Majibu ya John Mnyika kwa Rais Samia, Mwendelezo wa IQ ndogo ndani ya CHADEMA


..kama Raisi amesema uongo unashauri aitwe jina gani kama sio muongo?

..Raisi anayesema uongo ni kiongozi asiyejiheshimu yeye binafsi, pamoja na wananchi anaowaongoza.

..Rais SSH akitaka asiitwe muongo akanushe hayo aliyoyasema, au amtume muwakilishi wake kukanusha.

..Kinyume na hivyo itaonekana alidhamiria, na hivyo atahalalisha kuitwa MUONGO.
 
nadhani hata kwa wakati huu mali za Mbowe zote zinapaswa zizuiliwe pomja na acount zake.
lazima sheria ya Ugaidi ifuatwe kikamilifu.

Nilishangaa sana alipo fikishwa nakaona Mbowe anaruhusiwa kukumbatiana na jamaa zake!!
mahakamani lazima gaidi alindwe, nilishangaa pale kisutu inakuwaje Gaidi anapewa nafasi ya kukubatiana na watu mahakamani?!! hili halipaswi kujitokeza. ni muhimu vyombo vyetu vyote vikajifunza kutoka mataifa mengine namna ya kudili na watuhumiwa wa Ugaidi.
kamwe vyombo vyetu vya ulinzi na usalama visikubali kuhadaiwa au kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa na mawakili au viongozi wa chadema, lazima sheria ifuatwe kikamilifu kama ilivyo kuwa inafuatwa kwa washitakiwa wengine.
nilishangaa kuwaona watuhumiwa wenzake wa Ugaidi wamefungwa pingu huku Mbowe akiwa hajafungwa pingu, sijafahamu kwa nn,!! kama hakuna ulazima basi wote wasifungwe pingu, sio baadhi wanafungwa wengine hawafungwi!!!
 
JPM, KWELI ALIKUWA JEMBE. HUU UJINGA AKITAKA KABISA. WOOTE TULIKAA KIMYA, NA KWENDA KENYA
 
Umenikumbusha sekondari ..kuna wale wanafunzi walikuwa wa mwisho kutoka kwenye mitihani. Kwa mfano mtihani wa masaa matatu (3)..sisi tunatoka baada ya lisaa na nusu lakini kuna washikaji wanakomaa hadi wanaambiwa kalamu chini (Pens down) sasa subiri matokeo yakitoka wale wa pens down unakuta mtu kapa ta alama 34% wewe uliyetoka mapema una alama 78% .Andiko lako ni sawa na wale wa pens down.....
 
Umaskini shida sana.

Zikizuiliwa hizo mali wewe na mumeo mtafaidi nini? Au ndio mtaendelea kushindia mihogo na maji ya bwawani huku usiku mkiliwa na kunguni!!
 
Kwa akili hizi uchumi wa kati tutausikia kwenye bomba
 
kwel wewe nimwajiliwa mitandaoni, haya yooooote umepataje muda??? Haraf ujinga ujinga tu
 
Better Mnyika than this shit! Utterly low IQ
 
Wanaouliza kwa nini Mbowe amekamatwa sasa na si vinginevyo wanasahau kuwa Mbowe, Lema, Meya wa zamani Ubungo Boniface walikamatwa mara baada ya matokeo ya uchaguzi mkuu kutangazwa na kabla Rais hajaapishwa kwa kuchochea maandamano yasiyo na kikomo kupinga matokeo. Mambosasa alihojiwa na vituo vya ITV na TBC na kutoa madai hayo hayo ya ugaidi.
 
Ndugu mwandishi wa hili gazeti refu, mheshimiwa Rais alidai watanzania wamekubali tozo, hivi ni lini, wapi na sangapi alituomba maoni kuhusu hizi tozo?
 
Mnyika hatoshi,moja ya KM mbovu kabisa kuwahi kutokea kwenye upinzani
Bora hata chadema wamuweke Hamadi Tao au Dovutwa
Alivyokurupuka kumjibu Rais utadhani ametumwa na chama chake kumbe mawazo katoa tumboni mwake
 
Jiwe alikuwepo akaondoka, huyu naye ataondoka tu
 
NB: J Mnyika siyo zao la madrasa kama wewe.
 
Wewe Juma Juma naona kama vile hili jina lako linavyoonyesha na mawazo yako ni ya IQ zero!!
Kwa nni!!
Jambo aliloongelea SsH kuhusu kesi ambayo imefunguliwa na serikali yake ni makosa kwa kuwa yeye ni partner wa Sirro na hasa ni mkuu wa nchi!! Angejibu tu tusubirimatokeo ya kesi!! Ni kosa kwake kuingilia kesi na kusema eti hajui kwa nini alitoroka na kurudi kuja kuanzisha fujo!! Fujo gani???? Katiba mpya ni fujo???
Ndiyo tunaitaka!!

Eti wewe unauliza agenda ya Chadema ni nini??? Jibu n kwamba nyingi tayari zinatekelezwa na awamu ya tano na sita ila kwa mikakati mibovu sana! Kwa mfano elimubure imekuwa bora elmu!!!

Heshima!!!! Heshima hainunuliwi ila inatoka pande zote!!

Wapinzani hasa chama kikuu cha upinzani ni partners katika utawala wa nchi! She cannot treat them like trash!! Akijua yaliyofanyika katika uchaguzi wa 2021, yeye mama kama alivyofanya Rais wa Zanzibar alitakiwa kuwa wa kwanza kuwaleta karibu wapinzani!! Kwani alijua walivyoumizwa!! Wao waliomba maridhiano!! Eti yeye anapromise kukutana nao halafu anakwenda kukutana na wazee na watoto wa ccm badala ya viongozi wa opposition!! Lack of empathy! Nina hakika wala wewe hujui empathy maana yake ni nini!!

Ungeacha simu yako ili upate angalau URass!!
 
Rais mwenye low IQ kama macho kumchuzi...anachoweza ni kuvaa shungi,suti,kula urojo.kuendesha nchi sio kurembua na kuteua wajinga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…