Majibu ya CCM Mdahalo wa Odemba: Tunasikitishwa na jinsi alivyoupotosha umma, tumeshangazwa na machozi yake!

Akitaka kuwajibu msimzibe Mdomo tu kwa kumpigia simu "behind the scenes"tu.
Kuna lipi la maana hapo mkuu? Aligoma mdahalo Lowassa alipokuwa mgombea urais wa chadema na haikuwa issue wala nini.
 
Ni dhahiri Odemba ametoa kauli za nia ya kumdhalilisha Katibu Mkuu wetu, nashauri CCM watoe azimio la mgomo baridi dhidi ya vipindi vya TV vya kada wa chadema anayefahamika kwa jina la Odemba.

Bado utafiti unaendelea ili kujua kama Odemba ni mjaluo wa Kenya au Tanzania, taarifa italetwa hapa.
 
Nyie nae was3333ng3R3ma mkimbia mdahalo muombwe msamaha sh3nzi
 
Kwamba wakigomea atakosa kula au wengine hawatojitokeza?
 
Msacky ameshasema akiwaalika tena wataenda πŸ˜„πŸ˜„

Odemba ni CCM kuliko wewe tutusa wahed πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwanini walishindwa kusema tuko busy sisi hatuji kwenye huo mdahalo, ingewa cost nini.
 
Aloyce Nyanda(Mtozi) yuko wapi siku hizi?
 
Siyo igomee, sema ikimbie hoja kali na maswali ya Odemba - unaweza kuomba kiyoyozi waweke nyuzi 12.

Mara ya mwisho CCM kushiriki midalaho hatukimbuki ni lini
 
Mmeshaanza kuweweseka..πŸ˜‚
Your browser is not able to display this video.
 
Mwaf
Mwafrika ni kiumbe hatari sana duniani!!kwa hiyo hilo la kuanza fitina juu ya uraia wake ndio dawa??toka lini nyumbu wanafanya utafiti zaidi ya kuibuka tu na zengwe!!
 
Hili gazeti unatuletea hapa halibadilishi ukweli kwamba ccm wameingia mitini
 
Yaa
Tatizo lenu kila anaesema ukweli ni adui yenu.
Mnaujinga mwingi aisee.

Kwa taatifa yako Star TV ni ya kada mkubwa wa CCM. Sasa sijui mtafanyaje.
 
Arudi na The Big Agenda,
Miezi ya nyuma alikuwa karibu sana na viongozi, na sasa kila siku anafungua bishara, alianza na ya Microfinance, anafanya na mkewe, haijapita mwezi ana saluni huko Igoma, kuna namna "ameonwa"
 
Ccm ni wapumbavu ndio maana mnaikimbia midahalo by the way ccm hata mkigomea vipindi vya odemba hakuna atakayeshtuka maana ccm ni empty brains.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…