Utajuaje ka umeingia kwenye data base ...na halafu mpka nafasi zipatikane kigezo cha kuchukua kwenye database kipoje ikitokea taaluma moja mpo na 10 nafs moja ,,unatumika utaratibu gani kuchukuliwa ?? Kwa anaejuadata base ipo ndio hao ni watumishi kama watumishi wengine mzee
naomba kujua kitu hapa kwenye a/c ya ajira portal ....mfano ilifanikiwa kwenye mpka usahili wa mwisho wa mahojiano halafu kwenye ile nafasi baada kuandika SELECTED FOR ORAL imebadilika imeandika neno moja SHORTLISTED tu na haina maneno mengine kabisa inakuwa inaamaanisha nini wadau? Na ukiangalia pdf haijatoka wala kupigiwa simu kuitwa kazini ,,, ...ina maanisha nini hiii tusaidiane hapaUkiona haupo pdf na ujapigiwa sm ujue umekandwa pamban na nyingine maisha yaendlee
Utajuaje ka umeingia kwenye data base ...na halafu mpka nafasi zipatikane kigezo cha kuchukua kwenye database kipoje ikitokea taaluma moja mpo na 10 nafs moja ,,unatumika utaratibu gani kuchukuliwa ?? Kwa anaejua
Ulifanya oral lini na taasisi gani na post zilikuwa ngapi?View attachment 2413673naomba kujua kitu hapa kwenye a/c ya ajira portal ....mfano ilifanikiwa kwenye mpka usahili wa mwisho wa mahojiano halafu kwenye ile nafasi baada kuandika SELECTED FOR ORAL imebadilika imeandika neno moja SHORTLISTED tu na haina maneno mengine kabisa inakuwa inaamaanisha nini wadau? Na ukiangalia pdf haijatoka wala kupigiwa simu kuitwa kazini ,,, ...ina maanisha nini hiii tusaidiane hapa
Angalia kwenye app kwenye hipo shortlisted wamekuandikia nini afu utupe feedbackView attachment 2413673naomba kujua kitu hapa kwenye a/c ya ajira portal ....mfano ilifanikiwa kwenye mpka usahili wa mwisho wa mahojiano halafu kwenye ile nafasi baada kuandika SELECTED FOR ORAL imebadilika imeandika neno moja SHORTLISTED tu na haina maneno mengine kabisa inakuwa inaamaanisha nini wadau? Na ukiangalia pdf haijatoka wala kupigiwa simu kuitwa kazini ,,, ...ina maanisha nini hiii tusaidiane hapa
Sidhani aisee maana vyuo ndio wanaendesha hizi saili.Naombeni muongozo wakuu ivi izi saili za tutorial assistant na assistant lecturer zina database?? Kama hizi zingine nawasilisha wakuu
Mimi sijaona hilidata base ipo ndio hao ni watumishi kama watumishi wengine mzee
Sema itakuwepo mkuu maana kuna kipindi mkeka wa utumishi huwaga wanaita kazini tutorial assistant na assistant lecturer huenda wanatoaga databaseMimi sijaona hili
Zinakuwepo sema tatizo hizi nafasi hazitangazwi kila mara na ni ngumu sana kukuta ila post uliyofanyia chuo x imetangazwa tena na chuo y hapo ndo maana hata inaonekana haina data baseMimi sijaona hili
download app ya ajiraportal ipo play store then loginSijakuelewa hapo kuangalia app...
Subiri pdf kumbe mmefanya juzi tu mzeeOral ilikuwaga mwezi 09/22 ...post ilikuwaga moja tu
Kwanini unasema tulifanya juzi tu wakt sahv ni mwezi na ka wiki mbili kimya ....au majibu yanaweza kuchelewa mpka miezi 3 au 4??.... Maana jna niliona pdf ya Muce iliondikwa trh 25 oktoba22 na Muce inaonesha waliofanya usahili trh 16-18.. Ila waliopita walitakiwa kufika chuoni kukamilisha taratibu za ajira tarh 27sep 22-08okt22 Sasa pdf imetoka tarh 11/11/2022....imekaaje hiiiSubiri pdf kumbe mmefanya juzi tu mzee
Kuna wenzio walifànya mwezi 8 na hawajatoa mzee muce ile ni chuo kikuu labda kiliendesha interview chenyeweKwanini unasema tulifanya juzi tu wakt sahv ni mwezi na ka wiki mbili kimya ....au majibu yanaweza kuchelewa mpka miezi 3 au 4??.... Maana jna niliona pdf ya Muce iliondikwa trh 25 oktoba22 na Muce inaonesha waliofanya usahili trh 16-18.. Ila waliopita walitakiwa kufika chuoni kukamilisha taratibu za ajira tarh 27sep 22-08okt22 Sasa pdf imetoka tarh 11/11/2022....imekaaje hiii
Muce walipigiwa simu muda mrefu tu pdf ile ni upuuzi tuKwanini unasema tulifanya juzi tu wakt sahv ni mwezi na ka wiki mbili kimya ....au majibu yanaweza kuchelewa mpka miezi 3 au 4??.... Maana jna niliona pdf ya Muce iliondikwa trh 25 oktoba22 na Muce inaonesha waliofanya usahili trh 16-18.. Ila waliopita walitakiwa kufika chuoni kukamilisha taratibu za ajira tarh 27sep 22-08okt22 Sasa pdf imetoka tarh 11/11/2022....imekaaje hiii
Angalia kwenye vacancy kwenye account kuleUmeonea wap? Maana kwenye page ya utumishi haipo hyo re-advertsment chuo Cha Tengeru