granitized
JF-Expert Member
- Jul 5, 2016
- 4,869
- 11,356
sasa kwa nn wasimripot kwenye vyombo husika?Anaona single moms tu...halafu wanapoteza watoto wao humo ndani
sasa kwa nn wasimripot kwenye vyombo husika?Anaona single moms tu...halafu wanapoteza watoto wao humo ndani
Ushirikina.maana kupotea ni Kwa mauzauza yani Ile ghafla.sasa kwa nn wasimripot kwenye vyombo husika?
Plan A: kufanya kazi kwa bidiiBest kakupa plan B endapo plan A itaferi na mara nying plan A hufeli
Sio wote wanaofanya kazi kwa bidii na kazi halali ufanikiwa plan B muhimu
Hilo tuuKaka tumekuwa wote kijijini
Wote tumefeli darasa la Saba
Leo hii kaka una v8 3 nyumba Zaidi ya 11 mashamba ndio usiseme maduka ndio kabisa
Naomba siri ya mafanikio.
Akasema mdogo wangu kuku maji unaweza kusex na nyoka???
Mpaka hapo nikaondoka sikuwa na majibu tena
Plan B nipe connection mkuuPlan A: kufanya kazi kwa bidii
Plan B: kuwa drug dealer
Plan C: kuwa jambazi
Plan D: kutafuta mshangazi mweupe mweny gar na hela za kutosha
basi hatar kubwaUshirikina.maana kupotea ni Kwa mauzauza yani Ile ghafla.
Polisi watakusaidia Nini?
Na mwanamke akikubali kwenda kuishi sharti hakuna kutoka nje. Wala kujuana na watu mtaani hovyo
Wengi anasema walikua wanamkimbia wakifanikiwa kutoka akiwa hayupo,unakuwa kama umepumbazwa ukiwa mle ndani