Majiji 5 kwa Uzuri Tanzania

Kama ni muzuri wa mandari
1. Arusha
2. Mbeya
3. Dar es Salaam
4. Mwanza
5. Tanga
6. Dodoma

Kwa uchumi
1. Dar es Salaam
2. Mwanza
3.Arusha
4.Mbeya
5 Dodoma
6 Tanga
 
Kama ni muzuri wa mandari
1. Arusha
2. Mbeya
3. Dar es Salaam
4. Mwanza
5. Tanga
6. Dodoma

Kwa uchumi
1. Dar es Salaam
2. Mwanza
3.Arusha
4.Mbeya
5 Dodoma
6 Tanga
Shukurani mkuu wa nyongeza hiyo na umeeleza vizuri sana
 
Tangu lini Mwanza ikazidiwa idadi ya Watu na Arusha. Umechemsha sana kafanye utafiti tena
 
Tangu lini Mwanza ikazidiwa idadi ya Watu na Arusha. Umechemsha sana kafanye utafiti tena
Mkuu rejea nimesema idadi ya watu kwa mwanza ni kwamjibu wa sensa ya mwaka 2002.
Na idadi ya watu kwa Arusha nikwamujibu wa Sensa ya mwaka 2012.
Hivyo Kulingana na sensa hiyo kivyovyote vile ndio maana Arusha imeonekana kuizidi Mwanza.
 
Usilitaje jiji la Dar es Salaam,maana ni chafu kimiundo mbinu,ukosefu wa maji n.k,we unayajua majiji au.??

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
Sasa hapo nataja top 5 ya majiji ya Bongo out of majiji 6.
Je, niiache Dar es salaam harafu nitaje Tanga?

Unataka nipigwe mawe mpaka nife.
 
Mkuu rejea nimesema idadi ya watu kwa mwanza ni kwamjibu wa sensa ya mwaka 2002.
Na idadi ya watu kwa Arusha nikwamujibu wa Sensa ya mwaka 2012.
Hivyo Kulingana na sensa hiyo kivyovyote vile ndio maana Arusha imeonekana kuizidi Mwanza.
Labda ulichukua idadi ya Nyamagana tu excluding Ilemela
 
Ukiondoa Tanga, kuna jiji jingine tena Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…