Majibu ya Postmoterm yaonyesha kwamba Hayati Ali Kibao alipigwa sana na kumwagiwa Tindikali

Majibu ya Postmoterm yaonyesha kwamba Hayati Ali Kibao alipigwa sana na kumwagiwa Tindikali

Mwenyekiti wa Chadema Freeman Mbowe, amesema kwamba baada ya Uchunguzi wa Mwili wa Marehemu ulioshuhudiwa na Ndugu wa Marehemu pamoja na viongozi wa Chadema, Imebainika kwamba Ally Kibao ameuawa.

Zaidi ni kwamba amepigwa kupita kiasi na Pia alimwagiwa Tindikali ili aungue kabisa asitambulike.

Kwa maana hii sasa ni dhahiri kwamba kifo cha kinyama cha Mzee huyu SI KAZI YA MUNGU, Ni njama za watu waliotumwa.

Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee Roho yake, Amina.

Soma Pia:

Kweli bwana,maana wewe mrembo sana na Mungu amekupendelea hautakuja kufa, hutakuja kufiwa na yoyote yule umpendaye maisha yako yatatawaliwa na furaha
 
Maombi yako asiyapokee BWANA...

Ayapokee haya yangu hapa chini ,na atayapokea aaaamin aaaamin;

Eee BWANA WA MAJESHI endelea kumpa ulinzi mkuu Rais wetu Samia Suluhu Hassan na wasaidizi wake wote ,aaaamin aaaamin.

Eee BWANA WA MAJESHI nchi haisimami bila ya uwepo wa Rais ,basi kwalo ninakuomba uendelee kumsimamisha kwa kumpa siha njema ,umri mrefu ,nguvu na busara zaidi rais wetu Samia Suluhu Hassan aaamin aaaamin aaaamin[emoji7]

#Nchi Kwanza [emoji7]

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
Kwanza mtu mwenyewe kizibo unatumia Tecno F1 unajibizana na akili kubwa Yani ufanye dhambi halafu utake Mungu akuadhibu Mungu Gani huyo wewe unayemwamrisha kwamba asipokee maombi yangu apokee yako licha ya Kuwa Serikali na washirika wake hamsimamii haki? labda mungu wa mababu zako siyo Mungu tumuombaye katika haki na kweli uzuri kwani hivi vitu basi vina mda yule mzee wenu wa chato alikaa kwa mda Gani madarakani🤣🤣🤣🤣 si alikua ni Jiwe liko wapi?hata hyu hatakaa mda mrefu hyo pumzi njema unayomuombea wewe huku akiwa anadhulum pumzi za wengine ni dhahiri ungetumia mda wako kwa kazi nyingne.Nakukumbusha Mungu hadhihakiwi.Endeleeni kuwadhihaki CDM na Watanzania
 
Chadema mlinikera sana kushangilia kifo cha Magufuri

Siungi mkono utekaji na inaniuma sana
 
Ninashangaa sn ngoja niwaonyeshe ktu muone ccm wana shida gn na roho za watanzania..
Wakuu wote wa tume ya uchaguz watangaza matokeo wote ni wateule wa mwenyekt wa ccm.
Pili wakurugenz wote wanaotangaza matokeo ya ubunge na watoa fomu za kugombea ni wateule wa mwenyekt wa ccm na ni makada wa ccm.
Tatu watendaji wa kata wote ambao ndo wanatangaza diwan kashnda wengi wao n makada wa ccm.
NA WANACCM HUMU WANASEMA CHADEMA IMEPOTEZA MVUTO WATZ HAWAWAELEWI. SA KWANN BADO CCM MNATEKA NA KUUA MAKADA WA CHADEMA? KWANN MNAWATUMIA POLIS KUZUIA SHUGHURI ZA KSIASA ZA CHADEMA? mnataka nn nyie, polisi weng ni makada wenu.
 
Mungu aliyejuu ya viumbe wote ataamua hii kesi ya mauaji na utekaji kwa Watanzania wanyonge. Ni suala la muda tu hakika huyo anayeua watu ili apate cheo Mungu atamuamulia kabla ya kupata cheo hicho.
 
Back
Top Bottom