Majibu rasmi ya BoT juu ya nyumba ya Ndulu

Majibu rasmi ya BoT juu ya nyumba ya Ndulu

Je hili ni tatizo la client ama contractor?

Kwa hapa, kosa ni la Client kwa vile Contractor anataka kumaximize profit. Niliwahi kukumbana na tatizo la aina hiyo huko nyuma kidogo wakati natengeza kibanda changu ambapo mjenzi alikuwa ame-inflate gharama sana. Niliamua kumtayarishia BOM yangu na kumfanyia mchakato wa gharama zote hadi akang'aa macho na bado alijenga kwa bei niliyompangia mwenyewe nikiwa nimekata makadirio yake by almost 60%.
 
Hawajajibu chochote bali usanii tu!

Eti Ujengelele unadhani hawa wazee wakiswahili toka BOT bado wanaweza kuogelea kwenye hivyo visima/madimbwi waliojengewa kwenye hizo nyumba? Mwanangu hii ni danganya toto ya kuongeza gharama ili kutafuna fedha za shirika. Maji ya kujaza hivyo visima toka Dawasco hayatoki. We may see another case similar to Liyumba's unfolding.
 
Mojawapo ya maswali ambayo hawakuyajibu kwenye hiyo makala ya Lula ni walitumia vitu vya ujenzi kutoka wapi..
 
Nchi yetu inageuzwa Animal Farm. Mbaya zaidi, Mzee Mwanakijiji haya matumizi yanatumika kununua second/third rate stuff kutoka majuu. Sisi tunachotaka ni kuwa kitu kimeagizwa kutoka nje bila kujali au kujua quality!

Amandla......
 
In any case Ujenzi huu ni wa gharama mno!! Kwa kweli kusema hapa nimetumia shillingi kadhaa hilo ni rahisi mno, especially kwenye ujenzi. Mnaweza mkajenga nyumba zinazofanana na kulingana na kuwa na vitu vinavyofanana kabisa; lakini mmoja akajenga kwa gharama mara kumi zaidi ya mwingine. Hakuna standards, isipokuwa kuna value for money!!

Tusiingie sana kwenye jargon ya ujenzi, tukubaliane kuwa hapo hakuna value for money. Benki kuu waliwagawia wajenzi fedha tu kwa kuwa zipo na hapa ndo linapokuja suala kubwa zaidi la INSTITUTIONALIZED CORRUPTION. Kwamba katika ujenzi huu kitu kinachoitwa kuangalia thamani halisi ya fedha na kitu tunachopata haikuwepo.

Katika nchi yoyote ile kwenye uso wa dunia hii Nyumba ya kuishi mtu mmoja yenye thamani ya Dola million moja ni nyumba ya gharama sana. Kwa Tanzania wakati tunalia umaskini na kuomba omba kila siku ni ajabu na kweli kuwa tunaweza kutumia fedha yetu wenyewe kumjengea nyumba mtu mwenye hadhi ya Gavana wa Benki kuu ya nchi yetu nyumba ya gharama kubwa kiasi hicho. Mtu ambaye kutokana na ukubwa wa mshahara wake na wingi wa marupurupu anayolipwa ana uwezo wa kujenga nyumba ya kwake na kukaa humo.

Wanaotetea uchafu huo mara nyingi wamejificha kwenye sheria zetu na taratibu zetu kuwa zinaruhusu hicho. Lakini wanaopinga wanaangalia hali halisi ya uwezo wetu na sera zetu. Jambo hili ni halali na ni busara kufanya hivyo? Inawezekana ni halali kufanya hivyo alivyofanya Gavana wa benki kuu, lakini si busara hata kidogo. Si busara kwa sababu hapa ndo inatakiwa tuoneshe kuwajibika!! Kumbe tunaomba omba halafu tunatapanya? eti tu kwa kuwa sheria na taratibu zetu zinaruhusu? Na hizi sheria na taratibu zetu wenye uwezo wa kuzibadilisha si ni hao hao wanaozitumia kuwabaka watanzania maskini? Kama wana busara kwa nini wasizibadilishe hizi sheria na taratibu zikaonesha responsibility kidogo? Au kwani sheria zote na taratibu lazima zitumike kama zilivyo wakati tunajua zilitungwa na kuwekwa wakati sera zetu ilikuwa tofauti. Hapa ni ukosefu wa kuwajibika kwa viongozi wetu!

Hawa watu wanaotaka kuishi kwenye nyumba za thamani ya Dola milion moja kwa nini wasiende kufanya biashara huko mitaani, wapate faida hadi wajenge majumba hayo? Kwa nini walio kwenye utumishi wa umma (naam Benki kuu ni utumishi wa umma) wasikubali kuishi maisha ya kawaida? Nasema tena na tena, HAYA NI MASALIA YA UJAMAA. Hakuna mabepari duniani wanaofanya hivyo. Kwa mabepari ukitaka maisha ya kitajiri, kafanye biashara zako. Katika ujamaa, uongozi wa umma ndo chanzo cha utajiri na maisha ya kitajiri.

Benno Ndullu, pamoja na kufanya kazi world bank, mentality yake ni Ujamaa. Na hapo ndo huwa nasema, bado tuna shida, tena kubwa. Viongozi wengi, hata huyo waziri wa sheria anayesema Tanzania ni nchi ya Kibepari, hajui maana ya ubepari.

Ubepari ni siasa makini sana ambayo haiwezi kuruhusu upuuzi huu wa viongozi kujifanya ndo kila kitu. Kwenye ubepari viongozi wamedhibitiwa vilivyo na hawawezi kufanya upuuzi kama huu ndo maana ubepari umeshinda!
icon8.gif
 
Yaani majibu ya benki kuu ni aibu tupu!! Wao wanajibu kana kwamba sisi tunalalamika ujenzi haujafanyika kwa kufuata sheria.

HAPANA!! SISI TUNA HASIRA KUBWA KWENYE MATUMIZI YA PESA ZETU NDOGO KWENYE VITU AMBAVYO HAVITUSAIDII WANANCHI KWA UJUMLA.

Bungeni kila kukicha wabunge wakiuliza maswali, hospitali ya wilaya haina dawa, haina vitanda vya kulala wagonjwa, shule hazina madawati, barabara mbovu, Majibu ya mawaziri siku zote ni UWEZO MDOGO WA SERIKALI KIFEDHA NDIO SABABU HAKUNA VITANDA< MADAWATI BLAH BLAH

Lakini likija suala lakutumia mabilioni kwenye nyumba au kulipa posho za safari zisizokwisha na kununua mashangingi kwa kasi za ajabu, GHAFLA SERIKALI INA KUWA NA PESA.

Sasa issue hapa ni PRIORITY ya pesa zetu wananchi na nashangaa benki kuu wanajibu utadhani pesa ni zao na wanaona sifa namna walivyotumbua hizo 3 bilioni kwenye nyumba mbili tu.

Huyu Dk. Enos analipwa posho sababu anakaa kwenye nyumba yake binafsi, Kuna mtu anataka kuweka BET na mimi kuwa huyu analipwa mamilioni kila mwezi kwa kusihi kwenye nyumba ambayo serikali ilimuuzia kwenye ule ufisadi wa Mkapa kwa bei ya chee kabisa.

Yaani unamuuzia mtu nyumba kwa bei ndogo, halafu bado ni mwajiriwa wa serikali na serikali hiyo hiyo inamlipa tena posho kubwa kwa kuishi kwenye hiyo nyumba, Sasa justification ya kumuuzia ile nyumba in the first place ni ipi??

Sisi watanzania na viongozi wetu wote ni wajinga na wapumbavu wakubwa.
 
ni break down nzuri na imekaa KITAALAMU!lakini kwanin irushwe leo?
HELA YA KAWAIDA SANA HIYO!hebu kasome specifications na requirements,EBO! why are you guys interested in figures?labda mngeshauri wabadilishe DESIGN
Na wapitie BQ ili kuona mtiririko mzima...
Du! Tanzania safari ndefu...sasa hamjaelewa nini? kwenye ripoti mumeambiwa hivi, mkaguzi wenu atafika na kukagua hayo mahesabu kama sheria inavyotaka.
Si msubiri hapo basi ndio mseme wapi kuna tatizo?
Hivi Ndulu amefika kampuni zimeshapewa tender mlitaka akatishe hizo tenda mwajua gharama yake?
Kuomba B.O.Q hakusaidii especially baada ya kuambiwa kwamba aliyepewa tenda ni yule mwenye bei ya chini!!! So BOQ itakusaidia nini? Tunajadili nini hapa? Mbona siwaelewi?
inawezekana tunajadili siasa!..ambayo naamini siiwezi.nisaidie kitu kimoja :
UNAPOSEMA PESA NI NYINGI UMEBASE KWENYE NIN?i mean una refer kitu gani?
I have no problems with that.
hata mimi sina tatizo na hiyo reports
Swali zuri sana, majibu yake yako kwenye bei za makandasi walio-omba hiyo kazi.

Hapa juu nimetoa mifano tu ya michango ya watanzania wenzetu ambao wanaona matumizi ya shilingi bilioni kujenga nyumba moja ya kukaa si jambo la kushangaza hata kidogo. Kama alivyowahi kutamka mheshimiwa moja kwa jina la Chenge, hivyo ni vijisenti tu na leo akina Kasheshe na Kibunango wanaungana naye kutushangaa tunapohoji haya ya Prof. Ndulu - hivi tumelogwa ? Halafu tunashangaa kwa nini pamoja na kuwa tunazama, tunaona fahari kuvaa fulana zenye nembo CHAGUA CCM, CHAGUA KIKWETE. Hiyo asilimia 70% ya watanzania wamenata hapo utafikiri wamepigiliwa misumari - mtu na akili zake timamu anawatetea wezi wanaomwibia na kumuacha hana kitu, loo shame, shame, shame !
 
Yaani majibu ya benki kuu ni aibu tupu!! Wao wanajibu kana kwamba sisi tunalalamika ujenzi haujafanyika kwa kufuata sheria.

HAPANA!! SISI TUNA HASIRA KUBWA KWENYE MATUMIZI YA PESA ZETU NDOGO KWENYE VITU AMBAVYO HAVITUSAIDII WANANCHI KWA UJUMLA.

Bungeni kila kukicha wabunge wakiuliza maswali, hospitali ya wilaya haina dawa, haina vitanda vya kulala wagonjwa, shule hazina madawati, barabara mbovu, Majibu ya mawaziri siku zote ni UWEZO MDOGO WA SERIKALI KIFEDHA NDIO SABABU HAKUNA VITANDA< MADAWATI BLAH BLAH

Lakini likija suala lakutumia mabilioni kwenye nyumba au kulipa posho za safari zisizokwisha na kununua mashangingi kwa kasi za ajabu, GHAFLA SERIKALI INA KUWA NA PESA.

Sasa issue hapa ni PRIORITY ya pesa zetu wananchi na nashangaa benki kuu wanajibu utadhani pesa ni zao na wanaona sifa namna walivyotumbua hizo 3 bilioni kwenye nyumba mbili tu.

Huyu Dk. Enos analipwa posho sababu anakaa kwenye nyumba yake binafsi, Kuna mtu anataka kuweka BET na mimi kuwa huyu analipwa mamilioni kila mwezi kwa kusihi kwenye nyumba ambayo serikali ilimuuzia kwenye ule ufisadi wa Mkapa kwa bei ya chee kabisa.

Yaani unamuuzia mtu nyumba kwa bei ndogo, halafu bado ni mwajiriwa wa serikali na serikali hiyo hiyo inamlipa tena posho kubwa kwa kuishi kwenye hiyo nyumba, Sasa justification ya kumuuzia ile nyumba in the first place ni ipi??

Sisi watanzania na viongozi wetu wote ni wajinga na wapumbavu wakubwa.

Upumbavu wetu na ujinga wetu utaisha kwa kura za marehemu tu!!! Kama rais hataichukulia serious hii mwakani ni kura za marehemu tu halafu tuone kama Tanzania tutaongozana maana rais atachaguliwa na marafiki zake na ndugu zake na mafisadi wengine walalahoi hamna kitu.

Kinachobakia ni kuchapana bakora kama Senegal tu au Kenya maana walianzia huko huko, watu wanaona sawa kusquander $1.2 Million wakati hamuoni haya TRA wanawashikia bango wazee wetu vijijini na kodi ya maendeleo hata dawa hamna katika hospitali ya kijiji. Unadhani yule mzee ukimwambia kuna watu wanatumia Bilioni 1 kujenga nyumba ya kulala ya mtu mmoja watakuelewa????
 
Kwa kuongezea mbona Ndullu alipojibu gazeti la mwananchi hakuwa muwazi kuhusu bwawa la kuogelea? na kuonyesha mshangao kwamba alikataa nyumba ya balali kwa kuwa haikuwa na Bwawa la kuogelea
Jingine najaribu kukumbuka jengo lilokuwa karibu ya kuwa Condemnned au lilokuwa Condemened Maeneo hayo silioni au silikumbuki, kwamba miaka yote lilikuwa linakaa halina mtu au halikuwa linafanyiwa matengenezo madogo madogo? au maofisa waliokuwa wanayatumia hayo majengo hawakuona matatizo hayo au yalikuwa tu ideal kwa miaka kadha? Na eneo lenyewe Oysterbay na watu wana matatizo ya Nyumba iwe wafanyakazi wa BOT/wateuliwa nk nk.
Tatu kwenye taarifa ya BOT amejaribu ku-justify kujengewa nyumba ili awe kari na kazini, sasa Bukuku ambaye anakaa kwenye nyumba yake huko aliko inaonekana hapendi kazi/au kuwahi kazini maana haja chukua positive move ya kukaa karibu ya kazini.
nne kama tatizo ni Barabara ( kwa maana ya Foleni) Bw Ndullu haoni kwamba hatua madhubutu za kuchukua ni kutatua hayo matatizo kwa kushirikiana na wenzake kujenga uchumi imara ambazo utatuwezesha kuwa na barabara bora na njia za usafiri ilikuondokana na foleni badala ya kujificha kwenye au kuficha tatizo wether nipermanently or temporarily kwa kukaa hapo Tumbawe.
 
Maswali ya kujiuliza,

1. Kwa nini bado tuna utamaduni wa mashirika, taasisi na Serikali kujengea wafanyakazi nyumba? Kwa nini wasijihudumie wao wenyewe kwa kutumia mishahara yao?

2. Kwa nini Benki Kuu kama mdhibiti wa Uchumi wa Tanzania ilikubali kujengewa nyumba kwa gharama za juu kiasi hiki, ukizingatia kuwa sekta ya Ujenzi inajipangia bei zake kiholelea na hakuna udhibiti wa mfumuko wa bei za viwanja na malighafi (vifaa vya ujenzi) unaofanyiwa uratibu na Serikali?

3. Kama Benki kuu inaazimia kuwa bei hizi ni sawa (si kwa sababu ya bajeti) kutokana na hali halisi ya sekta ya ujenzi na nyumba Tanzania, je Uchumi wa Tanzania na safari ya Watanzania kuwezakujitegemea na kujijengea nyumba bora itafanikiwa vipi ikiwa kila siku kuna mfumuko wa bei za viwanja, hakuna sheria madhubuti za ardhi, na gharama za vifaa vya ujenzi na wajenzi ni kubwa kuliko sehemu nyingi duniani na ukipima uwiano wa umahiri wa Sarafu yetu?
 
Hawa watu wanaotaka kuishi kwenye nyumba za thamani ya Dola milion moja kwa nini wasiende kufanya biashara huko mitaani, wapate faida hadi wajenge majumba hayo? Kwa nini walio kwenye utumishi wa umma (naam Benki kuu ni utumishi wa umma) wasikubali kuishi maisha ya kawaida? Nasema tena na tena, HAYA NI MASALIA YA UJAMAA. Hakuna mabepari duniani wanaofanya hivyo. Kwa mabepari ukitaka maisha ya kitajiri, kafanye biashara zako. Katika ujamaa, uongozi wa umma ndo chanzo cha utajiri na maisha ya kitajiri.

Mzee kipimapembe,

Hayo maneno uliyoyasema hapo juu ni mazito na I wish watanzania wengi wangelijua hili. Mtu kama anataka kuishi maisha ya kibwanyenye basi uende kwenye private sector lakini sio huku BOT.
 
Maswali ya kujiuliza,

3. Kama Benki kuu inaazimia kuwa bei hizi ni sawa (si kwa sababu ya bajeti) kutokana na hali halisi ya sekta ya ujenzi na nyumba Tanzania, je Uchumi wa Tanzania na safari ya Watanzania kuwezakujitegemea na kujijengea nyumba bora itafanikiwa vipi ikiwa kila siku kuna mfumuko wa bei za viwanja, hakuna sheria madhubuti za ardhi, na gharama za vifaa vya ujenzi na wajenzi ni kubwa kuliko sehemu nyingi duniani na ukipima uwiano wa umahiri wa Sarafu yetu?

Nani kakwambia BOT walinunua kiwanja ? Hivi viwanja vilikuwa mali ya BOT . Hizo shilingi bilioni 2.5 ni za kujenga nyumba mbili tuu !
 
Halafu ukiisoma hii taarifa unaweza kucheka nanukuu,
"GAVANA WA Benki Kuu na manaibu wake kwa mujibu wa mikataba ya kazi zao, wanastahili kupewa nyumba ya kuishi kila mmoja",

Kiisaikolojia tunaweza kupata taswira mbali mbali,

Mosi- Kututishia au kutuambia tusihoji tena kwasababu kwanza neno kustahili inamaana ni lazima mtu apewe sio kufikiriwa. Hivyo basi ni kama vile unatuambia tusihoji tena wakati ni haki yetu ya kikatiba.

B- Unapozungumzia kwa mujibu wa mikataba yao ya kazi unatuambia nini, kama kuna ufisadi ndani yake tusiulize hiyo mikataba inakwendaje kwendaje? Tukae tu yes sir yes sir pasina kuhoji uhalali wa mikataba.

C- Vipi kuhusu wale madirector je. kwahiyo unataka kutwambia tusiwahoji nao mie nadhani BOT inahitaji kufumuliwa maana hizi kauli mbaya kama hizi zinajengwa na either kujiamini kupita kiasi kwamba wao wako juu ya sheria au kujua kwamba watalindwa kimsingi hii statement si sawa!!!!
 
Kinachobakia ni kuchapana bakora kama Senegal tu au Kenya maana walianzia huko huko, watu wanaona sawa kusquander $1.2 Million wakati hamuoni haya TRA wanawashikia bango wazee wetu vijijini na kodi ya maendeleo hata dawa hamna katika hospitali ya kijiji. Unadhani yule mzee ukimwambia kuna watu wanatumia Bilioni 1 kujenga nyumba ya kulala ya mtu mmoja watakuelewa????

Kama ataweza hata kuelewa bilioni moja ni nini! Wengi hesabu zetu zinaishia milioni na huko vijijini laki moja! Labda uwaeleze ni laki moja 10,000!

Amandla.......
 
Maswali ya kujiuliza,

1. Kwa nini bado tuna utamaduni wa mashirika, taasisi na Serikali kujengea wafanyakazi nyumba? Kwa nini wasijihudumie wao wenyewe kwa kutumia mishahara yao?

2. Kwa nini Benki Kuu kama mdhibiti wa Uchumi wa Tanzania ilikubali kujengewa nyumba kwa gharama za juu kiasi hiki, ukizingatia kuwa sekta ya Ujenzi inajipangia bei zake kiholelea na hakuna udhibiti wa mfumuko wa bei za viwanja na malighafi (vifaa vya ujenzi) unaofanyiwa uratibu na Serikali?

3. Kama Benki kuu inaazimia kuwa bei hizi ni sawa (si kwa sababu ya bajeti) kutokana na hali halisi ya sekta ya ujenzi na nyumba Tanzania, je Uchumi wa Tanzania na safari ya Watanzania kuwezakujitegemea na kujijengea nyumba bora itafanikiwa vipi ikiwa kila siku kuna mfumuko wa bei za viwanja, hakuna sheria madhubuti za ardhi, na gharama za vifaa vya ujenzi na wajenzi ni kubwa kuliko sehemu nyingi duniani na ukipima uwiano wa umahiri wa Sarafu yetu?
Tunashukuru Reverend kwa kurudi kundini, maana tulivyo kuwa tunakemea/kupinga toka mwanzo ni kutokana vitu hivi hivi unavyo viongelea.
 
It is a bogus reply. They are showing us how much do they spend and how do they spend it. It is eye robbery.

Jamaa walisha uza nyumba wakati wa BM, sasa wanajenga zingine. Mwisho wa JK naye atauza hizo nyumba kwa bei chee, UFISADI unaendelea kama kawaida. Wabongo bado mnaliwa kisiasa.

Tanzania ni nchi maskini, kwanini iwe na manaibu wengi kiasi hicho kama si kuendeleza wizi? Ni nini hasa hawa manaibu Watatu wanafanya ambacho hakiwezi kufanywa na Naibu mmoja? It is pathetic and upsetting someone's stomach.

Reply yao inatia kichefu chefu haina msingi wala maelezo yakinifu zaidi ya kujisifia kwa kuonyesha kiuwazi ni kiasi gani hawa MAFISADI wanabwia FWEZA bila ya kujali wala kufikiria kama kuna umsingi wa kufanya hivyo na huku Wadanganyika mkiangalia.

SO, IS THIS it? Is this what sharing the pain is all about?
 
Maswali ya kujiuliza,

2. Kwa nini Benki Kuu kama mdhibiti wa Uchumi wa Tanzania ilikubali kujengewa nyumba kwa gharama za juu kiasi hiki, ukizingatia kuwa sekta ya Ujenzi inajipangia bei zake kiholelea na hakuna udhibiti wa mfumuko wa bei za viwanja na malighafi (vifaa vya ujenzi) unaofanyiwa uratibu na Serikali?

Reverend,

Why do you want to swallow your vomit? Few days ago, you adamantly defended BOT's decision to build those houses solely because it's not tax payers' money. Now, you want to turn around and accuse them of the same thing you did defend them before. This is simply the zenith of hypocrisy. ......Sorry Reverend, you can't have both ways.
 
Reverend,

Why do you want to swallow your own vomit? Few days ago, you adamantly defended BOT's decision to build those houses solely because it's not tax payers' money. Now, you want to turn around and accuse them of the same thing you did defend them before. This is simply the zenith of hypocrisy. ......Sorry Reverend, you can't have both ways.

Saa zengine inawezekana Kishoka alikuwa anaencourage tuichambue zaidi hii zombi billing ya Governor's house. In general karibu sana kundini kaka
 
Back
Top Bottom