Majiji 5 kwa Uzuri Tanzania

Acha porojo wewe za kipuuzi wewe Mbeya inazidi kuendelea bila sapoti ya kijinga kutoka kwa mtu yeyote.

Kwa Mwanza kuna nini cha maana au spesho ambacho hakipo Mbeya?
Povu la niini? Weka kitu unachosema kinafanya mbeya liwe jiji, licha ya uzuri. Majungu, fitina, wivu na ubaguzi ndiyo rangi yenu halisi!. Usitumie nguvu leta hoja.

Mbeya jiji




Magorofa ya Mbeya



Jiji la Mbeya Wasomaji -












Jengo la Tazara, Hapa chini ndipo pa kupigia picha za Harusi







Angalia International Airport ya Mbeya. Iko kama nyumba ya mmalafyale mmoja - Hii yote ni kutokana ubishi kujifanya wanajua na hawataki maarifa ya mtu asiye wa kwao. Ikumbukwe hii ni airport mpya kabisa na kwa mantiki hiyo hii ni ya kisasa saaana kwa mjibu wa watu wa Mbeya.






 

Mkuu,
1 Dar
2 Mwanza
3 Mbeya
4 Arusha
5 Dodoma
6 Tang

Baada ya miaka kadhaa huko mbele dom itapanda nafasi ya 4 kwa jinsi inavokua kwa kasi, na Ka arusha katashuka hadi nafasi ya 5.
 
Mbeya nilikuwa mwezi wa 4 mwaka huu.

Kama ndio mbeya unayozungumzia Basi sishangai kwanini Viongozi wetu wana akili za hovyo
 
Yani wingi wa maghorofa ndio kigezo Cha mji kuwa mzuri[emoji3][emoji3][emoji3] wanyakyusa mbona ushamba.

Lete facts za city plan.

Sewage stystem
Water service
Fire service
Road network mitaani
Security system mitaani

Sehemu za kuishi yamejaa maduka, machinga kila sehemu, Majumba yamejengwa hovyo full uswazi. Nyumba hazijaungwa na sewage system. Halafu unakuja na sababu ya wingi wa maghorofa. That's pointless to profit your argument.


Miji mingi TANZANIA ni garbage. Narudia Tena tembeeni walau Maputo Mozambique
 
Kweli kabisa wao wanasemea Mbeya ya 2014
Kwa sasa mbeya si kama ya zamani
 
MBEYA BOY HPA NAANDIKA NIKIWA MKOANI TANGA, JIJI LA WASWAHILI
.....Kiufup huwez kufananisha mbeya na Tanga, hizo ni dharau kubwa sana kwa wana mbeya, huy mtu anaeizarau mbeya itakuwa hajatembea, bal alipita pita na bus mpka stend ,ama alkuwa ndan ya daradara kuzunguka zunguka, akajiona bas ameimaliza mbeya, simple, mbeya ina sehem kuu 2, uswazi na non uswaz napoongelea uswaz namaanisha ni yale maeneo ambay weng wagen wanayaona na kuzan wameimaliza mbeya ama yale maeneo ya mjini tuu,, , jiongeze siku panda boda njoo maeneo yanaitwa iwambi mpya, hakika utapagawa, kuna mitaa ambayo kwa tanga kuja kuipata labda wabomoe magofi yao, huku mitaa imepengwa, kuna nyumba zakisasa ambazo tanga nzima sjawahi zion, kuna stail za majumba ambazo wanaoibeza mbeya wakiyaona watashangaa, oke kuna sehem nyngne inaitwa, mayombo nako uku ni part ya iwamb mpya, ni mitaa iliyotulia, lakn ina majengo makari ya gharama na barabara nzur ambazo zikitiwa rami aseee awo wakina dodoma na mwanza watasubir saaana, kiufup mbeya inawashind hao watanga kwa mambo meng kama
....idadi ya watu
.....mzunguko wa pesa
...upatikanaj wa usafr, yaan huku usafr ni mzur ukikosa daladala bas una bajaj ama boda na wote wako vzr Kwanzia kujar muda uku akunaga tartbu zakipuuzi kama za mikoa ya ddom na tanga et yakupangisha folen daladala wakat watu wana haraka na ni wengi huku ni wew tu na ujanja wako, ukifika stend simama then pakia abiria sepaa, hakuna wakukulaum, tofaut na fanga daladala ikipakia abilia kama sio zam yako watakumeza madereva wenzako
...mbeya mji umechangamka mpka vijijin si siku za sikukuu ama kawaida kila siku ni nzur, kiufup ukija mbeya hesabu kuwa umekuja ktk nchi ya watu wa jamuhur ya wabishi ama wafuasi wa rais X- sugu japo si tena mbunge
....mbeya kwa barabara na mataa ya usiku, iko vbaya chanzo kikubwa ni siasa, lait serkal ingelifanyia kaz ili jambo awo wakina mwanza wangesubr saaan
....mbeya biashara imechanganya huku usje fananisha na tanga kwa wavivu huku maduka yachelewa kufungukuwa na yanawai kufungwa, pia baaz ya bidhaa uku tanga hupatiii na ukipata ni bei kubwaa, kwa upande wa mavazi uku tanga hesabu kama UMEPIGWAA" maana huky uswahili mwing watu wa huku weng sio wa fashion na kuvaa sana hivy kwa biashara ya nguo uku ni mambo ya hovyo,,
...maduka pia ni machache hata yaliyopo vtu vng hakuna na kama vipo ni vile local local,
...kwa uswahili wa tanga wametuzid bnaa japo mbeya upo ila si kama wa uku tanga aseee uku hatar yaan
....kwa wanawake warembo uku Tanga ndio kwenyew, mbeya baado saana maana mbeya ni sura za kazii tuu hakuna warembo mbeya, kama wapo wachachee sana watu wa mbeya wanajari saana kuvaa, yaan mmama wa kinyakyusa ama kisafwa mnyime chakula ila sio kitenge doti mpya na kile chakujifunga kichwan,bila kusahau mtandio,....INSHORT MBEYA IMESTAHARABIKA USIFANANISHE NA UPUMBAVU WA KISIWANI
 
πŸ™πŸ™πŸ™ Watu wamepita isanga,ilolo,iganzo,kawetele ukiwa unaelekea chunya na maeneo mengine kama hayo wakajua Mbeya ndo ilivyo.
Huku wamesahau maeneo mengine tuassume hata Uhindini na mengine Dah!
All in all Shukurani mkuu kwa kutetea hilo karibu Desderia kwa Sugu Tufurahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…