Pre GE2025 Majimbo yatakayochukuliwa na CHADEMA 2025 haya hapa!!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Nimepitia siasa za nchi hii, nimeona majimbo yafuatayo yatacjukuliwa na chadema kwenye uchaguzi mkuu 2025.
1. Kisesa
2. Mbeya Mjini
3. Arusha mjini
4. Kongwa
5. Iringa mjini
6. Hai
7. Arusha mjini
8. Ikungi
9. Babati mjini
10. Arumeru
11. Dar yote
12. Moshi mjini
13. Mikumi
14. Simanjiro
15. Chunya na Lupa
16. Kigoma yote
17. Chato
18. Hanang
19. Bukoba mjini
20. Tarime vijijini na Mjini
21. Ilemela
22. Nyamagana
 
Maneno ya faraja.
 
Umelisahau Jimbo la Mbozi anakotokea kijana Lucas Mwashambwa!

Kamanda Mdude_Nyagali anaenda kulichukua hilo Jimbo saa 2 tu asubuhi iwapo tu chama chake cha CHADEMA kitampa nafasi ya kugombea. Na ikitokea akagombea, basi hilo eneo lote la Mbozi atalitetemesha na kukata kabisa kiu ya Wanambozi wote.


Naamini pia huyo kijana Lucas, atabubujikwa sana na machozi ya furaha mara tu baada ya matokeo kutangazwa.
 
Chadema hii hii au kuna chadema nyingine?
 
Kisesa jimbo walishinda cdm 2020

Hata Mpina alishakubali yaishe

Ila JPM akamlazimisha DED Manoza amtangaze Mpina

Miaka yote ilo jimbo hilo ni la Chadema
 
Kwani mnashiriki tena uchaguzi si mlidai hamtashiriki mpaka ipatikane Katiba Mpya!!!? Au imeshapatikana!!!? Nyumbu naona wanakimbizana kwenye mbuga ya Serengeti kuelekea kuvuka mto Mara!!
 
Reactions: Tui
Kwani watashiriki?
 
Chadema itachua majimbo yote kanda ya Nyasa, likiwemo jimbo la nyumbani Kyela, mbunge aliyepo ALILE KAKO
 
Hang mgombea akiwa Magoma Derick hawatoboi
 
H
Hanang mgombea akiwa Magoma Derick hawatoboi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…