Majibu ya Diamond kwa Jokate kuhusu post yake iliyoleta utata

anatumia gharama nyingi apate sifa kumbe hana lolote haya ngoja tuone mwisho wake domooo katumia gharama kwenye video haijawa nominated wala godfaza mejialab(cheketua directer kaingiza ) sifa zina mwishoo pia

we jamaa unaropoka tu naona, ongea kitu ukiwa na ushahidi na uelewa juu ya kitu kinachozungumziwa .. D kipindi kile hawakuchagulia nyimbo ya Nana ipigiwe kura maana ilikuwa haijatoka ....
 
mwakani daimond akichukua tuzo mtv wallah nipigwe life ban la maishaa na naacha kushabikia maana na ujinga sasa

Heheheee tushawazoea, mwenzio alisema atatuonyesha dako lake lilojaa sugu afu kaingia mitiniii....
 
hiiiii noma...doh..wataaaanyooooka tu
 
Haya maneno maneno ya huyu bwana mdogo huwa yanamgharimu sana. Elekeza nguvu zako kwenye kazi. Acha vijembe.
Sasa hapo kafanya nn sasa zaidi ya kujenga chuki dhidi ya mashabiki wa huyo dada. Akumbuke kuna AFRIMMA yaja, huko kuna Alikiba, Vanessa, Dimpoz, yasije yakatokea yale yaliyotokea KTMA. Akumbuke kuwa watu wanaweza wakakuprovoke makusudi upoteze uelekeo.
Maboso
 
Last edited by a moderator:
Dhamira yangu ni kutaka kuleta umoja wa Tz. Kama kuna watu hawataki hili basi wanyoosheni tu ikibidi.
 
Kweli Diamond mtoto wa tandale aliekomaa kiaskare,Kiukwel hustle zake toka wayback zinampa machungu kuona kiumbe yeyote anataka kumsetback..xo bint kidot apewe Huduma ya kwanza na ndim zihusike#
 
we jamaa unaropoka tu naona, ongea kitu ukiwa na ushahidi na uelewa juu ya kitu kinachozungumziwa .. D kipindi kile hawakuchagulia nyimbo ya Nana ipigiwe kura maana ilikuwa haijatoka ....
we kilaza tulia mdogomdogo na ntampata wapi mbona hazijatajwa we unakuja tu una coment wala huelewi kinachozungumzwa pita hivi uwe unasoma mada ndo uchangie co unakurupuka tu
 
we jamaa unaropoka tu naona, ongea kitu ukiwa na ushahidi na uelewa juu ya kitu kinachozungumziwa .. D kipindi kile hawakuchagulia nyimbo ya Nana ipigiwe kura maana ilikuwa haijatoka ....
ntampata wapi na nana ipi katumia gharama kubwa nyambaaafu pita hivi uwe unasoma coment uelewe ndo uchangie sawa
 
we kilaza jielewe kwani kiba alitajwa kwenye mtv tunazungumzia aliotajwa nao kina davido wizikid hata afrimama hachukui kitu yupo na wazee wa kazi davido na wizkid na kule hakuna tuzo ya kukata mauno
 
hapati hata moja daimond nakwambia tuzo za wakata viuno hakuna tenaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…