Majibu ya rafiki yangu baada ya kumuuliza Siri ya mafanikio yake

sasa kwa nn wasimripot kwenye vyombo husika?
Ushirikina.maana kupotea ni Kwa mauzauza yani Ile ghafla.
Polisi watakusaidia Nini?
Na mwanamke akikubali kwenda kuishi sharti hakuna kutoka nje. Wala kujuana na watu mtaani hovyo
Wengi anasema walikua wanamkimbia wakifanikiwa kutoka akiwa hayupo,unakuwa kama umepumbazwa ukiwa mle ndani
 
Best kakupa plan B endapo plan A itaferi na mara nying plan A hufeli

Sio wote wanaofanya kazi kwa bidii na kazi halali ufanikiwa plan B muhimu
Plan A: kufanya kazi kwa bidii
Plan B: kuwa drug dealer
Plan C: kuwa jambazi
Plan D: kutafuta mshangazi mweupe mweny gar na hela za kutosha
 
Hilo tuu
 
basi hatar kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…