Majibu ya Kikwete na BBC: Tumevuna tulichokipanda

Majibu ya Kikwete na BBC: Tumevuna tulichokipanda

Data unazileta cye twazijua toka wewe ujaijua JF.In auditing there z smthn fraudulent known as "Window dressing data" sasa kwenye siasa nacho kipo.Data zisizo na uwiano kulingana na hali halisi nazo tunaziita "Window dressing data" na kwa mtu mwelewa hawezi tegemea kutengeneza hoja kulingana na data kama hizo. Hivi unadhani kuibadili IPTL iwe ya gas na kuibua mradi wa asili ya IPTL Mwanza ni utimamu kweli?Unajua huu co wakati wa kushangilia goli moja wakati tumeshafungwa saba na dakika tisini zinabisha hodi.

Waulize ma mods, sie tupo humu kuanzia Jambo, unanini weyee? Dat ndio hizo kama unazako lete. Gas watu wako Japan wanainunua Oman na inafika bila bomba, au hujui hili? itakuwa hapa na Mwanza, unanchekesha!

Hayo mafuta mazito yanayofika huko, na diesel, na petroli, zinapatikana Tanzania kwa sasa? lakinimbona zinafika na tunazitumia? unanshangaza kweli wewe. Itakuwa ka gas ka jenereta moja katushinde kupeleka huko? kweli una matatizo ya uelewa.
 
Kikwete ana matatizo kujieleza, akibanwa anakuwa kama ana hasira hivi.

Lakini, kama haya maelezo ni kweli you gotta hand it to him, and ask him "what took you so long?"

Where were those before him? why they did not do it? were we having enough power before Kikwete?

600/80 = 7.5MW per year (All Presidents before Kikwete including The Queen).

300/6 = 50MW per year (Kikwete alone)

Forecast: 2000/10 = 200MW per year ( Kikwete alone).

We are on schedule.
 
Waulize ma mods, sie tupo humu kuanzia Jambo, unanini weyee? Dat ndio hizo kama unazako lete. Gas watu wako Japan wanainunua Oman na inafika bila bomba, au hujui hili? itakuwa hapa na Mwanza, unanchekesha!

Hayo mafuta mazito yanayofika huko, na diesel, na petroli, zinapatikana Tanzania kwa sasa? lakinimbona zinafika na tunazitumia? unanshangaza kweli wewe. Itakuwa ka gas ka jenereta moja katushinde kupeleka huko? kweli una matatizo ya uelewa.

Waliosema mapenzi ni upofu hawakukosea, una mahaba na rais mpaka chochote kinachofanyika kwenye uongozi wake wewe unaona sawa tu, swala sio kwamba mafuta hayawezi kufika bali ni kupunguza gharama, kama hoja ni hiyo kwa nini uone kule unaweza na huku unajaribu kuukwepa.
 
Sipendi tabia yake ya kucheka anapoulizwa maswali ya msingi.
 
Jamani naomba kuwauliza waungwana mana hivi karibuni hasa kwenye suala la umeme kumekua na kauli za JK kujitetea na pia wafuasi wake kumtetea kwamba "matatizo ya umeme ameyakuta".
Hivi kweli kauli hii ina tija na ni ya kutolewa na kiongozi makini?maana wakati anagombea urais hayo matatizo yalikuepo na aliyaona ina maana angekua mtu makini angekua na strategy kbs ya kutuondolea hayo matatizo! Sasa suala la kusema matatizo nimeyakuta tumueleweje?kwamba kma kayakuta sio jukumu lake kuyaondoa au kwamba alikua anataka kua rais tu ila hakua na nia ya kutuondolea hayo matatizo aliyoyaona kabla hajawa rais?
Mungu ibariki tanzania ili tupate viongozi wanaotaka kututatulia matatizo yetu na sio watawala wanaotaka kutuongoza tu ila matatizo wanasema sio yao

wakati anagombea si alijua kuna matatizo bado akayafuata alitegemea nini? si alituhaidi maisha bora? sasa kauli mbona inakinzana na ahadi zake?
 
Mwenye busara hu appreciate kazi za watu si kutwa Kikwete hajafanya hiki, hajafanya kile.Data zipo mbona hamzijibu? mnanikurupukia mie, mie naleta data za uhakika. Leteni zenu! achana namimi kabisa tena, wewe jibizana na hoja zangu tu.
Sijaona data inayohalalisha umaskini tulionao,mgao wa umeme,wizi wa mabilioni kila kukicha,uchache wa dawa hosptl na rundo la matatizo tuliyonayo!
 
Hiyo habari nimeisoma kutoka kwenye tovuti ya Tanesco kwenyewe sio lazima nisome kwenye post yako, Mheshimiwa rais alisema shida ni ukame kwa maana kwamba ukame umeanza kipindi yeye akiwa rais sasa swali langu kama kweli ukame umeanza yeye akiwa rais kwa nini basi walijenga IPTL tena yeye akiwa waziri mwenye dhamana ya Nishati?

IPTL inazalisha umeme kutumia maji? unanchekesha! labda maji rejeta ya kupoozea engine.
 
Kauli yake inamsuta huyu baba! Kama matatizo ya umeme aliyakuta na hawezi kuyamaliza ilikuaje alitoa ahadi kule Kigoma kuwaambia ataigeuza Kigoma na kua DUBAI nayo haya ni matatizo kuwa huyu baba hajui anaongea nini!
 
Sijaona data inayohalalisha umaskini tulionao,mgao wa umeme,wizi wa mabilioni kila kukicha,uchache wa dawa hosptl na rundo la matatizo tuliyonayo!

Umaskini hata Merekani upo. Kama unataka data kuhusu umaskini na njia zipi zinatumika kuumaliza, tafadhali soma hapa:

Poverty Monitoring
 
Splendid!

Nah...to me he suffers from 'blame everything on Bush syndrome'.

Same difference. Too bad we didn't make Kikwete a one term president as Obama is about be.

Hapo sina ubishi.

Perry 2012

Hahahaha! After Osama Bin Laden assasination.. you can count on another Obama term... huyo Perry anafanya rehearsal .... mkuu nasubiri kwa hamu US elections 2012... endelea kuwafagilia Repugs wako...
 
Waliosema mapenzi ni upofu hawakukosea, una mahaba na rais mpaka chochote kinachofanyika kwenye uongozi wake wewe unaona sawa tu, swala sio kwamba mafuta hayawezi kufika bali ni kupunguza gharama, kama hoja ni hiyo kwa nini uone kule unaweza na huku unajaribu kuukwepa.

Unapunguza gharama wakati hata huo umeme wa emergency hauna? lazima uwe na measures za sasa, za kati, na zabaadae. Hizi ni measures za haraka haraka. Za Baadae ni Steigler na Upepo.
 
Hahahaha! After Osama Bin Laden assasination.. you can count on another Obama term... huyo Perry anafanya rehearsal .... mkuu nasubiri kwa hamu US elections 2012... endelea kuwafagilia Repugs wako...

Nami nakusubiri kwa hamu sana....unakumbuka battles zetu za 08? I miss those days man....lol
 
Kwa hiyo unakubaliana na mimi kuwa yalikuwepo. Kilichotofauti na sasa ni severity tu. Manake mimi nakumbuka miaka ya mwanzoni mwa 90 mgao ulikuwepo.

Mgao ulianza rasmi August 1992 (kama sikosei). Kwa hiyo mwakani tutakuwa tunatimiza miaka 20 ya mgao wa umeme nchini na wakati huo huo hatujawahi kusikia kama kuliwahi kuwa na mgao kipindi chote cha miaka 23 ambacho Mwalimu alikuwa madarakani, lakini pamoja na rekodi hiyo nzuri sana ya Mwalimu ukilinganisha na wale waliomfuatia bado kuna wale ambao hawakubali kwamba Mwalimu alifanya mengi mazuri kwa Tanzania na Watanzabia likiwemo hili la upatikanaji wa umeme kwa uhakika kwa kipindi chote hicho. RIP Mwalimu.
 
Safi sana Bubu. Wewe una kumbukumbu nzuri sana.
 
Jamani kikwete kayakuta matatizo mengi sana. Kumbuka wakati wa chama chashika hatamu serikali ilitekwa na wanasiasa wachache na waliendesha nchi kisiasa sana na kusahau kutatua matatizo ya wananchi. Umeme ulikuwa nitatitizo, Kushuka kwa elimu, uhaba wa madoctor wilayani na vijijini,wazurulaji kuwa wengi mijini na mashambani,vijana wengi kukosa elimu ya secondari,uhaba wa vyuo vya elimu ya juu na vya ualimu. Sasa mkapa na kikwete ndio viongozi walio liona hilo na kujikuta wako hardpressed kutatua yote kwa wakati mmoja. Sasa hata kikwete akijitahidi namna gani kutatua matatizo muhimu kama elimu na vyuo vikuu bado ataonekana mbaya kwa wabaya wake. Chukulia kero ya viaja wa familia masikini kurudia darasa la saba mara kwa mara ili kupata elimu ya secondari. Hiyo ilikuwa tangia enzi za nyerere, lakini kikwete alipoitatua, hapati credits,. Si unaona maajabu hayo hayo?
 
Where were those before him? why they did not do it? were we having enough power before Kikwete?

600/80 = 7.5MW per year (All Presidents before Kikwete including The Queen).

300/6 = 50MW per year (Kikwete alone)

Forecast: 2000/10 = 200MW per year ( Kikwete alone).

We are on schedule.

That those before him did not do a good job is not a defense. They say two wrongs do not make a right.

Ukichukua urais kutoka kwa dikteta, ukaendeleza udikteta eti kwa sababu aliyekuwa kabla yako alikuwa dikteta, watu wakikusema kwamba utawala wako ulikuwa wa kidikteta, huwezi kukataa. Ukisema "niliyemkuta alikuwa dikteta pia" utakuwa unakubali kosa, hii si defense.

Ukikamatwa unaiba, kusema "hata huyu mwenzangu anaiba" si defence, ni kukubali kwamba wewe mwizi.

If you take someones office, and you see that that someone has been sluggish and doing things wrong, and you continue the same, you are no different.

Kikwete was elected to increase our power capacity, not to decrease or keep it constant, what took him so long into his administration to even start to take adverse measures ?
 
Back
Top Bottom