Majibu ya CCM Mdahalo wa Odemba: Tunasikitishwa na jinsi alivyoupotosha umma, tumeshangazwa na machozi yake!

Majibu ya CCM Mdahalo wa Odemba: Tunasikitishwa na jinsi alivyoupotosha umma, tumeshangazwa na machozi yake!

In short Odemba ni idiot sana na hana akili. Yaani kweli unashindwa hata kulinda mamlaka?? Yaani anashindwa hata kutafuta sababu ya kiuongozi ili aonekane japo limeshindikana kidharula. Huyu mtu ni wa ovyo sana and he will never make it kwa sababu ya kukosa akili na weledi wa kazi.
 
kwasababu hadhi na viwango vya elimu, mathalani vya yule muandishi msimamizi na muandaaji wa mdahalo wenyewe, tuwe wangwana tu havistahili kumuhusisha daktari mbobevu wa falsafa kama Dr.Emanuel Nchimbi,

vinginevyo muandishi yule alikua na shinikizo nyuma ya pazia au lengo Fulani la kujinufaisha kibinafsi mathalani kupata umaarufu asio stahili na huenda ndio maana akabubujikwa na machozi kwa uchungu sana, baada ya mpango wake wa nyuma ya pazia kukwama vibaya sana..

na zaidi ya hapo huenda kulikua na njama au mipango mingine ya kishirikina ilikua imekusudiwa kufikiwa kwa miadi ya pesa na mali nyingi endapo ungefanikiwa, lakini ndio hivyo tena ya Mungu mengi watu wakaishia kububujikwa na machozi tu hadharini tena kwa uchungu mkubwa, dah...

lakini pia,
viwango vya elimu na hadhi ya washiriki wengi wa hicho kilichoitwa mdahalo, navyo bado vilikua ni fedheha ati kuwekwa podium moja na Dr wa falsafa Dr Emanuel Nchimbi, katibu mkuu mwenye ratiba ngumu na majukumu mazito na muhimu sana ya Chama Tawala kitaifa na kimataifa kwa maslahi mapana ya waTanzania wote 🐒

ni muhimu sana,
watu wenye elimu na hadhi kama Dr.Nchimbi wakaandaliwa midahalo itakayosimamiwa na waandaji waandamizi wa midahalo wenye hadi na elimu sawa au hata kumzidi Dr. Nchimbi, lakini pia na washiriki wa mdahalo huo vile vile angalau wawe na sifa, vigezo, elimu na hadi sawa au zaidi ya elimu na hadhi ya Dr.Emanuel Nchimbi...

vinginevyo,
ni uonevu na unyanyasaji wa kisaikolojia kwa vijana kuwekwa jukwaa moja na wana falsafa wa kiwango cha juu sana kama Dr Emmanuel Nchimbi 🐒

Mungu Ibariki Tanzania.
 
Wewe MamaSamia2025;

Waliokanusha kuwa hawakualikwa ni nyie CCM. Na ndo kusema wanaopaswa kuthibitisha kwa ushahidi wa kuonekana, kushikika na kuaminika ni nyie CCM bila kujali mlipata taarifa kwa njia gani....

Kikubwa hebu JIBU hili 👇👇swali:

Kwamba mnataka umma uamini kuwa nyie CCM ni werevu na waungwana sana na kwamba Management yote ya StarTv na waandaaji wa kipindi hicho ni very unprofessional, wajinga na wapumbavu kiasi hicho, kwa siku kadhaa watangaze ushiriki wa CCM kwenye mjadala huo wa wazi kupitia kwa katibu wenu bila ridhaa yenu....?

Ndo mnataka tuamini hivi siyo?

Aisee, kuiamini CCM kwa lolote kwa masuala muhimu ya haki yanayopaswa kufanyika kwa UHURU na UWAZI nilisema toka mwanzo na nasema tena, basi ni lazima uwe na akili za kujaa nusu kisoda tu.....!

Nyie CCM mambo yenu siku zote ni ya gizani, ya kiwiziwizi, uongouongo na ulaghai laghai tu....
Ulishaona mtangazaji mwenye weledi akilia hadharani kisa mmojawapo wa wageni waalikwa hajafika? Nakazia hii kauli yako;
"Management yote ya StarTv na waandaaji wa kipindi hicho ni very unprofessional, wajinga na wapumbavu"
 
In short Odemba ni idiot sana na hana akili. Yaani kweli unashindwa hata kulinda mamlaka?? Yaani anashindwa hata kutafuta sababu ya kiuongozi ili aonekane japo limeshindikana kidharula. Huyu mtu ni wa ovyo sana and he will never make it kwa sababu ya kukosa akili na weledi wa kazi.
Unagombea kwa tiketi ya UVCCM?
 
Jamaa kilichomliza cha maana ni kipi sasa
 
Haya, tuanzie hapa ilinmjue Dr angekuja kusema nini kwenye huo mdahalo
 

Attachments

  • VID-20240901-WA0033.mp4
    4.5 MB
Ivi Tanzania haiwezi kuwa na midahalo kama ya Trump na KAMALA?

Au sisi hatuna elimu ya kujenga hoja?
 
Rais Mkapa peke ndiye alikuwa haogopi midahalo.Je ikitikea akiitwa pale Mlimani
 
Okay tufanye hakijaharibika kitu! Mdahalo mwingine tuone kama atatokea mtu wa CCM! Hakuna lolote ambalo CCM sasa hivi watazungumza na wananchi wakawaelewa. Odemba ni Big Brain!
Kwahiyo asipotokea tena mtu wa ccm na vyama vyengine nao wanakula kona?
 
Hapo chama Fulani kimeamua kujitetea Kwa kutupa lawama Kwa Ndg Odemba alafu wakapanga nyumbu wao wamshambulie Odemba.

Odemba ameshahojiana na watu wenye umaarufu na mvuto mkubwa Kwa jamii iweje Dr Nchimbi ambaye kama sio mama kumrudisha kwenye line tungeshamsahau.

Kuna hatari kubwa sana inakuja kwenye nchi yetu Kuna chama kitapoteza Dola hivi hivi na Kwa njia ya Demokrasia kabisa pamoja na kwamba marefari na makamisa wa mchezo pamoja na uwanja ni wao.

Giza linapokuwa kubwa sana jua ndo kunapambazuka. Mungu ibariki Tanzania.Mwenyezi Mungu endelea kutuonesha njia.
 
Back
Top Bottom