Pre GE2025 Majimbo yatakayochukuliwa na CHADEMA 2025 haya hapa!!

Pre GE2025 Majimbo yatakayochukuliwa na CHADEMA 2025 haya hapa!!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Nimepitia siasa za nchi hii, nimeona majimbo yafuatayo yatacjukuliwa na chadema kwenye uchaguzi mkuu 2025.
1. Kisesa
2. Mbeya Mjini
3. Arusha mjini
4. Kongwa
5. Iringa mjini
6. Hai
7. Arusha mjini
8. Ikungi
9. Babati mjini
10. Arumeru
11. Dar yote
12. Moshi mjini
13. Mikumi
14. Simanjiro
15. Chunya na Lupa
16. Kigoma yote
17. Chato
18. Hanang
19. Bukoba mjini
20. Tarime vijijini na Mjini
Bukoba kutakuwa na moambano wa Neema Lugangira na Chief, Byabato amesharusha taulo
 
Tume huru ya mchongo vs kushinda bila kupingwa.....wez wataalamu wa goli la mkono
 
Nimepitia siasa za nchi hii, nimeona majimbo yafuatayo yatacjukuliwa na chadema kwenye uchaguzi mkuu 2025.
1. Kisesa
2. Mbeya Mjini
3. Arusha mjini
4. Kongwa
5. Iringa mjini
6. Hai
7. Arusha mjini
8. Ikungi
9. Babati mjini
10. Arumeru
11. Dar yote
12. Moshi mjini
13. Mikumi
14. Simanjiro
15. Chunya na Lupa
16. Kigoma yote
17. Chato
18. Hanang
19. Bukoba mjini
20. Tarime vijijini na Mjini
Ilemela na Nyamagana bila wizi wa kura haya majimbo yanaenda kwa Wapinzani
 
Nimepitia siasa za nchi hii, nimeona majimbo yafuatayo yatacjukuliwa na chadema kwenye uchaguzi mkuu 2025.
1. Kisesa
2. Mbeya Mjini
3. Arusha mjini
4. Kongwa
5. Iringa mjini
6. Hai
7. Arusha mjini
8. Ikungi
9. Babati mjini
10. Arumeru
11. Dar yote
12. Moshi mjini
13. Mikumi
14. Simanjiro
15. Chunya na Lupa
16. Kigoma yote
17. Chato
18. Hanang
19. Bukoba mjini
20. Tarime vijijini na Mjini
Uchaguzi mkuu ujao 2025 ndio utaamua hatma ya hili taifa. Either kuinuka kwa upya au kuangamia kabisa. Ccm wakiendelea kutawala taifa linaenda kufikia tamati.
 
21. Ilemela
22. Nyamagana
Wabunge wote ni 393
264 wakupigiwa kura.
Upinzani wapate angalau 130. Suali watafika idadi hiyo?
 
Nimepitia siasa za nchi hii, nimeona majimbo yafuatayo yatacjukuliwa na chadema kwenye uchaguzi mkuu 2025.
1. Kisesa
2. Mbeya Mjini
3. Arusha mjini
4. Kongwa
5. Iringa mjini
6. Hai
7. Arusha mjini
8. Ikungi
9. Babati mjini
10. Arumeru
11. Dar yote
12. Moshi mjini
13. Mikumi
14. Simanjiro
15. Chunya na Lupa
16. Kigoma yote
17. Chato
18. Hanang
19. Bukoba mjini
20. Tarime vijijini na Mjini
21. Ilemela
22. Nyamagana
Namba 2 uko sahihi Niko hapa Mbeya naangalia propaganda za Tulia na Chawas wake. Wakisimama jukwaani wanasema vijana msitumike kisiasa yeye kakusanya vijana anakokwenda wanaimba mapambio ya kumsifu hadi huruma na Coster yao na elfu sijui ngapi ngapi!
 
Uchaguzi mkuu ujao 2025 ndio utaamua hatma ya hili taifa. Either kuinuka kwa upya au kuangamia kabisa. Ccm wakiendelea kutawala taifa linaenda kufikia tamati.
Mikononi Kwa mama masikini. Akina Kafulila wanamdanganya. Asiwafuatishe kila kitu watamkataa baadaye. Kamba ,zao zimerefushwa kuyasogelea majani
 
Nimepitia siasa za nchi hii, nimeona majimbo yafuatayo yatacjukuliwa na chadema kwenye uchaguzi mkuu 2025.
1. Kisesa
2. Mbeya Mjini
3. Arusha mjini
4. Kongwa
5. Iringa mjini
6. Hai
7. Arusha mjini
8. Ikungi
9. Babati mjini
10. Arumeru
11. Dar yote
12. Moshi mjini
13. Mikumi
14. Simanjiro
15. Chunya na Lupa
16. Kigoma yote
17. Chato
18. Hanang
19. Bukoba mjini
20. Tarime vijijini na Mjini
21. Ilemela
22. Nyamagana
Endelea kuota
 
Umesahau Jimbo la Mzee wa boom peter Getele na jirani yake wa mpakani mwa ukerewe na bunda
 
Kuna wabunge wa hayo majimbo wenyewe wanajua fika hawarudi bungeni
 
Watanzania kama kweli ni wazalendo na nchi yetu tubadilike na tuwe na siasa za ukweli sio za uchawa na kusifia huku nchi yetu inatafunwa na wachache
 
Nimepitia siasa za nchi hii, nimeona majimbo yafuatayo yatacjukuliwa na chadema kwenye uchaguzi mkuu 2025.
1. Kisesa
2. Mbeya Mjini
3. Arusha mjini
4. Kongwa
5. Iringa mjini
6. Hai
7. Arusha mjini
8. Ikungi
9. Babati mjini
10. Arumeru
11. Dar yote
12. Moshi mjini
13. Mikumi
14. Simanjiro
15. Chunya na Lupa
16. Kigoma yote
17. Chato
18. Hanang
19. Bukoba mjini
20. Tarime vijijini na Mjini
21. Ilemela
22. Nyamagana
Tunawaombea Mungu wachukuwe zaidi, bunge lichangamke, maana imefikia mpaka wanamtumia mpina.
 
TZ Hakuna wapinzani wa kisiasa, hawa waliopo ni mamluki na wasanii wa kisiasa, wao na ccm ni wamoja
Wanaogombania ubunge wote iwe wa CCM au Chadema ni wachumia matumbo yao tu.

Mbunge wa kweli hagombei, analazimishwa na wananchi wa vyama vyote kama vile ilivyokuwa kwa Rostan, Mo au Filikunjombe.
 
Karatu,ngorongoro, kahama morogoro,meatu na mbulu vijijini na Rombo
 
Nimepitia siasa za nchi hii, nimeona majimbo yafuatayo yatacjukuliwa na chadema kwenye uchaguzi mkuu 2025.
1. Kisesa
2. Mbeya Mjini
3. Arusha mjini
4. Kongwa
5. Iringa mjini
6. Hai
7. Arusha mjini
8. Ikungi
9. Babati mjini
10. Arumeru
11. Dar yote
12. Moshi mjini
13. Mikumi
14. Simanjiro
15. Chunya na Lupa
16. Kigoma yote
17. Chato
18. Hanang
19. Bukoba mjini
20. Tarime vijijini na Mjini
21. Ilemela
22. Nyamagana
Chadema mbona imejifia imebakia mitandaoni tu.
 
Back
Top Bottom