Majiji 5 kwa Uzuri Tanzania

Ukitoka nje ya Tanzania ndio utajua Tanzania hakuna jiji!!! Eti Tanga ni jiji!??? Shame!!! Eti Dodoma ni jiji !?? Pathetic!? Vichekeshioooo
 
Ukitoka nje ya Tanzania ndio utajua Tanzania hakuna jiji!!! Eti Tanga ni jiji!??? Shame!!! Eti Dodoma ni jiji !?? Pathetic!? Vichekeshioooo
Kila kizuri kina kizuri na kila kibaya kina kibaya.
"Watanzania Tupende vya Kwetu"
~Late Magufuli Said
 
Mbeya hapana. Weka Tabora!
 
Hii haina uhalisia hapo ungeweka Mimi mizuri kwa asili na sio hizo man made materials kuna miji kiasili inavutia kama mwanza,arusha,Kilimanjaro....
zanzibar kama sehemu ya jamhuri ya muungano wa Tanzania lipo nafasi ya ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…