Majibu ya rafiki yangu baada ya kumuuliza Siri ya mafanikio yake

Burn the bridge _Tz

JF-Expert Member
Joined
Apr 15, 2021
Posts
2,319
Reaction score
6,878
Kaka tumekuwa wote kijijini
Wote tumefeli darasa la Saba

Leo hii kaka una v8 3 nyumba Zaidi ya 11 mashamba ndio usiseme maduka ndio kabisa

Naomba siri ya mafanikio.
Akasema mdogo wangu kuku maji unaweza kusex na nyoka???

Mpaka hapo nikaondoka sikuwa na majibu tena
 
Sema kuku maji mimi kama kaka ako naomba nikushauri kitu...

Toka hapo nyumbani tembea tembea kazi zipo nyingi tu.

Kwanini ukae emptyless tufanye kazi ndgu yangu kazi zipo..

Fanya kazi vuja jasho mda ni mali.
Mda ndo huu unaondoka jua kuna kipindi ma wewe utaitwa baba yaani bila kuweka msingi kipindi hiki mkuu hali itakua mbaya hapo badae...
 
Kuna kisa Cha kweli .miaka mmoja ni mkubwa tu wa makamo.kila mke ataenuoa antoweka.kuna dada akaolewa nae,Kila wakilala usiku anamuona huyo mume anatoka anaenda room Fulani ndani ya Hilo jumba la kifahari.akifika huko unasikia miguno akimaliza anarudi kulala Kwa mkewe.kila siku lazima aende.
 
Hilo ni jibu la kumnyima jibu mtu mjinga usiyetaka kumpa jibu halisi.
 
Utajiri ni siri
 
Chai
 
huyo dada hakumalizia story kama miguno ilikuwa ya kiume au ya kike?
 
huyo dada hakumalizia story kama miguno ilikuwa ya kiume au ya kike?
Akisema ni miguno ama yo ni ngumu kutafsiri,kaa dude Fulani linaunguruma.kama dk kadhaa then linanyamaza Kisha mwanaume anarudi chumbani.
Siku ndo alijipa ujasiri kwenda kuchungilia akaaona kiumbe la ajabu kama chatu.na likikosa ngono linalia.mke hapewi haki yake
Mwanaume sperms zake zinatoka damu,akifanya na mwanamke wa kawaida.
Housegirls wakijua Siri wanatoweka,watoto wanatoweka. Humohumo ndani
 
sasa watoto alipataje kama sperm zinatoka damu akifanya na mwanamke wa kawaida?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…