Majibu ya Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba kuhusiana na mgomo wa Wafanyabiashara

Majibu ya Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba kuhusiana na mgomo wa Wafanyabiashara

Waziri Mwigulu Nchemba amedai kuwa VAT haitashushwa haya mambo ya migomo ni transitions tu huko mbele tutaelewana

View: https://youtu.be/jaFFC54DVQk?si=_VNvINncCIzKRlIA

Nimezipata nyama za kuongezea kwenye kitabu changu cha ujasiriamali, ambazo ni, business fail because of unworking government machineries and when problems are not solved at desired time and also uncertainties are catalyzed by self-absorbed group or self centered people deliberately or without their knowledge
 
Tatizo watanzania waoga ndiyo maana wanajibu Kwa kiburi. Anajua kabisa waliogoma mwishowe watafungua tu .Inatakiwa tufanye kama wakenya tukachome moto gari lake nyumba zake,na mabasi yake ya Esthe yote ili ajue jinsi Gani wtz wanaumizwa na matendo Yao maovu
 
Ifike mahali ma sisi wananchi tuamke, tuwakatae kama kenya. Watatuendesha hawa watu hadi lini?
 
Tatizo watanzania waoga ndiyo maana wanajibu Kwa kiburi. Anajua kabisa waliogoma mwishowe watafungua tu .Inatakiwa tufanye kama wakenya tukachome moto gari lake nyumba zake,na mabasi yake ya Esthe yote ili ajue jinsi Gani wtz wanaumizwa na matendo Yao maovu
Hakika💯💯💯🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 miaka 63 ya Uhuru Bado tupo na CCM chakavu ya mama kizimkazi na kina bashite mpaka machawa kina mwashambwa wanakula mema ya inchi huku walipa Kodi wakiwa hoi bin taabaan
 
Maendeleo ya kwanza kabisa ni Yale yanayomnufaisha mwanadamu, akapata maisha mazuri yasiyo na maumivu.
 
Attachments

  • 3ff5ad8562554e2b8517a4b0d09c1b26.mp4
    4.6 MB
Back
Top Bottom