Majibu ya John Mnyika kwa Rais Samia, Mwendelezo wa IQ ndogo ndani ya CHADEMA

Mnyika Ana IQ ndogo basi Tanganyika hakuna mwenye IQ kubwa😂😂😂😂
 
Hivi toka vyama pinzani vianze kina lipumba ,mbowe na lisu wamepalakwa mahakamani mara ngapi mpaka sasa, na selikali imeshinda kesi ngapi ktk hizo?

Kama usoma huwezi tazama picha.
 
..polisi na mahakama sio mahali salama kwa wasio wana-ccm.

..bado sijaona tofauti ya ukamataji wa polisi wa wakati wa jpm na ssh.
Hii ni kauli ya wapinzani siku zote, wakishinda huko Mahakamani basi mahakama ni nzuri sana, wakishindwa basi mahakama haifai!!! Ni mara ngapi na kesi ngapi mmeshinda huko mahakamani na mkaja hapa kusifia na kushangilia sana? Mifano ni mingi, michache ya hivi karibuni ni Mdude, kurudishiwa hela za faini, kuachiwa wanachama wenu kadhaa waliokuwa na kesi za uchaguzi!! Simkumbuki mwanachama prominent yeyote huko kwenu kafungwa na na bado yupo jela mpaka sasa kwa kipindi cha miaka 5 iliyopita. TUIACHIE MAHAKAMA IAMUE MZEE, MBONA JAMBO LIPO WAZI SANA? NA KESI ITAENDESHWA MAHAKAMA YA WAZI, SIONI KAMA KUNA TATIZO HAPO, LABDA MUHESHIMIWA MBOWE KUNA KITU HATAKI KIJULIKANE MAHAKAMANI!!
Kuhusu mapolisi wa TZ ni kwamba siyo kwamba hawapo fair kwa wapinzani tu, kundi kubwa linaloonewa na polisi TZ ni raia maskini, hao wanateseka mno mahabusu na magereza na hamna wakuwatetea. Mfano kuna siku kutokana na maujinga yangu niliyofanya niliingizwa mahabusu, sasa pale kituoni maaskari wengi wananifahamu (Viofa vya hapa na pale na mizinga), waliponiona walinihamisha fasta wakanipeleka mahabusu ya watoto ambapo mazingira siyo mabaya sana (wakasema Mkuu huwezi kukaa kule), ni maskini wangapi wanapata treatment kama hiyo? Hata huyo Mbowe treatment anayopata huko mahabusu siyo sawa na makapuku!
 
Umeweka na namba kabisa kwenye uzi wako utafikiri umeandika vitu vya maana kama mnyika hapigi mswaki kwanini usiende kuwa mke wake ili ukiwa kama mke wake wa pili uwe unamsisitiza awe anapiga mswaki
 

..ukiwalinganisha wapinzani na ccm mbele ya polisi na mahakama zetu, ccm ni raia daraja la kwanza, na wapinzani ni sawa na raia wa daraja la nne.

..kule Mwanza jeshi la polisi lilipeleka MBWA kukabiliana na wanachadema ktk kongamano la katiba. Je, ni lini uliona polisi wamepeleka mbwa kuwatawanya wanaccm?
 
Eti kijana kama huyu mleta mada ndio taifa la leo, kesho na keshokutwa 😭😭😭

Katiba anayopigania Mbowe ni ya Watanzania wote sio ya chadema.

Mimi naona bora wapinzani wanyamaze kimya ili watanzania wajue umuhimu wao
Yeah!

Wakinyamaza kimya na kufunga mibakuli two watawasaidia sana Watanzania
 
Lumumba fc siku hizi mnakula posho za bule shaka hajawashitukia endereeni kula mema ya nchi
 
Kwa mujibu wao ni kuwa CCM wanafuata utaratibu wote wa kisheria, CDM hawafuati, sijawahi kusikia CDM wakikanusha hilo kwa kuonesha/kusema ni utaratibu gani inabidi zifuatwe na kuonesha vidhibiti vyote waliufuata na bado wakapigwa, zaidi wanachofanya mara nyingi ni kuitisha press na kuwakejeli na kuwazushia uzushi, hata ningekuwa mimi polisi ningekuwa na kinyongo nao. Suala la Mwanza RC previous day alisitisha mikusanyiko isiyo ya lazima ili kulikabibili janga la covid, akasema wanaotaka kufanya mikusanyiko wakaombe vibali, CDM walienda kuomba kibali au waliamua kuwatunishia msuli polisi? Wangeomba kibali wangenyimwa si ingekuwa njia nzuri zaidi ya kupaza sauti tunanyimwa vibali vya kukutana? Mwisho wa siku Mbowe akamuita DC wa Nyamagana/Ilemela (not sure) kuwa ni mjinga kwenye press
 
Low IQ unaweza tumia Polisi badala yakupita tu?
Low IQ ungekuwa unazuia hoja zisijadiliwe kwa hoja?
Low IQ mbona wanaeleza mistari 5 wewe unaandika maelezo marefu kuwachambulia Low IQ ambao hawaeleweki kwako Bali kwa wengine wanaeleweka.
Mkuu huyo jamaa siyo low IQ ni zero (
0.00IQ)
 
Kwa nini upayuke hivi dhidi ya watu wenye IQ "ndogo"? Nawe IQ yako ni fupi kuliko ya wao.
 
Ukiwa mwerevu kabisa kabisa hadi muda huu utajua kati ya Salim Kikeke, Samia na Mnyika mwenye IQ ndogo ni yupi.
 
Wa
Wapumbavu kama wewe ni wengi!
 
Wa

Wapumbavu kama wewe ni wengi!
Ni kweli wako wengi...ni products za mikesha ya mwenge, hebu yaone hapa...
  1. JUMA JUMA
  2. Kamanda Asiyechoka
  3. Wakudadavuwa
  4. shamimuodd
  5. Redpanther
  6. GENTAMYCINE
  7. Jasusi Mbobezi
  8. Elitwege
  9. Idugunde
  10. Jumbe Brown
  11. johnthebaptist
  12. USSR
  13. Magonjwa Mtambuka
  14. Dr Akili
  15. Janjaweed
  16. mtanzania1989
  17. Phillipo Bukililo
  18. Mr Dudumizi
  19. digba sowey
  20. IDEGENDA
  21. Niza doyi
  22. Kivumishi Kielezi
  23. Gerald .M Magembe
  24. Jasusi Mbobezi
  25. Jay One
  26. Stuxnet
  27. Ezekiel Mbaga
  28. Latvia
  29. Iboya2021
  30. Ritz
  31. mama D
  32. Psalm 23
Kama jina lake halipo lakini unajua ana sifa zote za kuunganishwa katika orodha hii nitumie ujumbe, nitafanya hivyo chap chap!
 
😍 Muongeze Ritz
 
We fala Mag3 hujitambui.
 

“Gaidi” Mbowe anatuhumiwa katika risasi za Lissu. Wewe hapa unasema ni JPM. Halafu unamuita fisadi Lowassa, kada mkongwe wa CCM aliyeheshimiwa na JPM. What a paradox!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…