Majiji 5 kwa Uzuri Tanzania

Naomba kujua vigezo ili nami nilete picha zangu za;
  • Kwamtogole Tandale
  • Area C Dodoma
  • Mwanjelwa Mbeya
  • Mabatini Mwanza
  • Ngaramtoni Arusha
 
Naomba kujua vigezo ili nami nilete picha zangu za;
  • Kwamtogole Tandale
  • Area C Dodoma
  • Mwanjelwa Mbeya
  • Mabatini Mwanza
  • Ngaramtoni Arusha
Mkuu tunaomba picha.
Lakini sijakuelewa hayo maeneo uliyo quote ndio sehemu nzuri ya hayo Majiji au.
 
Ulitaka ukute nini? Uzuri wa Mbeya uko kwenye mandhari na jiografia yake..mambo ya miundombinu na mipango miji ni ugonjwa wa nchi nzima


Mbeya City



Mount Loleza - Unaosifia eti kivutio




HIzi ndizo mandhari za Mbeya, nitakuja niwwaambie kwa nini Mbeya patabaki na ujima wake ukipewa Ceremonial Title. Watu wa Mbeya noma sana. Hawataki mawazo ya watu wasiokuwa wa kwao kama vile watu wasio wa Mbeya wanavyopata tabu kuwaongoza hawa watu. Ubishi wa kishamba, ubinafsi na ukablia ndiko mahala pake. Maendeleo yanahitaji kuchanganya fahamu na maarifa. Kaeni na mlima loleza wenu eti ndio kivutio cha jiji. Duh!.
 








Kuna sehemu gani Mbeya inayoweza kufikia hata robo ya ya mandhari kama hizi?
Sehemu zingine tunaona wanyama wamehama kutoka Serengeti ama mikumi. Lakini huko Mbeya, hata wanyama wa Kituro National Park wanawatambua, mlivyo wabaguzi . Hata hawana mpango wa kutembelea huko. Badilikeni, mfanye maendeleo yasiyo ubaguzi na wivu kwa wageni!. Period
 
Mbeya hamna kitu ..

Ni takataka tu.

Bora mtu ukaishi songwe.
 
Tunasubiri kwa hamu hiyo sababu.
Ngoja tukae kwa kutulia
 
Bujibuji mbona watu wanaibeza mbeya yetu
Wajinga hao wamezaliwa na kukulia Dar hakuna wakijuacho.

Wengine Wana picha za 2014 na kipindi kile wanadanganywa eti ooh Mbeya hakuruhusiwi majengo marefu sijui tetemeko sijui maji na blaa blaa kibao

Kwa taarifa yao Mbeya ya sasa imeendelea na ni Jiji kubwa kuna kila kitu kinachopatikana kwenye majiji mengine.

Tuna changamoto ya barabara tuu ambayo nayo inamalizwa kabla ya 2025
 
Hahahah kwa sasa mbeya hiyo ghorofa ya CWT haiingii kuna mijengo mingi kama NHIF, Maranatha hospital, K's hospital na mingine mingi
Saiz kuanzia Mafiat kwenda meta m ni maghorofa tupu,bado Eneo kuanzia Uyole hadi mwanjelwa along Tanzam highway ni hot kwenye ujenzi
Bado CBD kule kote ni [emoji91][emoji91]

Pia waambie Mbeya ina university/Collage/Campus karibu 10 hata Mwanza haina vyuo vingi kiasi hicho

Saizi Mbeya haijadili maghorofa bali tunajadili barabara dual carriage
 
Acha porojo wewe za kipuuzi wewe Mbeya inazidi kuendelea bila sapoti ya kijinga kutoka kwa mtu yeyote.

Kwa Mwanza kuna nini cha maana au spesho ambacho hakipo Mbeya?
 
Hizo ni mbuga tunazungumzia mandhari ya Mjini na outskirts

Ukianza kutaja hifadhi ,hakuna hifadhi mzuri na kali kama Kitulo almaarufu bustani ya Mungu
 
Weka basi kapicha ka huo uzuri . 2014 bado mlikuwa mnadanganywa!!. Du!. Halafu leo jiji zuri, lakini halina barabara, kwa kuwa n abarabara moja. Bado unatetea ni mji mzuri, unamaendeleo. Siku zote watu wa Mbeya ni conservative. hamtaki kuona kwingine namnaamini mnachojua ninyi ndicho ruler, lakini mko nyuma sana. Kisa ni ubaguzi, ukabila, majungu na fitina kwa wageni.

Majungu si mtaji. Afadhali umesema mwenyewe hadi 2014 mlikuwa mnadanganywa kwa sababu ya kukosa kujifunza kwa wengine. Mbeya, kijiji cha ajabu!. Uyole hadi mafiat. Barabara moja kama viazi vya uporoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…