Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapo kwenye dar yote mkuu umetudangaya bhanaNimepitia siasa za nchi hii, nimeona majimbo yafuatayo yatacjukuliwa na chadema kwenye uchaguzi mkuu 2025.
1. Kisesa
2. Mbeya Mjini
3. Arusha mjini
4. Kongwa
5. Iringa mjini
6. Hai
7. Arusha mjini
8. Ikungi
9. Babati mjini
10. Arumeru
11. Dar yote
12. Moshi mjini
13. Mikumi
14. Simanjiro
15. Chunya na Lupa
16. Kigoma yote
17. Chato
18. Hanang
19. Bukoba mjini
Umelisahau Jimbo la Mbozi anakotokea kijana Lucas Mwashambwa!
Kamanda Mdude_Nyagali anaenda kulichukua hilo Jimbo saa 2 tu asubuhi iwapo tu chama chake cha CHADEMA kitampa nafasi ya kugombea. Na ikitokea akagombea, basi hilo eneo lote la Mbozi atalitetemesha na kukata kabisa kiu ya Wanambozi wote.
Naamini pia huyo kijana Lucas, atabubujikwa sana na machozi ya furaha mara tu baada ya matokeo kutangazwa.
Hapo juu jamaa kasema DAR NZIMA inachukuliwa na chadomoUbungo, Kinondoni, Kawe?
CHADOMO!Hapo juu jamaa kasema DAR NZIMA inachukuliwa na chadomo
Hii hii inayoitwa 'Tume huru'.Kwa tume gani?
Hakuna cha uhuru hapoHii hii inayoitwa 'Tume huru'.
Hakuna tume huru inayopitisha chama kimoja Nchi nzima.Hii hii inayoitwa 'Tume huru'.
Kipindi inafanya hilo ilikuwa haijawa 'huru'.Hakuna tume huru inayopitisha chama kimoja Nchi nzima.
Toka lini iko huru? Kwanza waipe uhuru katiba ifanye kazi yake.Kipindi inafanya hilo ilikuwa haijawa 'huru'.
Ipo huru' kuanzia Sasa na kuendelea.....usihofuToka lini iko huru? Kwanza waipe uhuru katiba ifanye kazi yake.
Sasa hutakiCHADOMO!
Mpaka wazalendo waukweli, kutoka vyama vyote, watu wasio na vyama, makabila,dini, kanda zote, hata wale walio ndani ya CCM lakini hawakubaliani na mwelekeo wa sasa watakapounganisha nguvu kuipinga CCM.
Hapo ndio itakuwa mwisho wa CCM. Otherwise ni kujidanganya na kujifariji tu.
Ccm ni ya kuondoka mazima au hili Taifa lianguke moja kwa moja kiuchumi...
Jambo ni moja..