Ndiyo sababu tunasema Mbeya si mji. Watu wa mjini wanajua tofauti ya mandhari na mji. Eti ziwa ngozi na mlima loleza!. Hata katika vivutio hamsini vya taifa havimo. Unapoendelea kujidhihirisha hapa, unazidi kushusha hicho kijiji uchwara cha Mbeya.Mbeya ni nzuri kuliko hivyo Vimiji vyenu uchwara,ukipewa picha ya ziwa ngozi au mlima loleza au miteremko ya barabara ya mlima kawetele unaweza Shani uko uswisi au Himalaya nk
Shida yenu hata hamjawahi tembea Tzn hii.
Kwanza Mwanza na Dom kuna uzuri gani hapo
Kwa uzuri Arusha haifikii Moshi,Mwanza iwe Na 3. Arusha ipande Na. 2, tenda haki!!
Ulitaka ukute nini? Uzuri wa Mbeya uko kwenye mandhari na jiografia yake..mambo ya miundombinu na mipango miji ni ugonjwa wa nchi nzimaNimefika mbeya pale jijin pako hovyo tu tofauti na nilivyokuwa nikipasikia sifa zake
Sio lazima viwemo Ili pawe pazuri wewe kiazi..Dar iliyowekwa namba moja kuna kivutio gani cha Taifa pale?Ndiyo sababu tunasema Mbeya si mji. Watu wa mjini wanajua tofauti ya mandhari na mji. Eti ziwa ngozi na mlima loleza!. Hata katika vivutio hamsini vya taifa havimo. Unapoendelea kujidhihirisha hapa, unazidi kushusha hicho kijiji uchwara cha Mbeya.
Tatizo la Miji ya Tzn ni ujenzi holela na kukosa miundombinu yenye hadhi.Aisee Kuna siku nilishangaaa jinsi jiji la maputo lilivojengwa,DAR bado Sana!!
Ukienda Nigeria angalia Yale majimbo yao yalivyopiga hatua hapo ndio utaamini TANZANIA hatuna jiji.
Kwake uzuri labda ni gorofa sio mipango miji, binafsi naungana na ww,hakuna jiji liliopimwa lote Tanzania,ila wamepima baadhi ya maeneo tuNi kweli Tanzani hakuna jiji zuri hata moja bali kuna baadhi ya sehemu/mitaa nzuri/mizuri.
Kigenzo cha kuwa na jiji zuri inatakiwa jiji lote lipimwe ,wajenge miundombinu ya sehemu zote,kusiwe na slums wala mapori,huduma zote za kijamii zipatikane,jiji zuri foleni kama zote,hakuna subway hata moja!
Miaka 7 baada ya lift ya kwanza kuzinduliwa Mbeya imebadilika Sana na hizo lift kwa sasa sio habari maana majengo marefu yameshajengwa hadi floor 10
Kwake uzuri labda ni gorofa sio mipango miji, binafsi naungana na ww,hakuna jiji liliopimwa lote Tanzania,ila wamepima baadhi ya maeneo tu
Ukuti fiki?Sure, kwa uzuri wa kimandhari hakuna hapo mji wa kuufikia mji wetu wa Mbeya.
Bila Kuiweka Kasulu Na Itilima Hii Orodha Ni Batili
Duh!
Kasulu=kayoga
Itilima=michembe
ππππ
Haaππ πππππ
Imana Ilakubonye (Mungu Anakuona)
Upo Deep Ndiyo Ukweli Wenyewe
Hujafika tanga wewe
Ni Kweli Ukiwa Kasulu Inaitwa Kasulu Inzoga
ππππ πππ
Kama Mbeya ni pazuri basi TAnzania hakuna miji mizuri. Mbeya! Pyuuuuuu!
Hapo nimetaja majijiNje ya nchi mbali, hajawahi kuvuka nje ya wilaya yake huyo