Majibu ya Ubalozi wa Marekani kwa BAWACHA baada ya kushinikiza Freeman Mbowe kuachiwa huru

TUKUMBUSHANE hivi lissu aliokoka kwa kukimbilia wapi vileee? pamoja na harakati za KAMANDA ZIRRO na vibaraka wake kutaka kumnyaka lakini mwishoe waliinua mikono. so usijisahaulishe dadangu
 
KW
WAKUELEWA WAMEELEWA HAO CHADEMA VICHWA VIGUMU KWANZA LEO TUKO BUSY TUNAENDA KUPOKEA NDEGE MPYA
 
TUKUMBUSHANE hivi lissu aliokoka kwa kukimbilia wapi vileee? pamoja na harakati za KAMANDA ZIRRO na vibaraka wake kutaka kumnyaka lakini mwishoe waliinua mikono. so usijisahaulishe dadangu
hivi wangetaka kumdaka wangemsubiri mpaka amalize kampeni ? mbona wangeshamkamata muda mrefu sana jamaa anaogopa hadi kivuli chake hana lolote hakuna hata mtu alitaka kumkamata
 
Kwani Chadema bado ipo?
 
Kama mtu hajui maana ya kujipendekeza na kulamba makalio basi hiyo barua ya bawacha ndio text book example..Wamejinyenyekeza kwa beberu hadi huruma.
 
Kama mtu hajui maana ya kujipendekeza na kulamba makalio basi hiyo barua ya bawacha ndio text book example..Wamejinyenyekeza kwa beberu hadi huruma.
halafu beberu kawajibu shortly yaani wamejinyea huko waliko
 
haipo tena maana mwamba yupo nyuma ya nondo yaani ananyea debe kwa ujinga wake kuijaribu nchi na hakuna tena mwenyekiti wa kuweza kuongoza chama bila mbowe hakuna chadema
Sasa mnapambana na nani?
 
Mengine nikujito ufaham tu ,kwani upatapo matatizo nyumbani kwako ,na kuomba msaada wa jirani zako je ni kweli wao hawana matatizo ?

Matatizo Wanayo ila uzito wake ndo unatofautina simple,

Hivyo KWA yanayoendelea tz lazima shirikisha majirani, na mataifa yote yanayotusaidia , sion sababu za kuendelea pokea misaada tz inayotumiwa na watawala kukandamiza haki za watu , tuwekewe vikwazo Kama mbwai mbwai ,
Chadema someni hapa kwa kuelewa
 
h
hivi wangetaka kumdaka wangemsubiri mpaka amalize kampeni ? mbona wangeshamkamata muda mrefu sana jamaa anaogopa hadi kivuli chake hana lolote hakuna hata mtu alitaka kumkamata
hawakuwa na ujanja huo na wala wasingeweza... si walijaribu kumvizia wakamdaka nnje ya ubalozi je kilichotokea walifanyaje hao VIBARAKA WA MEKO kina ZIRRO na tim yake? jibu mwenyewe wala sikusaidii NDEZI wewe.
na kama hujui kitu bora upige kimya ukae chumbani unyonyeshe kinda lako afu mumeo akirudi nae akunyonyeshe yake mulale itakusadia kuliko kuwa zwazwa la lumumba
 
mkuu hawa kina mama D akili zao ni kama za MEKO bado ubongo umewaganda . meko alitaka nchi isiwe na rafiki jirani kabisaa hata ndg yake KAGAME walishindwana akamtema sababu kagame alisha msoma MEKO kuwa hayuko sawa (BRAIN). sasa hivi viNDEZI vyake vilivobaki na mawazo mgando bado vinakomaa tu wakizani MEKO YUPO kumbe yupo MAMA anabadilisha kila kitu alishoharibu MEKO sasahivi chanjo alizokataa MEKO hizoooo zimeingia sasa mama D ajifanye hajui kumbe hajui
 
MWALA unaonyesha ni kiasi gani ulivyo bwabwa yaani siku zote hizo anazunguka washindwe kumkamata kweli? kuwa serious basi hata kidogo hata kama unapakuliwa huko nyuma usipoteze akili mbwa wewe
 
NDIYO WAKOME KUJIPENDEKEZA
Balozi awapo hapa Nchini hana mamlaka yakuingilia siasa za nchini,yeye anapokea na kupeleka kwa aliyemtuma hapa nchini.

Balozi aweza kuondolewa na Rais any time akikiuka sheria za nchini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…