Wewe
MamaSamia2025;
Waliokanusha kuwa hawakualikwa ni nyie CCM. Na ndo kusema wanaopaswa kuthibitisha kwa ushahidi wa
kuonekana, kushikika na
kuaminika ni nyie CCM bila kujali mlipata taarifa kwa njia gani....
Kikubwa hebu JIBU hili 👇👇swali:
Kwamba mnataka umma uamini kuwa nyie CCM ni werevu na waungwana sana na kwamba Management yote ya StarTv na waandaaji wa kipindi hicho ni very unprofessional, wajinga na wapumbavu kiasi hicho, kwa siku kadhaa watangaze ushiriki wa CCM kwenye mjadala huo wa wazi kupitia kwa katibu wenu bila ridhaa yenu....?
Ndo mnataka tuamini hivi siyo?
Aisee, kuiamini CCM kwa lolote kwa masuala muhimu ya haki yanayopaswa kufanyika kwa
UHURU na
UWAZI nilisema toka mwanzo na nasema tena, basi ni lazima uwe na akili za kujaa nusu kisoda tu.....!
Nyie CCM mambo yenu siku zote ni ya gizani, ya kiwiziwizi, uongouongo na ulaghai laghai tu....