Majibu ya John Mnyika kwa Rais Samia, Mwendelezo wa IQ ndogo ndani ya CHADEMA

Chadema usipotumia ubabe huwezi kukaa nao vizuri, nakumbuka walimuyumbisha kikwete na slogan ya kikuda et "nchi haitatawalika"
Mi naona huyu mama aliwalegezea sana.
KATIBA mpya kwanza
 
Poa mkuu, mama amejitahidi sana tena kwa weledi wa hali ya juu katika kujibu maswali ya Kikeke. Ujue ni Kikeke machachari. Tumeshapata jibu kuhusu Mbowe, naomba serikali iendelee na kazi yake.
Sitegemei majibu au mtazamo wa Mama kuhusu hiyo kesi ya akina Mbowe uwe tofauti na maelezo ya Polisi, kwani wao ndio wanampa taarifa hizo. Lakini kama nakumbuka vizuri, huko nyuma kuna Kijana mmoja alikuwa anakabiliwa na kesi moja na baadaye alikuja kusema kuwa Polisi walikuwa wanamshinikiza ataje baadhi ya Viongozi wa vyama vya siasa kuwa ndio wako nyuma yake. Kwa tabia kama hizo wanaweza kuwashinikiza hao vijana wanaoshitakiwa na Mbowe kufanya vivyo hivyo.
 
Kuliko kutoa ufafanuzi kwa kile asichokuwa na taarifa nacho sahihi, John Mnyika angekaa kimya kuonesha hana upande hususani kwenye Suala la Mbowe. Taarifa alizonazo Mhe.Rais ni taarifa makini kutoka kwenye vyombo makini na ni taarifa zilizofanyiwa uchunguzi na upembuzi hivyo ni taarifa za kuaminika kabisa, Kitendo cha Mnyika kupingana na taarifa za Rais na kutoa taarifa zisizojitosheleza ni kitendo cha kuchukulia suala la Mbowe katika upande wa kisisasa zaidi ya uvunjifu na uhatarishaji wa usalama.
Kama kweli taarifa alizonazo Rais ni taarifa makini basi hakuna sababu Mbowe kufikishwa mahakamani tukijua Polisi na Majaji wote ni wateule wa Rais, mahakama itoe hukumu tu.
 
MAJIBU YA MNYIKA KWA RAIS, MWENDELEZO WA LOW IQ NDANI YA CHADEMA

Siku zote nimekuwa nikisema Chadema ni genge la wahuni na basi kama kuna wakati hilo limethibitika basi ni majibu ya Chadema leo kwa mahojiano ambayo Mhe Rais Samia Suluhu Hassan ameyafanya na BBC akiwa mtulivu na akijenga hoja bila mbwembwe. Lakini loooh! linaibuka jitu hata mswaki sidhani kama limewahi kupiga leo na eti kujibu hoja za Rais. Hapa nachambua low IQ 10 za Chadema ktk hili:

1. RAIS HAKUZUNGUMZA NA CHADEMA BALI DUNIA

Kwanza Ni maajabu kuona Chadema wanaibuka kumjibu Rais katika masuala mbalimbali ambayo kwanza ametoa maoni yake kikatiba lakini ni masuala mtambuka na yanayogusa makundi mengi. Je, kila mtu aibuke kumjibu Rais?! Pumbavu kabisa!

Hapa ndipo unajiuliza hii style ya Chadema ya kukurupuka hata bila kuacha mambo yaende na wayatafakari ni kiashiria cha nini? Hakuna utulivu ndani ya Chama hicho? Hakuna uongozi ndani ya Chama? Kila mtu awe Katibu, Makamu Mwenyekiti wanachama, wote hawana ajenda ni mwendo wa kuropoka tu!!

Ni madhara haya katika point namba moja ndio hasa pia msingi wa udhaifu mwingine mwingi wa Chadema hapa chini!

2. KWAMBA RAIS KAINGILIA UHURU WA MAHAKAMA

Ni dai lenye akili ndogo na la mtu aliyekosa utulivu wakati wa kusikiliza mahojiano ya Rais. Rais alikuwa anajibu hoja ambayo hata Chadema wamekuwa wakiimba kuwa Mbowe wao kafunguliwa mashtaka ya kisiasa. Je wao nao kusema hivyo waliingilia uhuru wa Mahakama?

Rais kajibu umbea huo kwa kutoa investigative facts (na sio evidence) kwamba mbona tangu mwaka jana Mbowe alikuwa anajua anachunguzwa kwa makosa hayo??

Mwisho Rais baada ya kutoa historia hiyo ya kesi akasema sasa kama ni siasa au makosa ya jinai kamili aliyoyatenda Mbowe tuiachie Mahakama itaamua. Hapa Rais, kwa kauli low ya Mnyika, kakosea nini? Mmehoji mmejibiwa.

Katika historia, mawanda na filosofia ya dhana ya uhuru wa Mahakama haijawahi kuwa ni kuingilia Uhuru wa Mahakama mtu kuitaja kesi husika na kuijadili inavyokwenda au kujadili historia yake, mambo ambayo Mnyika pia leo katika press yake ameyafanya.

Kinachozuiwa ni kuingilia mwenendo wa kesi, kutoa ushahidi wa kesi na/au kumshikiza Jaji/Hakimu (haya yote Rais hakuyafanya isipokuwa ni Chadema wanayoyafanya kila siku kushinikiza Mbowe aachiwe wakati Mahakama itasikiliza na kuamua na leo pia katika press yake Mnyika amekosea tena kwa kuishinikiza Mahakama mara kadhaa).

Kwa hiyo hata pale Mnyika aliposema eti Chama chake kimewaagiza mawakili wao wakaangalie hatua za kuchukua labda waanze kumchukulia hatua yeye kwanza na Chadema wengine wanaoshinikiza Mahakama kila siku wakidai mashtaka ni ya kisiasa wanawasiwasi gani si wasubiri hukumu!

3. KWAMBA CHADEMA WANASUBIRI KUONANA NA RAIS

Low IQ, Rais kashasema ataita vyama vyote subirini muitwe na wenzenu pamoja ubinafsi wa nini? Halafu yule Makamu wenu zwazwa aliye nje ya nchi si alipigiwa simu na Rais akasema yuko busy! Mnatafutwa mnaleta dharau mnajuaje kama ndio alikuwa anawaita? Low IQ sana nyie, endeleeni kusibiri!

4. KUHUSU VURUGU ZA KISIASA

Kamnyika kanadai kauli ya Rais kukataa demokrasia ya vurugu haina maana kwamba si kweli wao hawaletagi vurugu. Haka kajamaa IQ nadhani imehama licha ya kuwa ndogo.

Chadema leo ni wa kujifanya hawajui chama chao kilivyosababisha mauaji Morogoro, Arusha na maeneo mengine? Wamesahau walivyosababisha vituo vya polisi, mali kama magari, maduka na miili ya watu ilivyoharibiwa vibaya kwa kuchomwa au kujeruhiwa kwa sababu ya maandamano kichaa kichaa ya Chadema na siku zote viongozi wao wakuu wakiwa wameyaanzisha na kuyakimbia na wanaoumia ni watu wa chini!

Anasema eti Trump anafanya mikutano Marekani, sasa kwani Rais Samia kakataa hilo lakini ushamuona Trump anafanya mkutano wafuasi wake wakavamia biashara za watu na kuiba mishkaki, wanavamia maembe ya watu, karanga na kujeruhi watu na kuua watu? Rais Samia alikuwa wazi hapa tutofautishe demokrasia makini na demokrasia ya fujo, hii ya pili hata Marekani hawaruhusu!Period.

5. KWAMBA KATIBA IMETOA HAKI YA KUANDAMANA

Madhara ya kukurupuka na low IQ. Hakuna haki ya kuandamana ndani ya Katiba bali haki ya kukusanyika na kukusanyika kwa pragmatikia ya ibara ya 18 ya Katiba sio lazima iwe kuandamana.

Lakini hata ingekuwa hivyo bado Mnyika asaidiwe asisome Katiba kama gazeti. Ibara ya 30 ya Katiba inaweka masharti na mipaka, ambayo hata kama ingekuwa kweli maandamano ni haki bado kuna mambo ya kuzingatia kama kutoathiri usalama wa wananchi na kutovunja haki zao nyingine. Sasa huyu Mnyika wa wapi huyu eti anaona maandamano ni jambo la holela tu!!!Haki hiyo haipo si Tanzania tu bali hadi UK na US.

Ndio maana hata maandamano yasiyo ya kisiasa kule Marekani aliyoyataja kama “Black Lives Matter” wapo waandanaji waliokamatwa na kushtakiwa kwa kukiuka haki za wengine!

6. MUWE NA HESHIMA KWA MEDIA

Kuonesha maChadema ni makwapuaji ya haki huku wakidai haki leo Mnyika amesikika akiwalazimisha wanahabari eti waache kuchukua story kutoka maswali ya nyongeza badala yake wachukue story kutoka maelezo yake makuu.

Chama hiki ndio cha demokrasia? Demokrasia ndio hii ya kubinya uhuru wa habari kwa kuwapangia na kuwalazimisha cha kuandika?

7. CHADEMA AJENDA ZENU NI ZIPI SASA?

Wakati nafanya uchambuzi huu nikapause kwanza kujiuliza hivi tunadeal na watu wenye ajenda gani by the way!!

Zi wapi zama zile za kusimamia hoja kama ufisadi, mikataba ya gesi na madini na masuala kama barabara na maji?

Yani leo Chadema hoja hizo zikija haziwahusu ila ibua la Katiba wataaamka na low IQ zao na kukubamia asubuhi hata chai hawajanywa. Lost Boys!’

8.*MUWE NA STAHA KWA RAIS WETU

Kuibuka kwenu mara kwa mara na midomo yenu michafu na bila hoja kumtusi Rais wa nchi kwa lugha chafu kama kumuita muongo hatutaendelea kukubaliana na hayo.

Rais apewe heshima yake stahiki na kama hamko tayari kumheshimu, sisi tunamheshimu, na kama heshima ni ngumu kwenu basi kaeni kimya.

Rais huyu ni wetu sisi zaidi ya nyie mlioamua mwaka 2020 kuunga mkono ushoga, ugaidi na kila aina ya uchafu aliouleta Lissu. Mtuheshimu wengi tulioziona sera bora za JPM na Mama Samia walipopita mitaani kwetu. Mtu heshimu au mnyamaze.

9. KWAMBA WANANCHI WANATAKA KATIBA!

Chadema haki ya Mungu ni janga la nchi hii na kwa kweli tuishi nalo tu ipo siku. Mama Samia amepita kufanya kampeni yeye na marehemu JPM na mikutano ilikuwa live wote tulisikia na kuona wananchi wanataka nini.

Chadema pia wamepita mikoani kupitia Tundu Lissu na Mgombea mwenza wake. Ni asilimia ngapi ya wananchi walibeba mabango au kuuliza suala la Katiba mpya??

Upuuzi mtupu maana hata Lissu mahali pengi tu hakutaja kabisa Katiba mpya alijua watu wanataka maji, elimu, shule nk.

By the way nyie Chadema si ndio mlijitoa kuunga mkono Katiba pendekezwa ambayo ilishakuwa na mambo very progressive kama mgombea binafsi, kuhoji matokeo ya arais etc, kama mlikimbia Bunge la Katina na kulizuis kumalizia kazi yake wakati ule leo mna moral authority gani ya kudai katiba mpya? Low IQ!

10. CHADEMA WAACHE PAPARA

Kwa ujumla ni maoni yangu kuwa Chadema wafanye siasa na sio uanaharakati wa kila siku kusubiri viongozi wa Serikali waseme wao wajibu.

Chadema ni chama chenye mikakati ambayo mingi inabaki kwenye makaratasi. Leo chama hakina programu yoyote ya kukiimarisha chama chini ofisi zipo hoi nk lakini viongozi wa kitaifa ni wao na wanahabari ni wao na instagram. Siasa za kiki! Mnazidi kuchosha na kuchuja.

View attachment 1887233
Sijasoma hadi mwisho ila nahisi una mtindio wa ubongo.
 
Huna akilI,Mnyika ni kakaake Mbowe au.
Mnyika ni katibu mkuu wa CDM na anayemtetea ni mwenyekiti wake. Asichague upande kivipi?
Watamzania wengi specifically wanaCCM ni wapumbavu sana.
 
Kuliko kutoa ufafanuzi kwa kile asichokuwa na taarifa nacho sahihi, John Mnyika angekaa kimya kuonesha hana upande hususani kwenye Suala la Mbowe. Taarifa alizonazo Mhe.Rais ni taarifa makini kutoka kwenye vyombo makini na ni taarifa zilizofanyiwa uchunguzi na upembuzi hivyo ni taarifa za kuaminika kabisa, Kitendo cha Mnyika kupingana na taarifa za Rais na kutoa taarifa zisizojitosheleza ni kitendo cha kuchukulia suala la Mbowe katika upande wa kisisasa zaidi ya uvunjifu na uhatarishaji wa usalama.
Taarifa makini alizonazo Raisi, Kwamfano Kwahiyo hizitozo wewe na familia yako mnafurahia kulinda na Raisi alivyosema wananchi wanaifurahia tozo? Kama sivyo huoni kama Raisi anaingizwa chaka bila mwenyewe kujua?
 
Kuliko kutoa ufafanuzi kwa kile asichokuwa na taarifa nacho sahihi, John Mnyika angekaa kimya kuonesha hana upande hususani kwenye Suala la Mbowe. Taarifa alizonazo Mhe.Rais ni taarifa makini kutoka kwenye vyombo makini na ni taarifa zilizofanyiwa uchunguzi na upembuzi hivyo ni taarifa za kuaminika kabisa, Kitendo cha Mnyika kupingana na taarifa za Rais na kutoa taarifa zisizojitosheleza ni kitendo cha kuchukulia suala la Mbowe katika upande wa kisisasa zaidi ya uvunjifu na uhatarishaji wa usalama.
Ongeza sauti tafadhali ndugu,yangu tafakari yako, hujaeleweka wala kusikika.
 
We mpumbavu,tueleze kwenye hiyo mizunguko ya kamapeni ya JPM na Samia,ni wapi ambapo wananchi tulisema tunataka tozo kwenye miamala?Mbona Mama anadanganya kuwa wananchi tumekubali tozo kwenye miamala?Aliwauliza wananchi gani?
Shwain!
 
MAJIBU YA MNYIKA KWA RAIS, MWENDELEZO WA LOW IQ NDANI YA CHADEMA

Siku zote nimekuwa nikisema Chadema ni genge la wahuni na basi kama kuna wakati hilo limethibitika basi ni majibu ya Chadema leo kwa mahojiano ambayo Mhe Rais Samia Suluhu Hassan ameyafanya na BBC akiwa mtulivu na akijenga hoja bila mbwembwe. Lakini loooh! linaibuka jitu hata mswaki sidhani kama limewahi kupiga leo na eti kujibu hoja za Rais. Hapa nachambua low IQ 10 za Chadema ktk hili:

1. RAIS HAKUZUNGUMZA NA CHADEMA BALI DUNIA

Kwanza Ni maajabu kuona Chadema wanaibuka kumjibu Rais katika masuala mbalimbali ambayo kwanza ametoa maoni yake kikatiba lakini ni masuala mtambuka na yanayogusa makundi mengi. Je, kila mtu aibuke kumjibu Rais?! Pumbavu kabisa!

Hapa ndipo unajiuliza hii style ya Chadema ya kukurupuka hata bila kuacha mambo yaende na wayatafakari ni kiashiria cha nini? Hakuna utulivu ndani ya Chama hicho? Hakuna uongozi ndani ya Chama? Kila mtu awe Katibu, Makamu Mwenyekiti wanachama, wote hawana ajenda ni mwendo wa kuropoka tu!!

Ni madhara haya katika point namba moja ndio hasa pia msingi wa udhaifu mwingine mwingi wa Chadema hapa chini!

2. KWAMBA RAIS KAINGILIA UHURU WA MAHAKAMA

Ni dai lenye akili ndogo na la mtu aliyekosa utulivu wakati wa kusikiliza mahojiano ya Rais. Rais alikuwa anajibu hoja ambayo hata Chadema wamekuwa wakiimba kuwa Mbowe wao kafunguliwa mashtaka ya kisiasa. Je wao nao kusema hivyo waliingilia uhuru wa Mahakama?

Rais kajibu umbea huo kwa kutoa investigative facts (na sio evidence) kwamba mbona tangu mwaka jana Mbowe alikuwa anajua anachunguzwa kwa makosa hayo??

Mwisho Rais baada ya kutoa historia hiyo ya kesi akasema sasa kama ni siasa au makosa ya jinai kamili aliyoyatenda Mbowe tuiachie Mahakama itaamua. Hapa Rais, kwa kauli low ya Mnyika, kakosea nini? Mmehoji mmejibiwa.

Katika historia, mawanda na filosofia ya dhana ya uhuru wa Mahakama haijawahi kuwa ni kuingilia Uhuru wa Mahakama mtu kuitaja kesi husika na kuijadili inavyokwenda au kujadili historia yake, mambo ambayo Mnyika pia leo katika press yake ameyafanya.

Kinachozuiwa ni kuingilia mwenendo wa kesi, kutoa ushahidi wa kesi na/au kumshikiza Jaji/Hakimu (haya yote Rais hakuyafanya isipokuwa ni Chadema wanayoyafanya kila siku kushinikiza Mbowe aachiwe wakati Mahakama itasikiliza na kuamua na leo pia katika press yake Mnyika amekosea tena kwa kuishinikiza Mahakama mara kadhaa).

Kwa hiyo hata pale Mnyika aliposema eti Chama chake kimewaagiza mawakili wao wakaangalie hatua za kuchukua labda waanze kumchukulia hatua yeye kwanza na Chadema wengine wanaoshinikiza Mahakama kila siku wakidai mashtaka ni ya kisiasa wanawasiwasi gani si wasubiri hukumu!

3. KWAMBA CHADEMA WANASUBIRI KUONANA NA RAIS

Low IQ, Rais kashasema ataita vyama vyote subirini muitwe na wenzenu pamoja ubinafsi wa nini? Halafu yule Makamu wenu zwazwa aliye nje ya nchi si alipigiwa simu na Rais akasema yuko busy! Mnatafutwa mnaleta dharau mnajuaje kama ndio alikuwa anawaita? Low IQ sana nyie, endeleeni kusibiri!

4. KUHUSU VURUGU ZA KISIASA

Kamnyika kanadai kauli ya Rais kukataa demokrasia ya vurugu haina maana kwamba si kweli wao hawaletagi vurugu. Haka kajamaa IQ nadhani imehama licha ya kuwa ndogo.

Chadema leo ni wa kujifanya hawajui chama chao kilivyosababisha mauaji Morogoro, Arusha na maeneo mengine? Wamesahau walivyosababisha vituo vya polisi, mali kama magari, maduka na miili ya watu ilivyoharibiwa vibaya kwa kuchomwa au kujeruhiwa kwa sababu ya maandamano kichaa kichaa ya Chadema na siku zote viongozi wao wakuu wakiwa wameyaanzisha na kuyakimbia na wanaoumia ni watu wa chini!

Anasema eti Trump anafanya mikutano Marekani, sasa kwani Rais Samia kakataa hilo lakini ushamuona Trump anafanya mkutano wafuasi wake wakavamia biashara za watu na kuiba mishkaki, wanavamia maembe ya watu, karanga na kujeruhi watu na kuua watu? Rais Samia alikuwa wazi hapa tutofautishe demokrasia makini na demokrasia ya fujo, hii ya pili hata Marekani hawaruhusu!Period.

5. KWAMBA KATIBA IMETOA HAKI YA KUANDAMANA

Madhara ya kukurupuka na low IQ. Hakuna haki ya kuandamana ndani ya Katiba bali haki ya kukusanyika na kukusanyika kwa pragmatikia ya ibara ya 18 ya Katiba sio lazima iwe kuandamana.

Lakini hata ingekuwa hivyo bado Mnyika asaidiwe asisome Katiba kama gazeti. Ibara ya 30 ya Katiba inaweka masharti na mipaka, ambayo hata kama ingekuwa kweli maandamano ni haki bado kuna mambo ya kuzingatia kama kutoathiri usalama wa wananchi na kutovunja haki zao nyingine. Sasa huyu Mnyika wa wapi huyu eti anaona maandamano ni jambo la holela tu!!!Haki hiyo haipo si Tanzania tu bali hadi UK na US.

Ndio maana hata maandamano yasiyo ya kisiasa kule Marekani aliyoyataja kama “Black Lives Matter” wapo waandanaji waliokamatwa na kushtakiwa kwa kukiuka haki za wengine!

6. MUWE NA HESHIMA KWA MEDIA

Kuonesha maChadema ni makwapuaji ya haki huku wakidai haki leo Mnyika amesikika akiwalazimisha wanahabari eti waache kuchukua story kutoka maswali ya nyongeza badala yake wachukue story kutoka maelezo yake makuu.

Chama hiki ndio cha demokrasia? Demokrasia ndio hii ya kubinya uhuru wa habari kwa kuwapangia na kuwalazimisha cha kuandika?

7. CHADEMA AJENDA ZENU NI ZIPI SASA?

Wakati nafanya uchambuzi huu nikapause kwanza kujiuliza hivi tunadeal na watu wenye ajenda gani by the way!!

Zi wapi zama zile za kusimamia hoja kama ufisadi, mikataba ya gesi na madini na masuala kama barabara na maji?

Yani leo Chadema hoja hizo zikija haziwahusu ila ibua la Katiba wataaamka na low IQ zao na kukubamia asubuhi hata chai hawajanywa. Lost Boys!’

8.*MUWE NA STAHA KWA RAIS WETU

Kuibuka kwenu mara kwa mara na midomo yenu michafu na bila hoja kumtusi Rais wa nchi kwa lugha chafu kama kumuita muongo hatutaendelea kukubaliana na hayo.

Rais apewe heshima yake stahiki na kama hamko tayari kumheshimu, sisi tunamheshimu, na kama heshima ni ngumu kwenu basi kaeni kimya.

Rais huyu ni wetu sisi zaidi ya nyie mlioamua mwaka 2020 kuunga mkono ushoga, ugaidi na kila aina ya uchafu aliouleta Lissu. Mtuheshimu wengi tulioziona sera bora za JPM na Mama Samia walipopita mitaani kwetu. Mtu heshimu au mnyamaze.

9. KWAMBA WANANCHI WANATAKA KATIBA!

Chadema haki ya Mungu ni janga la nchi hii na kwa kweli tuishi nalo tu ipo siku. Mama Samia amepita kufanya kampeni yeye na marehemu JPM na mikutano ilikuwa live wote tulisikia na kuona wananchi wanataka nini.

Chadema pia wamepita mikoani kupitia Tundu Lissu na Mgombea mwenza wake. Ni asilimia ngapi ya wananchi walibeba mabango au kuuliza suala la Katiba mpya??

Upuuzi mtupu maana hata Lissu mahali pengi tu hakutaja kabisa Katiba mpya alijua watu wanataka maji, elimu, shule nk.

By the way nyie Chadema si ndio mlijitoa kuunga mkono Katiba pendekezwa ambayo ilishakuwa na mambo very progressive kama mgombea binafsi, kuhoji matokeo ya arais etc, kama mlikimbia Bunge la Katina na kulizuis kumalizia kazi yake wakati ule leo mna moral authority gani ya kudai katiba mpya? Low IQ!

10. CHADEMA WAACHE PAPARA

Kwa ujumla ni maoni yangu kuwa Chadema wafanye siasa na sio uanaharakati wa kila siku kusubiri viongozi wa Serikali waseme wao wajibu.

Chadema ni chama chenye mikakati ambayo mingi inabaki kwenye makaratasi. Leo chama hakina programu yoyote ya kukiimarisha chama chini ofisi zipo hoi nk lakini viongozi wa kitaifa ni wao na wanahabari ni wao na instagram. Siasa za kiki! Mnazidi kuchosha na kuchuja.

View attachment 1887233
Wewe utakuwa unapigwa miti..sio bure
 
nadhani hata kwa wakati huu mali za Mbowe zote zinapaswa zizuiliwe pomja na acount zake.
lazima sheria ya Ugaidi ifuatwe kikamilifu.

Nilishangaa sana alipo fikishwa nakaona Mbowe anaruhusiwa kukumbatiana na jamaa zake!!
mahakamani lazima gaidi alindwe, nilishangaa pale kisutu inakuwaje Gaidi anapewa nafasi ya kukubatiana na watu mahakamani?!! hili halipaswi kujitokeza. ni muhimu vyombo vyetu vyote vikajifunza kutoka mataifa mengine namna ya kudili na watuhumiwa wa Ugaidi.
kamwe vyombo vyetu vya ulinzi na usalama visikubali kuhadaiwa au kupakwa mafuta kwa mgongo wa chupa na mawakili au viongozi wa chadema, lazima sheria ifuatwe kikamilifu kama ilivyo kuwa inafuatwa kwa washitakiwa wengine.
nilishangaa kuwaona watuhumiwa wenzake wa Ugaidi wamefungwa pingu huku Mbowe akiwa hajafungwa pingu, sijafahamu kwa nn,!! kama hakuna ulazima basi wote wasifungwe pingu, sio baadhi wanafungwa wengine hawafungwi!!!
 
CHADEMA na Wanaharakati wao wanakutana kujadili mahojiano ya Rais.
(SPACE) leo🤣😃
 
Ameshaanza kuwajambisha mkuu, Jan 2022 tunaianza kwa amani kabisa. Gaidi anakula 15 yake anatulizwa huko, wengine wakileta fyoko ni kichapo, na kichapo cha mother ni kizuri sana, unakamatwa kwa amani then unatumbukizwa selo, huko unabanjuliwa haswaa, ukitoka huko umeufyata, kale kapambalu unakasikia tena siku hizi tangu kafanyiwe jambo jema selo mwanza?
Akili matope hizi
 
Back
Top Bottom