Majiji 5 kwa Uzuri Tanzania

Majiji 5 kwa Uzuri Tanzania

Mbeya ni nzuri kuliko hivyo Vimiji vyenu uchwara,ukipewa picha ya ziwa ngozi au mlima loleza au miteremko ya barabara ya mlima kawetele unaweza Shani uko uswisi au Himalaya nk

Shida yenu hata hamjawahi tembea Tzn hii.

Kwanza Mwanza na Dom kuna uzuri gani hapo
Ndiyo sababu tunasema Mbeya si mji. Watu wa mjini wanajua tofauti ya mandhari na mji. Eti ziwa ngozi na mlima loleza!. Hata katika vivutio hamsini vya taifa havimo. Unapoendelea kujidhihirisha hapa, unazidi kushusha hicho kijiji uchwara cha Mbeya.
 
Aisee Kuna siku nilishangaaa jinsi jiji la maputo lilivojengwa,DAR bado Sana!!
Ukienda Nigeria angalia Yale majimbo yao yalivyopiga hatua hapo ndio utaamini TANZANIA hatuna jiji.
 
Sio lazima viwemo Ili pawe pazuri wewe kiazi..Dar iliyowekwa namba moja kuna kivutio gani cha Taifa pale?
 
Aisee Kuna siku nilishangaaa jinsi jiji la maputo lilivojengwa,DAR bado Sana!!
Ukienda Nigeria angalia Yale majimbo yao yalivyopiga hatua hapo ndio utaamini TANZANIA hatuna jiji.
Tatizo la Miji ya Tzn ni ujenzi holela na kukosa miundombinu yenye hadhi.

Ni matumaini yetu baada TARURA kutafutiwa pesa watajenga barabara zenye hadhi

Mwisho Serikali itafute vyanzo vya uhakika vya mapato kwa ajili ya mamlaka za upangaji miji Ili kila kiwanja hata kiwe high density vipimwe
 
IMG_7012.jpg

Mbeya
 
Ni kweli Tanzani hakuna jiji zuri hata moja bali kuna baadhi ya sehemu/mitaa nzuri/mizuri.

Kigenzo cha kuwa na jiji zuri inatakiwa jiji lote lipimwe ,wajenge miundombinu ya sehemu zote,kusiwe na slums wala mapori,huduma zote za kijamii zipatikane,jiji zuri foleni kama zote,hakuna subway hata moja!
Kwake uzuri labda ni gorofa sio mipango miji, binafsi naungana na ww,hakuna jiji liliopimwa lote Tanzania,ila wamepima baadhi ya maeneo tu
 
Kwake uzuri labda ni gorofa sio mipango miji, binafsi naungana na ww,hakuna jiji liliopimwa lote Tanzania,ila wamepima baadhi ya maeneo tu

Hakuna namna inabidi tuingie hasara kulipa watu fidia na kupima TZ nzima ,tuwe na plan ya miaka 200 ijayo ,tatizo letu ni wabinafsi inatakiwa tuanze sasa,tusisubiri baadae ,miji inakuwa kwa kasi slums zitakuwa nyingi hivyo bei ya kuwalipa fidia wakazi itakuwa kubwa!! Sehemu iliyopimwa nia rahisi sana kuleta maendeleo na kupendeza maana mitaa itakuwa imepangika.
 
Hii haina uhalisia hapo ungeweka Mimi mizuri kwa asili na sio hizo man made materials kuna miji kiasili inavutia kama mwanza,arusha,Kilimanjaro....
Hata ningeweka ya asili wangesema niweke man made
 
Acha urongo mleta mada mbeya ina uzuri gani sasa labda uniambie ule uzuri wa asili wa kijiografia kama milima,ukijani, na vinginevyo lakini sio kiujenzi
Mkuu ndo maana ipo namba 5 kwa majiji.
Ukiangalia video kidogo utaona
 
Bila Kuiweka Kasulu Na Itilima Hii Orodha Ni Batili

Duh!
Kasulu=kayoga
Itilima=michembe
😂😂😂😂

Haa😆😅😄😃😂😁😀
Imana Ilakubonye (Mungu Anakuona)
Upo Deep Ndiyo Ukweli Wenyewe

Hujafika tanga wewe

Ni Kweli Ukiwa Kasulu Inaitwa Kasulu Inzoga
😎😃😂😅😆😍😎

Kama Mbeya ni pazuri basi TAnzania hakuna miji mizuri. Mbeya! Pyuuuuuu!

Nje ya nchi mbali, hajawahi kuvuka nje ya wilaya yake huyo
Hapo nimetaja majiji
 
Back
Top Bottom