Majiji 5 kwa Uzuri Tanzania

Anakuambia sasa kuna magorfa yanajengwa kwenye highway kutoka uyole hadi mwanjelwa, Tan-Zam, highway, eti magorofa yanayojengwa kwenye high way, ambayo ndiyo barabara ya pekee mbeya, eti ndiyo yanafanya mbeyza kuwa jiji zuri. Honestlly watu wa Mbeya ni aibu. Yote haya ni ushamba, na ubaguzi, majungu naukabila ambapo hawataki kabisa kupata mawazo ya watu wasio wa kwao. Viongozi waliokwenda kuongoza Mbeya ni mashahidi. Hupigwa majungu yasiyo ya dunia hii. Mbeya kwa chuki wivu namajungu wanaongoza. Hata mawazo yenye manufaa kwao, yasipptoka kwa mtu wa kwao, wanayakataa haijalishi ni mazuri kiasi gani. Eti wasimpe sifa mjanga!.

Hii ni zaidi ya giza hallo. Unamwona anavyo urgue hapa, hata hataki kukubaliana na facts ili waanze mikakati ya kuboresha. That is how they are.










Kama uanvyoona hii ndiyo skyscrapper inayomeremetesha mji wa mbeya kama ilivyoandikwa hapo. Juu. (Kikwangua anga).
 
Hapana mkuu ukitembea Tanga na Mbeya utaamini kua Mbeya ni zaidi ya Tanga licha ya kutojengeka sana
Port City(Tanga),Port City (Dar).Miji yenye Bandari usifananishe na miji,isio na Bandari.Bandari ya Bahari,ni kiunganishi cha majiji yote Duniani
 
Sasa tanga Ina uzuri gani, Jiji Lina Nyumba za nyasi na tope katikati ya Jiji
Tanga ni Port City,usilinganishe na kwingine,na hakuna nyumba za nyasi,nani kakudanganya?Tembelea Port City,uone utofauti.Wakati wengine wanazinduwa lift ya kwanza,huko Tanga,lift ziko toka 1950.
 
Port City(Tanga).Usifananishe na mji wowote usiokuwa na bahari.Kuwa na Bandari ya Bahari,peke yake ni kuipiku mji yote isiyokuwa na Bahari na Bandari(Port City).
 
Jiji lolote lenye Bandari ya Bahari(Port City)huwezi kulinganisha na mji wowote usiokuwa na Bandari ya Bahari(Port City).Jiji kuwa na Bandari ya Bahari,ni kiunganishi cha majiji yote Duniani.Kama Dar na Tanga,huwezi kulinganisha na kwingineko.Kwasababu hata hayo majiji mengine yasio na bahari,na Bandari,maendeleo yake yanategemea Jiji lenye Bandari ya Bahari(Port City).Kwa kupata mafuta ya magari na mitambo, vifaa vya ujenzi kutoka nje na Bidhaa nyingine kupitia hizo Port City(Tanga na Dar).
 
Tanga ni Port City,usilinganishe na kwingine,na hakuna nyumba za nyasi,nani kakudanganya?Tembelea Port City,uone utofauti.Wakati wengine wanazinduwa lift ya kwanza,huko Tanga,lift ziko toka 1950.
Mwaka 2021 bado unajivunia lift ?

Nimetoka tanga mwaka jana November nimeona Nyumba za nyasi na tope tanga mjini Tena jijini.

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Point yako ni Nini Sasa mbona uko kinyume na mada

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Hahahaha aibu nimeona Mimi.

Majiji yote Tanzania ni trash and Garbage kwasababu City plan ni almost zero

Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Mwanza ni heavy weight City Mbeya ni pazuri ila Lock City ni Noma pia mzunguko wa hela katika ya Mbeya na Mwanza ni tofauti Mwanza lile ziwa linatema sangara si mchezo na kuuzwa viwandani, pia mikoa inayozunguka ina madhahabu ya kutosha na matajiri wote wanaenda kuwekeza Mwanza yaani Geita,Shinyanga, Mara, Simiyu, kiujumla uchumi wa Mbeya ni kilimo cha mpunga, mahindi na viazi mviringo tukisema madini ule mgodi wa Chunya ni wa kawaida tu.
 
Buhongwa hadi mjini Kati kuna barabara ngapi?

Kwangu mimi barabara kama haijawa separated katikati huwezi ita ni dual carriage ni utopolo tuu as usual na huwa hazipendezi.

Ndio maana hata Arusha ina barabara kali kuliko kijiji kikubwa cha Mwanza..Mbeya na Mwanza kuna tofauti gani hasa?

By the way barabara zitajengwa kabla ya 2025
 
Weka picha za current achana na hizo za kitambo za ku google.

Kwani huo uwanja umekamilika? Si bado unaendelea kujengwa? Watu wa Mbeya kamwe hawawezi kulamba matako ya mtu maana kwa Viwango vya maisha tuko juu ya huko kwenu
 
Kama hauko Dom,Dar na Arusha huna cha kuizingua Mbeya.

Mbeya kuna vyuo vikuu na koleji/kampani takribani 10 ,huwezi kuta kwenye kijiji cha Mwanza
 
Weka picha za current achana na hizo za kitambo za ku google.

Kwani huo uwanja umekamilika? Si bado unaendelea kujengwa? Watu wa Mbeya kamwe hawawezi kulamba matako ya mtu maana kwa Viwango vya maisha tuko juu ya huko kwenu
Matusi ya nini? BAsi subiri utakapokamilika ndipo useme Mbeya nzuri kama huo uwanja ndio utafanya uzuri wa jiji la wambeya, wa ongo, wabaguzi na wajunguaji!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…