Jana tu CCM walipokosekana mbona alitoa machozi, na hata makatibu wakuu wengine wakalala mbeleCcm ni wapumbavu ndio maana mnaikimbia midahalo by the way ccm hata mkigomea vipindi vya odemba hakuna atakayeshtuka maana ccm ni empty brains.
Ushauri wa Kishamba kabisa huo. Kwa ukubwa wa C.C.M, ndani na nje ya nchi, hatupaswi kukwepa midaharo, sisi ndio tuombe radhi. Chama kina magwiji, tungempeleka hata Wasira tu angetosha kuwasilisha chamaNi dhahiri Odemba ametoa kauli za nia ya kumdhalilisha Katibu Mkuu wetu, nashauri CCM watoe azimio la mgomo baridi dhidi ya vipindi vya TV vya kada wa chadema anayefahamika kwa jina la Odemba.
Bado utafiti unaendelea ili kujua kama Odemba ni mjaluo wa Kenya au Tanzania, taarifa italetwa hapa.
Samiaagain2025 na MamaSamia2025 sikiliza hiyo ndiyo ujue CCM ni watu wa namna gani...Haya, tuanzie hapa ilinmjue Dr angekuja kusema nini kwenye huo mdahalo
Nakuuliza tena; unadhani kwa tabia ya uongo, wizi, ulaghai na utapeli wa CCM Kuna mtu mwenye akili timamu ataamini lolote toka CCM kwamba katibu wetu hakukimbia mdahalo?Mbona sentensi zako zinatanguliwa na neno KUAMINI? Taarifa ya CCM iko wazi na imeeleza hali ilivyokuwa wewe unaleta mambo ya imani..
Hajaajiriwa na ccm, simchongei. Mbona anafanya mahojiano na watu wengi? Kwann ccm tu ndio huwa wanahojiwa?Dogo usimchongee. Kama kakosea aombe msamaha. Akikosa hicho kibarua akikikosa wewe huwezi kumsaidia kuendesha maisha.
Kwa namna ulivyo tu, bila shaka wewe ungelia mara mia zaidi ya Odemba...Ulishaona mtangazaji mwenye weledi akilia hadharani kisa mmojawapo wa wageni waalikwa hajafika? Nakazia hii kauli yako;
Ni very professional, weredi na wanajua nini wafanyalo. Si wajinga kama nyie huko CCM...!"Management yote ya StarTv na waandaaji wa kipindi hicho ni very unprofessional, wajinga na wapumbavu"
Gharama kasababisha odemba mwenyewegharama. walizozisababisha inabidi wazilipe
Ccm acheni kujitetea, yani nyie si ndo mko madarakani?, nyie si mnasema SSH anaupiga mwingi? sasa mlolongo wote kisa tu mdahalo wa nini kama sio kutafuta kichaka cha kuficha aibu ya mwaka ,ya Dr nchimbi kukimbia mdahalo.Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinapenda kutoa taarifa kwa umma kuhusu kutoshiriki kwa Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi kwenye mdahalo ulioandaliwa na Kituo cha Televisheni cha Star Tv, na kuratibiwa na Ndugu Edwin Odemba tarehe 31 Agosti, 2024.
CCM inautaarifu umma kuwa Katibu Mkuu hakukimbia wala hakudharau mdahalo huo. Balozi Nchimbi alifanya kila jitihada za mawasiliano na muaandaji na tunasikitishwa na jinsi alivyoupotosha umma.
Tarehe 10 Agosti 2024 mtangazaji wa Kituo cha Televisheni, Star Tv, Ndugu Edwin Odemba alimtafuta Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi kwa kutuma ujumbe mfupi wa simu (sms) akimuomba Katibu Mkuu ashiriki mdahalo huo wa viongozi wa vyama vya siasa uliopangwa kufanyika Jumamosi, tarehe 31 Agosti 2024.
Katibu Mkuu alimjulisha kuwa masuala ya vyombo vya habari yanaratibiwa na Katibu wa Halmshauri Kuu ya CCM Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu Amos Gabriel Makalla hivyo awasiliane naye na akampa namba ya simu ya mkononi ya Ndugu Makalla.
Kwa sababu ambazo Odemba anaweza kuzieleza mwenyewe, katika kipindi cha takriban wiki tatu, hakufanya mawasiliano au kumtafuta Ndugu Makalla kama alivyoelekezwa na kushauriwa na Katibu Mkuu Balozi Nchimbi.
Baada ya kuhisi kwamba nafasi ya Katibu Mkuu inaweza kuwa ngumu kupatikana kutokana na majukumu yake ya kazi za chama, Ndugu Odemba alimtafuta tena Balozi Nchimbi akiomba amuandae mwakilishi huku matangazo ya mdahalo huo yakiendelea kumtaja Katibu Mkuu wa CCM kuwa ndiye atakayeshiriki. Badala yake Katibu Mkuu alimwelekeza Ndugu Odemba kutofanya lolote kabla ya kupata mawasiliano na Sekretarieti ya Chama.
Kimsingi Ndugu Odemba alitaka wananchi wadanganywe kuwa CCM kupitia kwa Katibu Mkuu ilikuwa imethibitisha kushiriki katika mdahalo huo jambo ambalo si sahihi.
Katika mazingira ya kustaajabisha tumeshangazwa na machozi ya Ndugu Odemba aliyotoa jana akielekeza lawama kwa CCM na kwa Katibu Mkuu wakati alijua bayana kwamba alikuwa hajapata uthibitisho wowote wa CCM kushiriki ikiwa ni pamoja na ukweli kwamba yeye mwenyewe alishajua kwamba alikuwa akiendelea kutangaza kuhusu mdahalo huo kama "promo" pasipo kupata ridhaa ya CCM.
Katibu Mkuu wa CCM ndiye Mwenyekiti wa Sekretarieti na siku nzima ya jana ambayo ndiyo siku Odemba alipanga kufanyika kwa mdahalo huo, kulikuwa na vikao vya maandalizi ya Kamati Kuu Maalum ambayo inafanyika leo tarehe 01 Septemba 2024, jambo ambalo kwa namna yoyote Katibu Mkuu asingeweza kuwapo katika mdahalo huo hata kama angekuwa amethibitisha awali.
Kushiriki kwenye mdahalo kunahitaji mashauriano na maafikiano kati ya waandaji na waalikwa.
Tunaweza kutamka bayana na kwa uhakika kwamba Katibu Mkuu hakuwa ametoa uthibitisho wa kuhudhuria mdahalo huo. Hakukuwa na makubaliano yoyote rasmi ya yeye au mwakilishi wake kuhudhuria katika shughuli hiyo. Mwisho, Katibu Mkuu wa CCM, Balozi Nchimbi yupo tayari kwa midahalo, majadiliano na makongamano yanayolenga kujenga umoja wa kitaifa na maridhiano ya kisiasa kadiri ya taratibu zilizopo na ratiba yake ya kazi inavyoruhusu.
KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI
View attachment 3084263
View attachment 3084264
Pia soma
- Kuelekea 2025 - Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini, wengine wagoma kushiriki!
Taarifa ya ccm, kwani ccm wana ukweli gani hadi usema taarifa yao iko wazi? Hilo tangazo lina ziadi ya wiki 2 na limekuwa likirudiwa mara kwa mara, mbona hiyo taasisi yenu haikuhoji kulikoni?Mbona sentensi zako zinatanguliwa na neno KUAMINI? Taarifa ya CCM iko wazi na imeeleza hali ilivyokuwa wewe unaleta mambo ya imani..
CHADEMA unawaamini?Taarifa ya ccm, kwani ccm wana ukweli gani hadi usema taarifa yao iko wazi? Hilo tangazo lina ziadi ya wiki 2 na limekuwa likirudiwa mara kwa mara, mbona hiyo taasisi yenu haikuhoji kulikoni?
Naamini ukweli tu, sio hayo unayoniambia sijui taasisi na upuuzi kama huo.CHADEMA unawaamini?
Kwahiyo humwamini Tundu Lissu?Naamini ukweli tu, sio hayo unayoniambia sijui taasisi na upuuzi kama huo.
Ninaamini ukweliKwahiyo humwamini Tundu Lissu?
Ukweli ni subjective. Kwani kwenye siasa ukweli ni kitu gani?Ninaamini ukweli
CCM ikiwachukulia hatua za kisheria Star TV na huyo mtangazaji wao hamtalia lia na kusema wanaonewa?Taarifa ya ccm, kwani ccm wana ukweli gani hadi usema taarifa yao iko wazi? Hilo tangazo lina ziadi ya wiki 2 na limekuwa likirudiwa mara kwa mara, mbona hiyo taasisi yenu haikuhoji kulikoni?
Kile ambacho kinaonekana kuwa ukweli kinaweza kutegemea mitazamo, hisia, au uzoefu wa mtu binafsi.Ninaamini ukweli
Weredi ❌Kwa namna ulivyo tu, bila shaka wewe ungelia mara mia zaidi ya Odemba...
Hakuna kitu hapo. CCM wanaopaswa kuwa waungwana na wastaarabu ingalau kwa kiasi fulani hivi lakini wanafanya mambo ya aibu na ujinga kila uchao...
Unajua hasara aliyoingia kwa uhuni wenu? Yaani CCM inaongoza nchi, Ina serikali na kila nyenzo lakini inaogopa midahalo huru na ya wazi kama huu. Ooh, ni ajabu kweli...!!
Viongozi wako wanataka wajiandalie midahalo yao ya kipropaganda huko TBC, waulizwe maswali watakayo na waliyopewa siku nyingi kabla na kutoa majibu ya kukaririshwa...
Ombeni radhi. Huo ndio ustaarabu na uungwana...
Ni very professional, weredi na wanajua nini wafanyalo. Si wajinga kama nyie huko CCM...!
Na kama hicho alichosema huyo aliyekuwa DC wa Longido.Ukweli ni subjective. Kwani kwenye siasa ukweli ni kitu gani?
Not in this life or the next kwamba CCM inaweza kuwaomba radhi Star TV na mtangazaji wao kwa upuuzi walioufanya wenyewe.Nakuuliza tena; unadhani kwa tabia ya uongo, wizi, ulaghai na utapeli wa CCM Kuna mtu mwenye akili timamu ataamini lolote toka CCM kwamba katibu wetu hakukimbia mdahalo?
Najua wewe ni mtu mwema tu. Acha kufuata akili za mkumbo wa wendawazimu wa CCM Lumumba...!
Waambie wenzio huko waache ujanja na kufanya watu wazima hawana akili na ufahamu kujua uongo na utapeli wa CCM...
Kuweni wastaarabu na waungwana tu kwa, kuiomba radhi management ya StarTV, Sahara Media na hususani kijana Odemba muaandaaji wa kipindi hicho...
Acheni kufikiri watu wote ni wajinga na wapumbavu kama mlivyo nyie...!!