PreGE2025 Majibu ya seneta wa Migori (Kenya) Hon : "Eddy Gicheru Oketch" kuhusu Bunge la Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Asante kwa taharifa
 
Angalia jinsi majibu ya MTU ambaye emeenda shule yanavyokuwa.
Haya majibu yanakatisha tamaa jinsi watanzania tulivyokuwa nyuma dhidi ya wenzetu wakenya
Vuka mpaka nenda katafute bwana mwenye akili Nairobi moyo wako utulie.
 
Dharau hizi
 
Upo nje ya mada, hapo wanaongelewa wabunge wako vilaza wanaotetea muhimili mwingine na kukandamiza muhimili wao wabunge wente sifa ya kusoma na kuandika

Wewe unakuja na habari za kulaza magari nje ujioni kama vile una upungufu wa uelewa
Usimjibu ZEZETA huyo. Maana hata aeleweki anazungumzia nini. Mada nyingine analeta habari ya gari kulala nje
 
Jibu mubashara la watu na elimu zao
 
Ujinga ni mwingi sana
Tafuta chimbo ulambe asali Mzee baba achana na wajinga
 
yuko sahihi kwa asilimia trilion 1, Mungu bariki wakenya
 
Hii ni sehemu ya mashingo yaliyobeba boga badala ya kichwa! na ni mengi kweli kwenye nchi hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…