Uchaguzi 2020 Majimbo haya yanatakiwa kwa gharama yoyote na CCM

Tatizo mna upeo mdogo wa kufikiri, mnadhani mkipora hayo majimbo kwa nguvu ndio mmeua upinzani, mlipora wenyeweviti serikali za mtaa Tanzania nzima na upinzani haujafa, mtajaza CCM wote bungeni na serikali ya mtaa na tutawapindua wote na system yote
 
Hayo majimbo yamechezewa na upinzani kwa muda mrefu, Wananchi hatuwataki tena Chadema

Tutawachagua Ccm

CCM hawategemei kura kukaa madarakani kwa sasa, bali wanategemea madaraka ya Magufuli yanayotumika vibaya.
 
Na wakitakaa vurugu nchi mzima wafany huu ujinga

Sent from my TECNO-L8 using JamiiForums mobile app
 
Shime watanzania tusicheze na maisha yetu. Tuipige chini CCM kila mahala. Huyu dikteta akirudi ikulu tena tumekwisha!

Mange Kimambi aliwahi kutuonya kipindi kile kwamba atatushika pabaya. Na kweli tumeumizwa Sana.
Na anarudi fasta.
 
Utabiri wako kuntu kabisa.
Nambari wani is on the rampage.
 
Si kweli bro umedanganya
Haswa
Iringa
Mbeya
Arusha
na
Kigoma

Sina uhakika sana na hio mikoa mingine ila Arusha, nna asilimia kama 58% hivi Gambo atashinda, huyu jamaa huwa anajichanganya sana na wananchi haswa kuna watu wanaokaa maeneo ya stendi mpaka Sakina, Ngaramtoni kote uko jamaa alikua anapenda sana kwenda kwa wananchi, Lema ni mzee wa majukwaa tu, na muda mrefu sana kabla hata Magufuli kuingia madarakani wananchi walikua washamchoka.

Nakumbuka kuna kipindi alirushiwaga makopo ya maji akikatiza maeneo ya Mianzini muda kidogo kama miaka 3 imepita, kuna uwezekano mkubwa sana jamaa asionekane tena kwenye ulimwengu wa siasa
 
Mavyuma wenu ameukubali mziki wa JPM
Your browser is not able to display this video.
 
Majimbo hayo yote CCM hawatapita naona umeandika kupima upepo!
Prof jize atapita

 
Kwanini watanzania hawaelewi maana ya wabunge wa upinzani bungeni kwamba ni wabunge muhimu sana
 
Hayo majimbo yamechezewa na upinzani kwa muda mrefu, Wananchi hatuwataki tena Chadema

Tutawachagua CCM

Ndio maana nchi hii ni masikini. Si muyatenge majimbo hayo na mshughulikie majimbo masikini ya Dodoma, Singida, Tabora, Shinyanga?! Mkiacha kuleta maendeleo katika majimbo haya, mtapata fedha za kuendeleza majimbo ya vijijini. Kwa kuyachukua 2020 mtapaswa kuyaletea maendeleo ili kuthibitisha wapinzani hawakufanya kitu - kwa gharama ya majimbo yasiyo muhimu ya vijijini ambayo miaka yote ni ya CCM!!

Umasikini wa akili ni mbaya kuliko wa kukosa malazi na chakula. Adui ujinga amejikita kwako mkuu.
 
Nchi italipuka kwa furaha. Ee Mungu tusaidie tuokote mateka ya kura za kijani. Ngome zimeanguka, ni mwendo wa kuvuna tu. Wote kwa umoja wetu, watanzania wazalendo tukafanye lile jambo letu asubuhi na mapema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…