Majibu ya Diamond kwa Jokate kuhusu post yake iliyoleta utata


sasa diamond asemaje sasa mbona mnafanya marudio then hiyo siyo KTMA
 
umekunywa viroba wewe mtoto wa kike ,tega ta ...ko nikupe haki yako

Kidude chako kimedebweda kama mashavu ya bibi kizee kitapita kweli?
Kuna dawa nasikia inaitwa kisongo power jaribu kutumia inafanya uume ukaze
 
Kidude chako kimedebweda kama mashavu ya bibi kizee kitapita kweli?
Kuna dawa nasikia inaitwa kisongo power jaribu kutumia inafanya uume ukaze

wewe ndio nakuta nikukune mpaka uvae chupi kichwani !!!!
 
ndo maana mi nimesema we unakurupuka coz video bora hawaangaliii gharama wala ndege na wazungu kwenye video ni ubunifu ndo kigezo kikubwa wanachotumia ndo maana godfaza hajaingiza hata video moja kwenye mtv
Duh! We jamaa ni mtu wa ajabu kishenzi na matokeo yake wala hufahamu ni nani kati yetu anakurupuka! Wewe madai yako umesema Mdogo mdogo na Nitampata Wapi hazijawahi kuwa nominated au kupata tuzo na mimi nimekuonesha Mdogo mdogo ilivyokuwa nominated na kupata tuzo za International Reggae and World Music Awards na Nitampata Wapi kuwa nominated kwenye AFRIMMA!

Tatizo lako haya mambo huyajui... kwa mtazamo wako unadhani mtu anatengeneza video bora ili apate tuzo ya video bora kumbe video bora ni kwa ajili ya ku-promote nyimbo na sio kushinda tuzo ya video!!!! Nimekuambia, siku hizi watu wanakesha Youtube kwahiyo ukitaka ku-promote wimbo ni lazima utengeneze video na kwa kuwa kila mmoja anatengeneza video, ili u-stand out of the public unatakiwa kuwa na video bora matokeo yake unakuja na ngonjera mara oh, kupanda ndege... we jamaa vipi?!Narudia... lengo la kutengeneza video bora sio kupata tuzo ya video bora bali ku-promote kazi!
 
hebu taja mtanzania aliengiza nyimbo yake bila collabo mtv au umeshiba mayai unachafua hali ta hewa
Halafu we jamaa unaonekana unapenda sana lugha chafu... in short unapenda shari! Shari unaziweza au unajifunza? NImekuuliza huyo Kiba ana vigezo hadi awe nominated matokeo yake unakuja na blah blah.. FYI, hizo lugha za hovyo hovyo tafuta wa kuwatolea manake kama unajiona fyatu au unataka kuleta ulimbukeni wa mitandao, endelea! Watu hatuna idadi ya ban huju jamvini zinazobabishwa na watu kama nyiny
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…