Elections 2010 Majimbo ambayo yamechukuliwa na upinzani uchaguzi mkuu 2010

we acha unafki, mi ni chadema lakini uongo haufai, hapo juuuuu ulanga mlambiti ameshindwa,kibaha mjini chadema wameshindwa ect:nono:
 
Ufahamu kuwa nguvu ya mbunge mmoja wa CHADEMA/UPINZANI ni sawa na wabunge wa 4 wa CCM kwa hiyo kama CHADEMA ikipata wabunge angalau 20 itakuwa na uwakulishi wenye nguvu ya wabunge 80 mafisadi mpooo
 
Mkuu kwa bahati mbaya Nchimbi amepata ubunge wa Songea Mjini ,he is lucky
 
Wakuu

Mimi naona tuwende kwa mpangilio mzuri ili tujue Majimbo mangapi so far CHADEMA imepata ili iwe rahisi zaidi. Na kadri wakitangaza basi tunaongeza kwenye LIST.

Mimi natoa yafuatayo kisha na wewe ukipata habari basi endeleza mtiririko kama wangu. List hii ni ya Ubunge tu, tuandike yale yanayotanganzwa na Tume si Tetesi plse!!

1. Kigoma Kaskazini
2. Ubungo
3. Biharamulo
4. Meatu
5. Ilemela
6. Mbulu
7. Nyamagana
8. Arusha Mjini
9. Mbeya Mjini
10. Hai
11. Ujiji
12. Mbozi Magharibi
13. Maswa Mashariki
14. Musoma Mjini
15. Maswa Magharibi

tuendeleze hapa....
 
1. Kigoma Kaskazini
2. Ubungo
3. Biharamulo
4. Meatu
5. Ilemela
6. Mbulu
7. Nyamagana
8. Arusha Mjini
9. Mbeya Mjini
10. Hai
11. Ujiji
12. Mbozi Magharibi
13. Maswa Mashariki
14. Musoma Mjini
15. Maswa Magharibi
16. Moshi Mjini
 

nadhani unamaanisha yale yaliyokuwa confirmed tu!
 
Ujiji si limechukuliwa na CCM-Peter Serukamba!!!
17 Ukerewe
 
is karatu comfirmed as chadema constituency?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…