Majibu ya John Mnyika kwa Rais Samia, Mwendelezo wa IQ ndogo ndani ya CHADEMA

Yaani Rais abishane na kajitu kama Mnyika? Upo serious wewe? Rais akishaongea ndiyo imetoka hiyo. Mnyika atajibiwa na UVCCM wa Temeke.
 
Mnyika alikuwa anapewa backup na Slaa pamoja na Zitto , sa hv hawapo hawezi kustand alone , Lissu na Lema wapo ughaibuni wanakunywa supu , msigwa anakula zaka za kondoo wakati huo sugu yupo studio anascratch CD
We ngedere akili zako ni fupi
Mnyika kwa sasa ameamua kupigania tumbo lake kama wanavyopigania viongozi wenzake. Kwahiyo tusimlaumu sana, ni njaa zake ndo zinamsukuma kufanya haya.
Hivi mnyika alishaponaga uchiziii
Kwa hiyo magazeti yote yasiandike Habari za Mbowe kwa sababu ana kesi Mahakamani?
Yaani Rais abishane na kajitu kama Mnyika? Upo serious wewe? Rais akishaongea ndiyo imetoka hiyo. Mnyika atajibiwa na UVCCM wa Temeke.
yani ww naipendatz , akili huna naona una viazi kichwani .....hyo kauli yako unaonekana such a dumb@ss
 
Kosa kubwa CCM waaendelea kulifanya ni kuruhusu akili finyu kama ya mtoa mada ziwasemee.
Kama tungekuwa na viongozi wenye akili timamu basi wangepiga marufuku matumizi ya watu, mtu kama wewe unatumika ndio maana unaona Rais hakosei na haruhusuwi kukosea.
Kwa mtiririko wa hoja zako basi ni dhahiri wewe ni mjinga uliyemzidi Mnyika, hebu rejea hoja yako ya matakwa ya katiba na hitaji la wananchi halafu jiite Kubwa Jinga. Mkumbushe na Rais wako kuwa hata tozo hazikuwahi kuwa hitaji la wananchi wakat wa kampeni, ila kama ameona tija yake basi wewe na wenzako wa CCM muone tija ya katiba.
Sio dhambi kumuelimisha Rais nini maana ya Katiba, najua mnajua jina tu ila wewe na Rais hamjui hata maana ya katiba ndio maana bila aibu Rais anasema wananchi wanataka maji, umeme...masikini ya Mungu asijue mahusiano ya hizo huduma na katiba.
 
Na huyo aliyekuwa na Miguu yote miwili yupo Chato anakunywa chai?
 
..hata akisema UONGO? 🙄
Hamna aliposema uongo! Hivi jamaa unashindwa kujiuliza kilichomfanya Mbowe aache msiba akimbilie Mwanza na kuanza kutukana mamlaka na kutoa kauli za kuchochea vurugu? Alikuwa ni kama mtu anayelazimishwa kukamatwa, sababu kubwa alishajua kwamba alishaingia nyavuni, wangemkamata Moshi hii ishu mnayoituamia kumtetea ya katiba mpya isingekuwa na mashiko, na angekimbilia nje ya nchi angechafuliwa sana na may be angekamatwa na interpol! Akaona acheze na akili za wafuasi wake ili mpige makelele mitandaoni akidhani Samia ataogopa, Samia siyo aina ya wanasiasa wa kuogopa criticisms, kwa hiyo njia yake imefeli vibaya! Magufuli ndiyo mtu alikuwa anachachawa na kukosolewa, mwisho wa siku kukosolewa huko kumemuua, his heart could not handle it anymore!
 
low IQ ni huyo jumong aliekuwa hataki chanjo enzi za Dr. Magufuli lakini sasa anataka.
 

..misiba ya corona siku hizi watu wanazika na kuondoka hawalali matanga kama zamani.

..mbowe alikuwa ktk maandalizi ya kongamano la katiba kabla ya msiba, hivyo sio ajabu kuendelea na shughuli hizo baada ya kuzika.

..angeweza kukimbilia popote na kupata hifadhi. so far hatujaona ushahidi wenye uzito kuweza kuwalazimisha Interpol kuchukua hatua.

..magufuli alikuwa anapenda kutesa wapinzani kuliko alivyokuwa akichukia kukosolewa.
 
Amefariki, njia ambayo mimi na wewe wote tutaenda
Wakati mmoja mnamfanya kuwa mlemavu ambaye leo unamkejeli hukujua kuwa kuna njia sote tutaenda? Haya yale manguvu yako wapi leo? Muwe na adabu na staha kwa binadamu kwa kiburi cha madaraka. Hata wewe hujafa hujaumbika, unaweza kuja kukatwa mpaka tako umuache Lisu akidunda.
 
Mkuu kunywa thupu nzito naja kulipia aisee! Hii nchi ina wanyonge walionyongoka kiakili kama mtoa mada ni hopeless kabisa..
 
wewe ni chadema tena mwenye kadi kabisa, acha kutuzuga hapa likubali tu chama lako chakavu
 
Mnyika alikuwa anapewa backup na Slaa pamoja na Zitto , sa hv hawapo hawezi kustand alone , Lissu na Lema wapo ughaibuni wanakunywa supu , msigwa anakula zaka za kondoo wakati huo sugu yupo studio anascratch CD
Na mbowe yuko lupango ananyea debe 😅😅😅
 
Nafikiri ni muhimu kuiacha Mahakama ifanye kazi yake, na kwa vile wanasema ushahidi umekamilika basi hatosota rumande kwa muda mrefu. BTW naona huyu mama kaingia na utaratibu mzuri wa mtu kutokamatwa mpaka upelelezi ukamilike na mashahidi wote wawe tayari, tumeliona hili kwa Sabaya now tumeliona kwa Mbowe kwani wanasema ushahidi upo tayari so kesi itakwenda haraka. JAPO KUNA WAHUNI KADHAA WENYE CONNECTION NA VIHELA WANAWEZA KUTAKE ADVANTAGE YA HUU UTARATIBU, WAKITONYWA WANA MSALA WANAWEZA KUKIMBIA MAZIMA.
 
Majanga kawaida kaka, unajuaje labda nimeshakatwa hilo tako? Lissu kudunda ni jambo jema pia. Ila mnashangaza kidogo nyie watu, mkiguswa kidogo mnakuja juu and wamoto!! Mbona huwakemei wanaoandika humu Samia mwaka huu hamalizi anakufa? Au sababu mpo upande mmoja?
 
Chadema wanarukaruka tu.....

Wamekosa hoja zenye UHALISIA....

Katiba mpya haijawaha hitaji la watanzania walio wengi.....

Hoja yao ya MAFISADI "ilikwibwa" kiutekelezaji na hayati JPM.....wameamua kutafuta "mguu mwingine wa kutokea".......

#KatibaIliyopoNiBora
#SiempreSerikaliMbiliZaJMT
#KaziIendelee
 

..polisi na mahakama sio mahali salama kwa wasio wana-ccm.

..bado sijaona tofauti ya ukamataji wa polisi wa wakati wa jpm na ssh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…