Majibu ya Postmoterm yaonyesha kwamba Hayati Ali Kibao alipigwa sana na kumwagiwa Tindikali

 
Duuh.

Mimi najiuliza tu kwenye jambo lenye utata namna hii,

Nani anatakiwa kutuletea sisi wananchi matokeo ya huo uchunguzi.

Maana kila upande unatuhumu upande mwingine.

Kazi ipo.
Upande upi unaotuhumu mwingine? ripoti ni moja kila Mhusika kapewa nakala yake, Familia imepewa, Chadema wamepewa, Polisi wamepewa na nakala nyingine imebaki Hospitali.

Jambo hili si la kuleta Kejeli, hujui kesho yako itakuwaje
 
Samia, The Blood Countess.

She's in a killing spree, and she is so paranoid. Up until 2025 many Tanganyikans will fall victims to her diabolical carnage.

Atachinja watu wengi sana huyu maza.

But unfortunately, she will also be victims of similar misfortunes and machinations that succumbed her predecessor who deified himself as a god among men.

She has crossed all the red lines.

R.I.P Comrade Kibao.​
 
Siyo kila mwana CCM ni mbaya. Hata polisi pia, wako wengi wazuri na hawapendezwi kabisa na haya mauaji. Dawa ni wananchi kuamka na kuondoa hawa wauaji. Hakuna short-cut.
Nakuhakikishia asilimia +99% ya polisi wana support CCM.

Police ya Tanzania wako ideologically aligned na CCM na serikali.

Wanaona ni wajibu wao kulinda na kutetea interests za CCM na serikali.

Kule kambini wanapopata mafunzo, aina ya maisha yao wakipata kazi, vitu wanavyosisitizwa wakiwa kazini lengo ni moja kuharibu akili zao wafikirie upande wa serikali na chama tawala tu.

Chunguza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…