AminaMungu aliyejuu ya viumbe wote ataamua hii kesi ya mauaji na utekaji kwa Watanzania wanyonge. Ni suala la muda tu hakika huyo anayeua watu ili apate cheo Mungu atamuamulia kabla ya kupata cheo hicho.
"No more silence Our Nation is bleeding"Zaidi ni kwamba amepigwa kupita kiasi na Pia alimwagiwa Tindikali ili aungue kabisa asitambulikeView attachment 3090919
Hata mimi nimejiuliza sana kwa hili bila kupata majibu! Au ni kwa sababu ya uanajeshi wake 🤔Swali ambalo linahitaji kujibiwa ni:
Ni sababu zipi hasa zilizo wakasirisha hao watu kiasi cha kuwa na unyama kama ule kwake. Alitukana viongozi? Alikuwa ni tishio kubwa sana kwa CCM?
Kwa nini akawa yeye?
Mbona alikuwa hafahamiki kwa watu wengi, hadi CHADEMA wenyewe walipo towa habari za yeye kutekwa!
Kulikuwepo na sababu nyinginezo mbali ya siasa?
AmenMungu tenda miujiza yako uwape pigo TAKATIFU kwa chama cha siasa, na viongozi kama wanahusika na utekaji, utesaji, mauwaji kwa wanchama wa vyana vya upinzani, wanaoikosoa Serikali na wahusika wengine ambao hawapo kwenye Serikali.
GOD BLESS TANGANYIKA
Hata Mungu anafanywa kuwa sehemu ya sanaa; 'drama'! Ili mradi tu malengo ya kibinaadam yatimie.Halafu kuna mtu anajifanya ni swala 5 kumbe Shetwaini mkubwa.
Hapo kashamwaga damu ya Muislamu mwenzake. Na leo kwenye mazishi Waislamu wameikabidhi kesi hii kwa Allah mwenye kutenda haki, halafu na yeye anaenda kuswali kumwomba Allah amzidishie neema kubwa kubwa na ndogo ndogo. Endeleeni kumfanyia dhihaka Allah ila majibu mtakuja kuyapata.
Maswali ni mengi sana kuliko majibu.Aliwakosea Nini watesi wake huyu baba
Majibu anayo Samia aliyeagiza AuaweSwali ambalo linahitaji kujibiwa ni:
Ni sababu zipi hasa zilizo wakasirisha hao watu kiasi cha kuwa na unyama kama ule kwake. Alitukana viongozi? Alikuwa ni tishio kubwa sana kwa CCM?
Kwa nini akawa yeye?
Mbona alikuwa hafahamiki kwa watu wengi, hadi CHADEMA wenyewe walipo towa habari za yeye kutekwa!
Kulikuwepo na sababu nyinginezo mbali ya siasa?
Hakika anayo sababu.Majibu anayo Samia aliyeagiza Auawe
Kifo cha huyu mwamba kimenikumbusha IMRAN KOMBE.
AmenJiwe alilpa, na huyu atalipa. Ni swala la muda tu.
Ndani ya Chadema wamepotea watu wengi sanaHata mimi nimejiuliza sana kwa hili bila kupata majibu! Au ni kwa sababu ya uanajeshi wake 🤔