Majibu ya John Mnyika kwa Rais Samia, Mwendelezo wa IQ ndogo ndani ya CHADEMA

Done! Nataka wajulikane kabisa humu JF na hiyo kumbukumbu lazima itunzwe.

Kama huoni jina lako na unaamini unazo sifa zote za kuwepo kwenye orodha una haki ya kudai liongezwe na pia kama jina lako limeingizwa kimakosa una haki zote za kulalamika na kudai liondolewe.
 
Hawa Makada njaa bado wanaishi wakifikiri viongozi ni miungu yao na hawajibiwi wala kukosolewa, tulishapita huko haturudi tena na soon mtaelewa tuu na CCM hamna nguvu kama mnavyofikiria
 
Unawania kibarua cha Haniu.Wewe ndiye mwenye Low IQ kwa kumfanya Samia kuwa mungu wako.Rais si Mungu.
 
“Gaidi” Mbowe anatuhumiwa katika risasi za Lissu. Wewe hapa unasema ni JPM. Halafu unamuita fisadi Lowassa, kada mkongwe wa CCM aliyeheshimiwa na JPM. What a paradox!
Mimi sijasema Mbowe kahusika kwa Lissu, hayanihusu hapa. Kuhusu Lowassa nazungumzia undumilakuwili wa chadomo
 
Chandimu iliondoka na Dr Slaa, baada ya mbowe kukiuza kwa edo
 
🤠🤠🤠🤠 nawaza kuitisha press bila kupiga mswaki. Ila mnyika hata akiulizwa swali anajibu kama anajitoa mhanga utadhani Yuko Cabo Delgado
 
Taarifa makini alizonazo Raisi, Kwamfano Kwahiyo hizitozo wewe na familia yako mnafurahia kulinda na Raisi alivyosema wananchi wanaifurahia tozo? Kama sivyo huoni kama Raisi anaingizwa chaka bila mwenyewe kujua?
Kama taarifa za raisi ni makini mbona hawakusoma hukumu juzi walipokuwa mahakamani wakasema upelelezi haujakamilika
 

Unajua haka kamnyika lazima kamfurahishe Ayatollah. Vinginevyo, katapigwa chini fasta kafe kwa njaa!
 

Kama kawaida yao, wakija watasoma title na kuanza kutekeleza sera yao ya democrasia ya matusi, kwa sababu wao ni Chama Cha Demokrasia ya Matusi (CHADEMA).
 
John Mnyika alionyesha utovu wa nidhamu wa kiwango cha juu sana.
nilijiuliza swali hivi kama huyu ndio katibu mkuu wa Chadema anaharisha hivi je hao wana chama wengine wa kawaida itakuwaje?!
Jambo hili lina dhihirisha utovu wa nidhamu uliojengeka ktk chama hiki na ni ushahidi tosha kuwa Chadema hakuna uingozi bali kuna kundi la wahuni.
Chadema sio Chama cha siasa bali ni kikundi cha wahuni walio jificha ktk chama cha siasa.
nadhani muda sio mrefu chama hiki kitafutwa rasmi.
 
Orodha ya mikesha ya mwenge products inaongezeka. safari hii watajulikana wote katika rangi zao halisi. Kaniki ni kaniki tu hata ukiifua kwa PMO...
  1. JUMA JUMA
  2. Kamanda Asiyechoka
  3. Wakudadavuwa
  4. zandrano
  5. shamimuodd
  6. Redpanther
  7. GENTAMYCINE
  8. Jasusi Mbobezi
  9. Elitwege
  10. Idugunde
  11. Jumbe Brown
  12. johnthebaptist
  13. USSR
  14. Magonjwa Mtambuka
  15. Dr Akili
  16. Janjaweed
  17. mtanzania1989
  18. Phillipo Bukililo
  19. Mr Dudumizi
  20. digba sowey
  21. IDEGENDA
  22. Niza doyi
  23. Kivumishi Kielezi
  24. Gerald .M Magembe
  25. Jasusi Mbobezi
  26. Jay One
  27. Stuxnet
  28. Ezekiel Mbaga
  29. Latvia
  30. Iboya2021
  31. Ritz
  32. mama D
  33. Psalm 23
  34. Shambaboy jogoli
  35. Pulchra Animo
  36. BUSH BIN LADEN
Tafadhali sana kama unajua unazo sifa na ungependa jina lako lionekane katika hii orodha, nitumie ujumbe.
 
Mimi sijasema Mbowe kahusika kwa Lissu, hayanihusu hapa. Kuhusu Lowassa nazungumzia undumilakuwili wa chadomo
Unaamini JPM ndiye aliyesababisha kilema cha miguu cha Lissu - kama ulivyoandika?
 
Unaamini JPM ndiye aliyesababisha kilema cha miguu cha Lissu - kama ulivyoandika?
Siku zote kwenye crime investigation, kama umedhurika suspect wako wa kwanza ni adui yako namba moja, wa pili ni yule anayeweza kunufaika na kifo chako, sasa nadhani hivyo vyote unajua vinamuhusu nani kwa wakati ule?
 
Unaamini JPM ndiye aliyesababisha kilema cha miguu cha Lissu - kama ulivyoandika?
Siamini kabisa. Kama ni ......... basi awajui kazi kabisa. Walikuwa na ahakika wa kumsogea na kumaliza kabisa. Nahisi ni vibaya wa walio kumaliza Wangwe. Walinzi wa chama chao
 
Siamini kabisa. Kama ni ......... basi awajui kazi kabisa. Walikuwa na ahakika wa kumsogea na kumaliza kabisa. Nahisi ni vibaya wa walio kumaliza Wangwe. Walinzi wa chama chao
Basi mshauri nduguyo niliyemjibu awe mwangalifu na comment zake. Si vyema kumtwisha JPM zigo lisilomhusu. Hata Mh. SSH alishasema wakati wa kampeni za 2020 kuwa askari wao huwa hawatumii zaidi ya risasi 3.
 
Naunga mkono hoja ya demokrasia ya kweli lakini hayo mabadiliko hayawezi letwa na chama chenye mwenyekiti wa lifetime.waanze kusafisha nyumba yao kwanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…