Majibu ya Dr. Masau wa THI kwa maswali mbalimbali


MODS.

Nimetukanwa bila sababu naomba sheria ichukue mkondo wake, yote haya sababu kuna watu wanataka kutudanganya kuwa unaweza kutibu Marekani bila Leseni wakati Masau mwenyewe kasema hakuwa na leseni na hakutibu Marekani, mimi nijuavyo Gari huwezi kuendesha Marekani bila leseni ya Marekani hata kama umekaa miaka 20 na hilo gari useme kuwa unapanda wewe mwenyewe, sidhani kama Wamarekani wanaweza kumruhusu mtu kutibu bila leseni kutoka kwenye bodi ya udaktari, wanataka kutuambia kuwa leseni ya udereva ya Tanzania inafaa Marekani.

ukienda kujiendeleza na kozi ya Urubani Marekani unaweza kuwa na leseni yako ya Tanzania kwenye mafunzo lakini huwezi kurusha ndege za kimarekani na kubeba abiria wa Kimarekani bila kupata idhini ya bodi ya Wamarekani.
Acheni kudanganya watu Marekani inajulikana hadi kwenye mitandao sio lazima mtu aishi miaka 20 ndio aijue.
 
Kweli Jf Imevamiwa!!!!waeanza Na Ujuzi Mmepewa Vielelezi=o

Wamekuja Na Kodi!!!nyie Tra???????

Wachieni Mahakama Zifanye Kazi

Loh!!!!!!!!!!!!!!!
 

Buraza Kalumanzira....bwahahahahahahahaha...hii imenichekesha. Huyu buraza kachemsha kweli kweli hapa.....
 

Ebana eeh jibu swali: Unakubali kuwa alisomea upasua moyo?
 
MAUMAU MKUU

SOMA HAPA

2. Nilikuwa sponsored na University of Texas Health Science Center-Houston kwenda Texas Heart Institute kwenye Cardiovascular Surgery Fellowship Program. Nilikuwa Texas Heart Institute kwenye hiyo program kuanzia January 1997 hadi June 2000 na katika kipindi hicho nilishiriki katika kufanya operation za upasuaji wa moyo zaidi ya 1800 (vielelezo vyote vipo).
 
Pumba za aliyesema kuwa unaweza kutibu bila leseni Marekani na Masau kajibu kuwa hakuwa na leseni hakutibu Marekani na hajulikani na TEXAS MEDICAL BOARD kama Daktari anayetibu.
 
Endeleeni naona hamna nia ya kuchangia zaidi ya shari.
Kazi njema endeleeni.
 
nani sasa asiyejua hilo? kama unaishu na alosema hivyo sasa si umalizane nae kwenye PM kwani ni lazima utupe wooote ride hapa? isitoshe ni post ngapi umetundika unaongelea jambo hilo hilo moja? shika adabu yako na jaribu kujiheshimu.
Lete matusi zaidi, hiyo hainizuiwii kumjadili Masau na mapungufu yake hata ushushe matusi kila Post ndio unazidi kunipa nguvu.
 
exactly...get outta here!!.

Vitisho kwangu ni mwiko kaanza mwenzio kuwa kaishi miaka 20 Marekani na sasa kakimbia, wewe lete matusi kadri unavyoweza lakini Masau hakutibu Marekani na hana LICENCE ya kazi hiyo, matusi yako na jamaa zako hayawezi kuwa LICENCE ya Masau Ku practise Marekani, yeye kakiri hakuwa na licence, wewe mpambe unasema alikuwa na licence.
 
Kuna watu watatamani dunia ipasuke waingie huko wajifiche. Duh hii ni kali haya tulikuwa tunagubikwa hapa na porojo. Mwenyewe kasema sasa. Bring another Theory...

Amekubali kuwa hakuwa na licence ya udaktari ya kutibu na hakuwahi kutibu kama Daktari alikuwa Marekani kwenye capacity ya uanafunzi tu, Hakuwahi kuajiriwa kama Daktari na Taasisi yeyote Marekani. Yalisemwa mengi kuwa kafanya kazi na alikuwa akilipwa vizuri angelipwa vipi bila leseni?

Ukiwa na leseni ya udereva ya Tanzania huwezi kuendesha UK au Marekani bila kuwa na leseni au kupewa baraka za bodi zinazohusika na mambo hayo za UK au Marekani.

Masau anasema hajui Mtandao wakati alifanya mahojiano na Mwanakijiji kutokana na mijadala iliyopo humu JF kumuhusu yeye? na anasema hatujui lakini alihojiana na Mwanakijiji wiki tatu zilizopita. Masau amekuwa na kauli za kubabaisha sijui anaficha nini.

Kwenye Mahojiano alisema kuwa kama atawekewa mizengwe na serikali ya Tanzania atarudi Marekani, leo anasema hana leseni ya kutibu Marekani na hakuwahi kuwasiliana na bodi inayotoa vibali kwa madaktari kwani hakuwa na nia ya kuishi Marekani, lakini wakati anaongea na Mwanakijiji ali PRETEND kama ni Daktari anatibu Marekani, hayuko sawa anabadili sana kauli zake.
 
Kwa kauli hii unapingana na Mwanakijiji aliyesema kuwa alikuwa akilipwa pesa nyingi na Wamarekani kama daktari Bingwa? mbona mwenyewe alisema akiona mizengwe inazidi atarudi Marekani kuendelea kuwatumikia Wamarekani, jee alikuwa akidanganya na kututishia Nyau Watanzania ili tushtuke na kuona kuwa yeye ni kifaa kinaliliwa Marekani hivyo tumuache akae bure na tusimdai?
 
Duh ukisikia kumkoma nyani ndio huku....
Alafu kuhusu madokta kupractice bila license hizo cases ziko nyingi tuu, ukigoogle unazipata, mfano mzuri ukienda kwenye communities za latinos unawakuta tuu...
 
Kwa kauli yake kasema hakuwa na licence ya kutibu ya TEXAS na board ya kutoa licence hajawahi kuwasiliana nayo alitibu vipi bila leseni? soma paragraph namba mbili ya maelezo yake. HUWEZI KUTIBU BILA LESENI sawa unaweza kuwa dereva Mzuri lakini lazima uwe na leseni ili uendeshe gari.
 
Duh ukisikia kumkoma nyani ndio huku....
Alafu kuhusu madokta kupractice bila license hizo cases ziko nyingi tuu, ukigoogle unazipata, mfano mzuri ukienda kwenye communities za latinos unawakuta tuu...

Ukisema kuwa alikuwa anatibu bila licence ni kosa kubwa ni sawa na kumuuzia kesi? wapo wengine wanatumia vyeti vya wengine lakini huo si utaratibu,
yeye mwenyewe kasema ili atibu TEXAS alihitajika kuwa na LICENCE lakini hakuwa contact Texas Medical Board na wala hawamjui, kwa kauli yake ili utibu lazima uwe na LICENCE hili halihitaji kuishi miaka 20 Marekani au kumuuliza mtoto wa waziri yeyote unaweza kulipata kwenye google.
 

DR.Masau kasema kwenye maelezo yake paragraph ya pili kuwa HAKUWA NA LICENCE YA TEXAS na hakuwahi kuwasiliana na bodi inayotoa leseni ya kutibu kwa vile hakuwa na nia ya kuPRACTISE Udaktari Marekani, kauli ina maana kuwa hakuishi Marekani kwenye capacity ya Udaktari.
Pili
Kusema kuwa unaweza kutibu bila leseni kwa wale madaktari Vihiyo una maana alikuwa akitibu UNDERGROUND? kwanza ni kosa la kisheria na ikithibitika basi atakuwa na kesi ya kujibu, na kama alikuwa akifanya hivyo TEXAS basi una ungana na kauli yako wanaofanya hivyo ni madaktari vihiyo jee DR.Masau ni kihiyo?

ES unaweza kuendesha gari bila leseni kwa safari kadhaa lakini sheria za udereva ni kuwa na leseni hata kama unajua kuendesha, naamini fani ya Udaktari nayo inaheshima yake kama ku Practise ukiwa na baraka za bodi husika.

KUHANI yuko very right kuwa Masau hakuwahi kuwatibu Marekani kama kazi ndio maana hana picha hata moja akiwa Marekani kavaaa nguo za kidaktari.
Tulidanganywa sana kuwa alikuwa KIPUSA kwa Wamarekani, Mwenyewe kajikoroga kuwa hakuwa na leseni na kamuogopa KUHANI kama angesema ali Practise jamaa wa TEXAS wangemfungilia kesi kwa kutumia jina lao vibaya.
kuna watu wanapenda kupita mitaani na kujifanya kuwa wao ni usalama wa TAIFA kumbe sio kweli.

KUHANI.

Endelea kazi nzuri sana jamaa kajua unafuatilia kakubali ukweli kuwa hakufanya kazi TEXAS kwani alijua kuwa akisema uongo wewe utaupeleka kwenye Medical Board.
 

Sheria Inakutaka Uwe Na Leseni Ya Gari Hata Kama Unaendesha Vizuri Kiasi Gani, Kama Ilivyo Kuna Watu Wako Marekani Na Hawana Permit Lakini Si Sheria Inavyosema, Kama Ambavyo Unaweza Kuuza Madawa Ya Kulevya Au Kuwa Unaiba Chip Za Computer Marekani Lakini Sheria Haisemi Hivyo, Tunazungumzia Sheria Za Nchi Sio Njia Za Panya.

Ukisema Kuwa Masau Alikuwa Akifanya Illegal Unamuingiza Kwenye Jinai Bora Unanyamaze Kama Matusi Yamekwisha.
 
nadhani una matatizo makubwa sana, kujibishana na wewe ni kupoteza muda.

Matatizo unayo wewe na wenzako, mliotaka kutudanganya kuwa mtu unaweza kutibu bila leseni Marekani kwa vile mna miaka 20, yapo mnaweza kutudanganya na vigumu sisi kuthibitisha kama vile ukisema mnaishi NEXT DOOR na Bill GATES au jana Mlimtoa OUT OPRAH au suti anazovaa OBAMA ameazima kwenu na kwenye kampeni ya OBAMA mmechangia dola laki moja siwezi kubisha.

Lakini kusema kuwa DR.Masau alifanya kazi ya Udakatari Marekani sikubali na kuwa alifanya akiwa hana leseni ni kosa hata ukiwa Somalia kusiko na serikali bado ni kosa , sembuse Marekani?

Masau hakuwahi kuishi Marekani kama Daktari alikwenda kwa kozi ndogo ndogo na aliishi kama Mwanafunzi sio kama Daktari. Hivi unajua Daktari wa Moyo analipwa bei gani Marekani? anavyoipenda pesa Masua angerudi Bongo?
 
mioyo 1800 tangu 1997 - 2000; very possible; I attended several heart attack victims (myself as a patient); real in a day that group of Doctors used to attend (Surgery) about 20 more patients; but such operation differ, either bypass, adding a pace maker etc etc!

Kwa suala la Dr. Masau, such a shining examples of motivated doctors; if i was a Government official responsible for this issue, i cud have taken a fair solution discussing issues to solve differences and make something constructive come out!

Sijui kwenye serikali hawa watu wame-discuss vipi na Dr Msau, lakini mie naona issue hii siyo problem ni license; the guy is a real professional who can be utilized!!
 

Kuhani wa MARUHANI. Si ukiri tu kuwa ulizusha! Muungwana huomba radhi atelezapo kwa hoja. Umeshindwa hoja sasa wazua vioja...

Asha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…