Majibu kwa thread, "Mungu kwenye Quran kusema kwamba Jua hutuama kwenye kisima cha matope mazito alikuwa na maana gani?"

Hautoi majibu ila unauliza majibu tuliza akili

Kwa nini mwanaume utapakwa wanja?
"The people of Paradise shall enter Paradise without body hair, Murd, with Kuhl on their eyes, thirty years of age or thirty-three years." Jami` at-Tirmidhi 2545
Usijione umeongea point nikikuuliza Hadith imesema tutapakwa jibu ni hapana aya sasa maana ya hadithi ni hii tatizo hujui lugha unajiona Majanja [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
كَحِلَ الرَّجُلُ

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Unahaha sasa umekimbilia kwenye lugha , ila nipo na wewe jibu swali

Kwa nini mwanaume utapakwa wanja?
"The people of Paradise shall enter Paradise without body hair, Murd, with Kuhl on their eyes, thirty years of age or thirty-three years." Jami` at-Tirmidhi 2545
 
Unahaha sasa umekimbilia kwenye lugha , ila nipo na wewe jibu swali

Kwa nini mwanaume utapakwa wanja?
"The people of Paradise shall enter Paradise without body hair, Murd, with Kuhl on their eyes, thirty years of age or thirty-three years." Jami` at-Tirmidhi 2545
Nilijua tu hujui na ndio maana wanao jua wakaacha neno kama lilivyo la kiarabu kuhl maana yake ni wingi wa weusi wewe unasema wanja sasa sijajua alie kufundisha hajui kiasi gani

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Nilijua tu hujui na ndio maana wanao jua wakaacha neno kama lilivyo la kiarabu kuhl maana yake ni wingi wa weusi wewe unasema wanja sasa sijajua alie kufundisha hajui kiasi gani
Wanja huo kijana , rudi jibu swali lugha haitakusaidia kukimbia swali
Kwa nini mwanaume utapakwa wanja?
"The people of Paradise shall enter Paradise without body hair, Murd, with Kuhl on their eyes, thirty years of age or thirty-three years." Jami` at-Tirmidhi 2545
 
Wanja huo kijana , rudi jibu swali lugha haitakusaidia kukimbia swali
Kwa nini mwanaume utapakwa wanja?
"The people of Paradise shall enter Paradise without body hair, Murd, with Kuhl on their eyes, thirty years of age or thirty-three years." Jami` at-Tirmidhi 2545
Haya kwakua mume wenu kasha sema sawa maana yeye ndie anajua lugha kuliko waarabu wenyewe.

Back
Top Bottom