Majibu ya Chid Benz kwenye "red carpet" ya Mahaba Ndi Ndi Ndi

Majibu ya Chid Benz kwenye "red carpet" ya Mahaba Ndi Ndi Ndi

Utapenda jinsi Chid Benz alivyokuwa akiulizwa maswali na mtangazaji pale Mlimani City, Siku ya Wapendanao wakiwa Red Carpet usiku wa mahaba ndi ndi ndi

Mtangazaji: Nakuona umevaa umependeza

CHID BENZ : Nalijua hilo

Mtangazaji: Hatujawahi kukuona na mtoto mzuri kama huyu

CHID BENZ: Huyu sio mtoto

Mtangazaji: Kuna tofauti gani kati ya Valentine zilizopita na hii hapa na hii ya leo?

CHID BENZ: Zile zimepita na hii ni ya leo.

Mtangazaji: Unatarajia kuona vitu gani kwenye event hii ya leo

CHID BENZ: Ngoja tuingie ndo tutaona

Mtangazaji: Chidy kwanini unakonda

CHID BENZ: Kwa sababu sinenepi


Jamiiforums
Geita vijijini

View attachment 2122017
Majibu muluwa 😅😅😅
 
Back
Top Bottom