azim, Juzuu ya 5, ukurasa wa 120. Kimechapishwa na Maktabat-ul-Iman, Mansoura, Misri)

Ninaamini hii inatosha kukanusha tafsiri iliyowekwa na wamisionari. Na kwa Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye hukumu katika kila jambo.
Mimi si muomini wa vitabu hivyo kwa hivyo simo kwenye hizo ndaro zenu😎🤔😏
 
Waarabu walikuwa wanavaa kanzu kwa sababu jangwani haikuwezekana kulima mazao ya nyuzi, Pamoja na joto, kwa nini hata waislamu wa Tanzania wanavaa kanzu.

Waarabu wako jangwani, hakuna miti, ndio maana wakawa hawamziki mtu na jeneza, ili litumiwe na wengine, kwa nini mtu wa iringa na njombe naye afanye kama wa jangwani wakati jangwani hakuna miti?

Mazingira ya joto jangwani yalifanya maiti ziharibike mapema, kwa hiyo walizikana fasta, kwa nini na sisi tuige ?
Vazi alilolipenda zaidi mtume swala na amani ziwe juu yake ni kanzu, hivyo sisi tunavaa pia kanzu na kwa kule kuwa ni mavazi ya waislamu.

Una swali lingine?.
 
Back
Top Bottom