Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii hapa ni orodha ya Miji mizuri Tanzania.
1-Dar es Salaam (Mzizima)
Eneo la mkoa ni jiji la Dar es Salaam ambalo ndilo kitovu cha shughuli za biashara (na za utawala, kwa kiasi fulani) nchini Tanzania, na ni kati ya majiji yanayokua haraka zaidi duniani.
Ni km² 1,800 pamoja na visiwa vidogo 8 na eneo la bahari kati ya pwani na visiwa hivi. Eneo la nchi kavu pekee ni km² 1,393.
Kuna wilaya tano: Kinondoni (wakazi 1,775,049), Ilala (wakazi 1,220,611) na Temeke (wakazi 1,368,881) ambazo zimeongezewa Kigamboni na Ubungo. Kila moja inaangaliwa kama mji. Takwimu hizi ni za mwaka 2012, kwa ujumla idadi ya wakazi ilikuwa 4,364,541.
Wakazi asili wa eneo la mkoa walikuwa Wazaramo pamoja na makabila madogo kama vile Wandengereko na Wakwere. Kutokana na kukua na kupanuka kwa jiji kuna makabila yote ya Tanzania.
2-Mwanza (Rocky city)
Jiji la Mwanza ni mji nchini Tanzania ambao ni makao makuu ya Mkoa wa Mwanza. Mji upo kando la ziwa Viktoria Nyanza Kulingana na sensa ya mwaka 2002 idadi ya wakazi wake ilihesabiwa kuwa 378,327 (ukijumlisha wakazi wa Wilaya ya Nyamagana na sehemu za Wilaya ya Ilemela).
3-Arusha (A city)
Arusha ni jiji la kaskazini mwa Tanzania na makao makuu ya Mkoa wa Arusha. Kiutawala eneo la jiji la Arusha ni sawa na eneo la Wilaya ya Arusha Mjini. Katika sensa ya mwaka 2012, idadi ya wakazi wa wilaya hiyo ilihesabiwa kuwa 416,442
4-Dodoma (Idodomya)
Ilitangazwa kuwa mji mkuu wa Tanzania mwaka 1973, lakini mnamo tarehe 26 Aprili 2018 katika maadhimisho ya miaka 54 ya muungano wa Tanganyika na Zanzibar, rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wa awamu ya tano John Magufuli aliupandisha hadhi na kutangaza rasmi kuwa Dodoma ni Jiji. Serikali ya awamu ya tano ilihamia rasmi jijini Dodoma mwaka 2016.
Jiji hili pia ni makao makuu ya Mkoa wa Dodoma na eneo lake linahesabiwa kama Wilaya ya Dodoma .
Eneo la mji liko mita 1135 juu ya usawa wa bahari UB. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, mji wa Dodoma ulikuwa na wakazi wapatao 410,956 waishio humo.
5-Mbeya (Green city)
Mbeya ni mji wa nne kwa ukubwa nchini Tanzania. Idadi ya wakazi imehesabiwa kuwa 385,279 katika sensa ya mwaka 2012. Wengine 300,000 hivi wanaishi katika mazingira karibu na Mbeya mjini.
Kiasili Mbeya ilikuwa eneo la Wasafwa. Siku hizi sehemu kubwa ya wakazi wanaweza kuwa mchanganyiko wa Wasafwa pamoja na makabila ya Wanyakyusa kutoka wilaya za Rungwe na Kyela, Wanyiha kutoka Mbozi, Wandali kutoka Ileje na Wakinga kutoka Makete.
Tazama zaidi video ya mandhari ya majiji hayo.
Mkuu tunaomba picha.Naomba kujua vigezo ili nami nilete picha zangu za;
- Kwamtogole Tandale
- Area C Dodoma
- Mwanjelwa Mbeya
- Mabatini Mwanza
- Ngaramtoni Arusha
Ulitaka ukute nini? Uzuri wa Mbeya uko kwenye mandhari na jiografia yake..mambo ya miundombinu na mipango miji ni ugonjwa wa nchi nzima
Mbeya hamna kitu ..View attachment 1817471
Mbeya City
View attachment 1817472
Mount Loleza - Unaosifia eti kivutio
View attachment 1817474
HIzi ndizo mandhari za Mbeya, nitakuja niwwaambie kwa nini Mbeya patabaki na ujima wake ukipewa Ceremonial Title. Watu wa Mbeya noma sana. Hawataki mawazo ya watu wasiokuwa wa kwao kama vile watu wasio wa Mbeya wanavyopata tabu kuwaongoza hawa watu. Ubishi wa kishamba, ubinafsi na ukablia ndiko mahala pake. Maendeleo yanahitaji kuchanganya fahamu na maarifa. Kaeni na mlima loleza wenu eti ndio kivutio cha jiji. Duh!.
Inayo 6 Tanga nalo ni jijiKwani Tanzania ina majiji zaidi ya matano?
Tunasubiri kwa hamu hiyo sababu.View attachment 1817471
Mbeya City
View attachment 1817472
Mount Loleza - Unaosifia eti kivutio
View attachment 1817474
HIzi ndizo mandhari za Mbeya, nitakuja niwwaambie kwa nini Mbeya patabaki na ujima wake ukipewa Ceremonial Title. Watu wa Mbeya noma sana. Hawataki mawazo ya watu wasiokuwa wa kwao kama vile watu wasio wa Mbeya wanavyopata tabu kuwaongoza hawa watu. Ubishi wa kishamba, ubinafsi na ukablia ndiko mahala pake. Maendeleo yanahitaji kuchanganya fahamu na maarifa. Kaeni na mlima loleza wenu eti ndio kivutio cha jiji. Duh!.
Wajinga hao wamezaliwa na kukulia Dar hakuna wakijuacho.Bujibuji mbona watu wanaibeza mbeya yetu
Arusha na Mwanza,hiyo Mwanza ni kubwa kwa watu nothing elseKuna jiji gani bongo la kuzidi mwanza ikiitoa Dar
Saiz kuanzia Mafiat kwenda meta m ni maghorofa tupu,bado Eneo kuanzia Uyole hadi mwanjelwa along Tanzam highway ni hot kwenye ujenziHahahah kwa sasa mbeya hiyo ghorofa ya CWT haiingii kuna mijengo mingi kama NHIF, Maranatha hospital, K's hospital na mingine mingi
Acha porojo wewe za kipuuzi wewe Mbeya inazidi kuendelea bila sapoti ya kijinga kutoka kwa mtu yeyote.View attachment 1817471
Mbeya City
View attachment 1817472
Mount Loleza - Unaosifia eti kivutio
View attachment 1817474
HIzi ndizo mandhari za Mbeya, nitakuja niwwaambie kwa nini Mbeya patabaki na ujima wake ukipewa Ceremonial Title. Watu wa Mbeya noma sana. Hawataki mawazo ya watu wasiokuwa wa kwao kama vile watu wasio wa Mbeya wanavyopata tabu kuwaongoza hawa watu. Ubishi wa kishamba, ubinafsi na ukablia ndiko mahala pake. Maendeleo yanahitaji kuchanganya fahamu na maarifa. Kaeni na mlima loleza wenu eti ndio kivutio cha jiji. Duh!.
Hizo ni mbuga tunazungumzia mandhari ya Mjini na outskirtsView attachment 1817476
View attachment 1817479
View attachment 1817484
View attachment 1817490
View attachment 1817492
Kuna sehemu gani Mbeya inayoweza kufikia hata robo ya ya mandhari kama hizi?
Sehemu zingine tunaona wanyama wamehama kutoka Serengeti ama mikumi. Lakini huko Mbeya, hata wanyama wa Kituro National Park wanawatambua, mlivyo wabaguzi . Hata hawana mpango wa kutembelea huko. Badilikeni, mfanye maendeleo yasiyo ubaguzi na wivu kwa wageni!. Period
Weka basi kapicha ka huo uzuri . 2014 bado mlikuwa mnadanganywa!!. Du!. Halafu leo jiji zuri, lakini halina barabara, kwa kuwa n abarabara moja. Bado unatetea ni mji mzuri, unamaendeleo. Siku zote watu wa Mbeya ni conservative. hamtaki kuona kwingine namnaamini mnachojua ninyi ndicho ruler, lakini mko nyuma sana. Kisa ni ubaguzi, ukabila, majungu na fitina kwa wageni.Saiz kuanzia Mafiat kwenda meta m ni maghorofa tupu,bado Eneo kuanzia Uyole hadi mwanjelwa along Tanzam highway ni hot kwenye ujenzi
Bado CBD kule kote ni [emoji91][emoji91]
Pia waambie Mbeya ina university/Collage/Campus karibu 10 hata Mwanza haina vyuo vingi kiasi hicho
Saizi Mbeya haijadili maghorofa bali tunajadili barabara dual carriage