Majibu ya John Mnyika kwa Rais Samia, Mwendelezo wa IQ ndogo ndani ya CHADEMA

Majibu ya John Mnyika kwa Rais Samia, Mwendelezo wa IQ ndogo ndani ya CHADEMA

..kama Raisi amesema uongo unashauri aitwe jina gani kama sio muongo?

..Raisi anayesema uongo ni kiongozi asiyejiheshimu yeye binafsi, pamoja na wananchi anaowaongoza.

..Rais SSH akitaka asiitwe muongo akanushe hayo aliyoyasema, au amtume muwakilishi wake kukanusha.

..Kinyume na hivyo itaonekana alidhamiria, na hivyo atahalalisha kuitwa MUONGO.
Yaani Rais abishane na kajitu kama Mnyika? Upo serious wewe? Rais akishaongea ndiyo imetoka hiyo. Mnyika atajibiwa na UVCCM wa Temeke.
 
Mnyika alikuwa anapewa backup na Slaa pamoja na Zitto , sa hv hawapo hawezi kustand alone , Lissu na Lema wapo ughaibuni wanakunywa supu , msigwa anakula zaka za kondoo wakati huo sugu yupo studio anascratch CD
We ngedere akili zako ni fupi
Mnyika kwa sasa ameamua kupigania tumbo lake kama wanavyopigania viongozi wenzake. Kwahiyo tusimlaumu sana, ni njaa zake ndo zinamsukuma kufanya haya.
Hivi mnyika alishaponaga uchiziii
Kwa hiyo magazeti yote yasiandike Habari za Mbowe kwa sababu ana kesi Mahakamani?
Yaani Rais abishane na kajitu kama Mnyika? Upo serious wewe? Rais akishaongea ndiyo imetoka hiyo. Mnyika atajibiwa na UVCCM wa Temeke.
yani ww naipendatz , akili huna naona una viazi kichwani .....hyo kauli yako unaonekana such a dumb@ss
 
Kosa kubwa CCM waaendelea kulifanya ni kuruhusu akili finyu kama ya mtoa mada ziwasemee.
Kama tungekuwa na viongozi wenye akili timamu basi wangepiga marufuku matumizi ya watu, mtu kama wewe unatumika ndio maana unaona Rais hakosei na haruhusuwi kukosea.
Kwa mtiririko wa hoja zako basi ni dhahiri wewe ni mjinga uliyemzidi Mnyika, hebu rejea hoja yako ya matakwa ya katiba na hitaji la wananchi halafu jiite Kubwa Jinga. Mkumbushe na Rais wako kuwa hata tozo hazikuwahi kuwa hitaji la wananchi wakat wa kampeni, ila kama ameona tija yake basi wewe na wenzako wa CCM muone tija ya katiba.
Sio dhambi kumuelimisha Rais nini maana ya Katiba, najua mnajua jina tu ila wewe na Rais hamjui hata maana ya katiba ndio maana bila aibu Rais anasema wananchi wanataka maji, umeme...masikini ya Mungu asijue mahusiano ya hizo huduma na katiba.
 
Walimuita JPM dikteta uchwara, hawakumjua vizuri! Kilichofuatia leo kuna mtu ana miguu miwili haifani urefu, mguu mmoja kama wa Hashim Thabit and mwingine kama wa Steve Nyerere, kakimbia na nchi kabisa! Sasa wamegeuka watetezi wa mafisadi (Lowasa) na magaidi (Mbowe)
Na huyo aliyekuwa na Miguu yote miwili yupo Chato anakunywa chai?
 
..hata akisema UONGO? 🙄
Hamna aliposema uongo! Hivi jamaa unashindwa kujiuliza kilichomfanya Mbowe aache msiba akimbilie Mwanza na kuanza kutukana mamlaka na kutoa kauli za kuchochea vurugu? Alikuwa ni kama mtu anayelazimishwa kukamatwa, sababu kubwa alishajua kwamba alishaingia nyavuni, wangemkamata Moshi hii ishu mnayoituamia kumtetea ya katiba mpya isingekuwa na mashiko, na angekimbilia nje ya nchi angechafuliwa sana na may be angekamatwa na interpol! Akaona acheze na akili za wafuasi wake ili mpige makelele mitandaoni akidhani Samia ataogopa, Samia siyo aina ya wanasiasa wa kuogopa criticisms, kwa hiyo njia yake imefeli vibaya! Magufuli ndiyo mtu alikuwa anachachawa na kukosolewa, mwisho wa siku kukosolewa huko kumemuua, his heart could not handle it anymore!
 
low IQ ni huyo jumong aliekuwa hataki chanjo enzi za Dr. Magufuli lakini sasa anataka.
 
Hamna aliposema uongo! Hivi jamaa unashindwa kujiuliza kilichomfanya Mbowe aache msiba akimbilie Mwanza na kuanza kutukana mamlaka na kutoa kauli za kuchochea vurugu? Alikuwa ni kama mtu anayelazimishwa kukamatwa, sababu kubwa alishajua kwamba alishaingia nyavuni, wangemkamata Moshi hii ishu mnayoituamia kumtetea ya katiba mpya isingekuwa na mashiko, na angekimbilia nje ya nchi angechafuliwa sana na may be angekamatwa na interpol! Akaona acheze na akili za wafuasi wake ili mpige makelele mitandaoni akidhani Samia ataogopa, Samia siyo aina ya wanasiasa wa kuogopa criticisms, kwa hiyo njia yake imefeli vibaya! Magufuli ndiyo mtu alikuwa anachachawa na kukosolewa, mwisho wa siku kukosolewa huko kumemuua, his heart could not handle it anymore!

..misiba ya corona siku hizi watu wanazika na kuondoka hawalali matanga kama zamani.

..mbowe alikuwa ktk maandalizi ya kongamano la katiba kabla ya msiba, hivyo sio ajabu kuendelea na shughuli hizo baada ya kuzika.

..angeweza kukimbilia popote na kupata hifadhi. so far hatujaona ushahidi wenye uzito kuweza kuwalazimisha Interpol kuchukua hatua.

..magufuli alikuwa anapenda kutesa wapinzani kuliko alivyokuwa akichukia kukosolewa.
 
Amefariki, njia ambayo mimi na wewe wote tutaenda
Wakati mmoja mnamfanya kuwa mlemavu ambaye leo unamkejeli hukujua kuwa kuna njia sote tutaenda? Haya yale manguvu yako wapi leo? Muwe na adabu na staha kwa binadamu kwa kiburi cha madaraka. Hata wewe hujafa hujaumbika, unaweza kuja kukatwa mpaka tako umuache Lisu akidunda.
 
Sasa mbona wewe ndiyo unaonekana una Low IQ! Kwani kwa upande wako wewe unamchukulia Rais kama nani? mungu mtu, malaika, au binadamu tu kama wewe!!

Kwa hiyo ulipenda Chadema wanyamaze!! Hopeless kabisa wewe. You are too low!! Mimi siyo Chadema, ila naungana nao kwenye mapambano dhidi ya demokrasia ya kweli nchini, na pia Katiba Mpya ya Wananchi. Hii Nchi siyo mali ya Ccm, au mtu yeyote yule!

Ni mali ya Watanzania wote.
Mkuu kunywa thupu nzito naja kulipia aisee! Hii nchi ina wanyonge walionyongoka kiakili kama mtoa mada ni hopeless kabisa..
 
Sasa mbona wewe ndiyo unaonekana una Low IQ! Kwani kwa upande wako wewe unamchukulia Rais kama nani? mungu mtu, malaika, au binadamu tu kama wewe!!

Kwa hiyo ulipenda Chadema wanyamaze!! Hopeless kabisa wewe. You are too low!! Mimi siyo Chadema, ila naungana nao kwenye mapambano dhidi ya demokrasia ya kweli nchini, na pia Katiba Mpya ya Wananchi. Hii Nchi siyo mali ya Ccm, au mtu yeyote yule!

Ni mali ya Watanzania wote.
wewe ni chadema tena mwenye kadi kabisa, acha kutuzuga hapa likubali tu chama lako chakavu
 
Mnyika alikuwa anapewa backup na Slaa pamoja na Zitto , sa hv hawapo hawezi kustand alone , Lissu na Lema wapo ughaibuni wanakunywa supu , msigwa anakula zaka za kondoo wakati huo sugu yupo studio anascratch CD
Na mbowe yuko lupango ananyea debe 😅😅😅
 
..misiba ya corona siku hizi watu wanazika na kuondoka hawalali matanga kama zamani.

..mbowe alikuwa ktk maandalizi ya kongamano la katiba kabla ya msiba, hivyo sio ajabu kuendelea na shughuli hizo baada ya kuzika.

..angeweza kukimbilia popote na kupata hifadhi. so far hatujaona ushahidi wenye uzito kuweza kuwalazimisha Interpol kuchukua hatua.

..magufuli alikuwa anapenda kutesa wapinzani kuliko alivyokuwa akichukia kukosolewa.
Nafikiri ni muhimu kuiacha Mahakama ifanye kazi yake, na kwa vile wanasema ushahidi umekamilika basi hatosota rumande kwa muda mrefu. BTW naona huyu mama kaingia na utaratibu mzuri wa mtu kutokamatwa mpaka upelelezi ukamilike na mashahidi wote wawe tayari, tumeliona hili kwa Sabaya now tumeliona kwa Mbowe kwani wanasema ushahidi upo tayari so kesi itakwenda haraka. JAPO KUNA WAHUNI KADHAA WENYE CONNECTION NA VIHELA WANAWEZA KUTAKE ADVANTAGE YA HUU UTARATIBU, WAKITONYWA WANA MSALA WANAWEZA KUKIMBIA MAZIMA.
 
Wakati mmoja mnamfanya kuwa mlemavu ambaye leo unamkejeli hukujua kuwa kuna njia sote tutaenda? Haya yale manguvu yako wapi leo? Muwe na adabu na staha kwa binadamu kwa kiburi cha madaraka. Hata wewe hujafa hujaumbika, unaweza kuja kukatwa mpaka tako umuache Lisu akidunda.
Majanga kawaida kaka, unajuaje labda nimeshakatwa hilo tako? Lissu kudunda ni jambo jema pia. Ila mnashangaza kidogo nyie watu, mkiguswa kidogo mnakuja juu and wamoto!! Mbona huwakemei wanaoandika humu Samia mwaka huu hamalizi anakufa? Au sababu mpo upande mmoja?
 
MAJIBU YA MNYIKA KWA RAIS, MWENDELEZO WA LOW IQ NDANI YA CHADEMA

Siku zote nimekuwa nikisema Chadema ni genge la wahuni na basi kama kuna wakati hilo limethibitika basi ni majibu ya Chadema leo kwa mahojiano ambayo Mhe Rais Samia Suluhu Hassan ameyafanya na BBC akiwa mtulivu na akijenga hoja bila mbwembwe. Lakini loooh! linaibuka jitu hata mswaki sidhani kama limewahi kupiga leo na eti kujibu hoja za Rais. Hapa nachambua low IQ 10 za Chadema ktk hili:

1. RAIS HAKUZUNGUMZA NA CHADEMA BALI DUNIA

Kwanza Ni maajabu kuona Chadema wanaibuka kumjibu Rais katika masuala mbalimbali ambayo kwanza ametoa maoni yake kikatiba lakini ni masuala mtambuka na yanayogusa makundi mengi. Je, kila mtu aibuke kumjibu Rais?! Pumbavu kabisa!

Hapa ndipo unajiuliza hii style ya Chadema ya kukurupuka hata bila kuacha mambo yaende na wayatafakari ni kiashiria cha nini? Hakuna utulivu ndani ya Chama hicho? Hakuna uongozi ndani ya Chama? Kila mtu awe Katibu, Makamu Mwenyekiti wanachama, wote hawana ajenda ni mwendo wa kuropoka tu!!

Ni madhara haya katika point namba moja ndio hasa pia msingi wa udhaifu mwingine mwingi wa Chadema hapa chini!

2. KWAMBA RAIS KAINGILIA UHURU WA MAHAKAMA

Ni dai lenye akili ndogo na la mtu aliyekosa utulivu wakati wa kusikiliza mahojiano ya Rais. Rais alikuwa anajibu hoja ambayo hata Chadema wamekuwa wakiimba kuwa Mbowe wao kafunguliwa mashtaka ya kisiasa. Je wao nao kusema hivyo waliingilia uhuru wa Mahakama?

Rais kajibu umbea huo kwa kutoa investigative facts (na sio evidence) kwamba mbona tangu mwaka jana Mbowe alikuwa anajua anachunguzwa kwa makosa hayo??

Mwisho Rais baada ya kutoa historia hiyo ya kesi akasema sasa kama ni siasa au makosa ya jinai kamili aliyoyatenda Mbowe tuiachie Mahakama itaamua. Hapa Rais, kwa kauli low ya Mnyika, kakosea nini? Mmehoji mmejibiwa.

Katika historia, mawanda na filosofia ya dhana ya uhuru wa Mahakama haijawahi kuwa ni kuingilia Uhuru wa Mahakama mtu kuitaja kesi husika na kuijadili inavyokwenda au kujadili historia yake, mambo ambayo Mnyika pia leo katika press yake ameyafanya.

Kinachozuiwa ni kuingilia mwenendo wa kesi, kutoa ushahidi wa kesi na/au kumshikiza Jaji/Hakimu (haya yote Rais hakuyafanya isipokuwa ni Chadema wanayoyafanya kila siku kushinikiza Mbowe aachiwe wakati Mahakama itasikiliza na kuamua na leo pia katika press yake Mnyika amekosea tena kwa kuishinikiza Mahakama mara kadhaa).

Kwa hiyo hata pale Mnyika aliposema eti Chama chake kimewaagiza mawakili wao wakaangalie hatua za kuchukua labda waanze kumchukulia hatua yeye kwanza na Chadema wengine wanaoshinikiza Mahakama kila siku wakidai mashtaka ni ya kisiasa wanawasiwasi gani si wasubiri hukumu!

3. KWAMBA CHADEMA WANASUBIRI KUONANA NA RAIS

Low IQ, Rais kashasema ataita vyama vyote subirini muitwe na wenzenu pamoja ubinafsi wa nini? Halafu yule Makamu wenu zwazwa aliye nje ya nchi si alipigiwa simu na Rais akasema yuko busy! Mnatafutwa mnaleta dharau mnajuaje kama ndio alikuwa anawaita? Low IQ sana nyie, endeleeni kusibiri!

4. KUHUSU VURUGU ZA KISIASA

Kamnyika kanadai kauli ya Rais kukataa demokrasia ya vurugu haina maana kwamba si kweli wao hawaletagi vurugu. Haka kajamaa IQ nadhani imehama licha ya kuwa ndogo.

Chadema leo ni wa kujifanya hawajui chama chao kilivyosababisha mauaji Morogoro, Arusha na maeneo mengine? Wamesahau walivyosababisha vituo vya polisi, mali kama magari, maduka na miili ya watu ilivyoharibiwa vibaya kwa kuchomwa au kujeruhiwa kwa sababu ya maandamano kichaa kichaa ya Chadema na siku zote viongozi wao wakuu wakiwa wameyaanzisha na kuyakimbia na wanaoumia ni watu wa chini!

Anasema eti Trump anafanya mikutano Marekani, sasa kwani Rais Samia kakataa hilo lakini ushamuona Trump anafanya mkutano wafuasi wake wakavamia biashara za watu na kuiba mishkaki, wanavamia maembe ya watu, karanga na kujeruhi watu na kuua watu? Rais Samia alikuwa wazi hapa tutofautishe demokrasia makini na demokrasia ya fujo, hii ya pili hata Marekani hawaruhusu!Period.

5. KWAMBA KATIBA IMETOA HAKI YA KUANDAMANA

Madhara ya kukurupuka na low IQ. Hakuna haki ya kuandamana ndani ya Katiba bali haki ya kukusanyika na kukusanyika kwa pragmatikia ya ibara ya 18 ya Katiba sio lazima iwe kuandamana.

Lakini hata ingekuwa hivyo bado Mnyika asaidiwe asisome Katiba kama gazeti. Ibara ya 30 ya Katiba inaweka masharti na mipaka, ambayo hata kama ingekuwa kweli maandamano ni haki bado kuna mambo ya kuzingatia kama kutoathiri usalama wa wananchi na kutovunja haki zao nyingine. Sasa huyu Mnyika wa wapi huyu eti anaona maandamano ni jambo la holela tu!!!Haki hiyo haipo si Tanzania tu bali hadi UK na US.

Ndio maana hata maandamano yasiyo ya kisiasa kule Marekani aliyoyataja kama “Black Lives Matter” wapo waandanaji waliokamatwa na kushtakiwa kwa kukiuka haki za wengine!

6. MUWE NA HESHIMA KWA MEDIA

Kuonesha maChadema ni makwapuaji ya haki huku wakidai haki leo Mnyika amesikika akiwalazimisha wanahabari eti waache kuchukua story kutoka maswali ya nyongeza badala yake wachukue story kutoka maelezo yake makuu.

Chama hiki ndio cha demokrasia? Demokrasia ndio hii ya kubinya uhuru wa habari kwa kuwapangia na kuwalazimisha cha kuandika?

7. CHADEMA AJENDA ZENU NI ZIPI SASA?

Wakati nafanya uchambuzi huu nikapause kwanza kujiuliza hivi tunadeal na watu wenye ajenda gani by the way!!

Zi wapi zama zile za kusimamia hoja kama ufisadi, mikataba ya gesi na madini na masuala kama barabara na maji?

Yani leo Chadema hoja hizo zikija haziwahusu ila ibua la Katiba wataaamka na low IQ zao na kukubamia asubuhi hata chai hawajanywa. Lost Boys!’

8.*MUWE NA STAHA KWA RAIS WETU

Kuibuka kwenu mara kwa mara na midomo yenu michafu na bila hoja kumtusi Rais wa nchi kwa lugha chafu kama kumuita muongo hatutaendelea kukubaliana na hayo.

Rais apewe heshima yake stahiki na kama hamko tayari kumheshimu, sisi tunamheshimu, na kama heshima ni ngumu kwenu basi kaeni kimya.

Rais huyu ni wetu sisi zaidi ya nyie mlioamua mwaka 2020 kuunga mkono ushoga, ugaidi na kila aina ya uchafu aliouleta Lissu. Mtuheshimu wengi tulioziona sera bora za JPM na Mama Samia walipopita mitaani kwetu. Mtu heshimu au mnyamaze.

9. KWAMBA WANANCHI WANATAKA KATIBA!

Chadema haki ya Mungu ni janga la nchi hii na kwa kweli tuishi nalo tu ipo siku. Mama Samia amepita kufanya kampeni yeye na marehemu JPM na mikutano ilikuwa live wote tulisikia na kuona wananchi wanataka nini.

Chadema pia wamepita mikoani kupitia Tundu Lissu na Mgombea mwenza wake. Ni asilimia ngapi ya wananchi walibeba mabango au kuuliza suala la Katiba mpya??

Upuuzi mtupu maana hata Lissu mahali pengi tu hakutaja kabisa Katiba mpya alijua watu wanataka maji, elimu, shule nk.

By the way nyie Chadema si ndio mlijitoa kuunga mkono Katiba pendekezwa ambayo ilishakuwa na mambo very progressive kama mgombea binafsi, kuhoji matokeo ya arais etc, kama mlikimbia Bunge la Katina na kulizuis kumalizia kazi yake wakati ule leo mna moral authority gani ya kudai katiba mpya? Low IQ!

10. CHADEMA WAACHE PAPARA

Kwa ujumla ni maoni yangu kuwa Chadema wafanye siasa na sio uanaharakati wa kila siku kusubiri viongozi wa Serikali waseme wao wajibu.

Chadema ni chama chenye mikakati ambayo mingi inabaki kwenye makaratasi. Leo chama hakina programu yoyote ya kukiimarisha chama chini ofisi zipo hoi nk lakini viongozi wa kitaifa ni wao na wanahabari ni wao na instagram. Siasa za kiki! Mnazidi kuchosha na kuchuja.

View attachment 1887233
Chadema wanarukaruka tu.....

Wamekosa hoja zenye UHALISIA....

Katiba mpya haijawaha hitaji la watanzania walio wengi.....

Hoja yao ya MAFISADI "ilikwibwa" kiutekelezaji na hayati JPM.....wameamua kutafuta "mguu mwingine wa kutokea".......

#KatibaIliyopoNiBora
#SiempreSerikaliMbiliZaJMT
#KaziIendelee
 
Nafikiri ni muhimu kuiacha Mahakama ifanye kazi yake, na kwa vile wanasema ushahidi umekamilika basi hatosota rumande kwa muda mrefu. BTW naona huyu mama kaingia na utaratibu mzuri wa mtu kutokamatwa mpaka upelelezi ukamilike na mashahidi wote wawe tayari, tumeliona hili kwa Sabaya now tumeliona kwa Mbowe kwani wanasema ushahidi upo tayari so kesi itakwenda haraka. JAPO KUNA WAHUNI KADHAA WENYE CONNECTION NA VIHELA WANAWEZA KUTAKE ADVANTAGE YA HUU UTARATIBU, WAKITONYWA WANA MSALA WANAWEZA KUKIMBIA MAZIMA.

..polisi na mahakama sio mahali salama kwa wasio wana-ccm.

..bado sijaona tofauti ya ukamataji wa polisi wa wakati wa jpm na ssh.
 
Back
Top Bottom