Capt Tamar
JF-Expert Member
- Dec 15, 2011
- 12,340
- 16,383
Acha tu ni ku ignore kuanzia hapa, umeniangusha big timeWanajichosha, Mbeya hata wakimsimamisha Tundu Lissu na Luca. Utashangaa Lucas anapita bila kupingwa 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha tu ni ku ignore kuanzia hapa, umeniangusha big timeWanajichosha, Mbeya hata wakimsimamisha Tundu Lissu na Luca. Utashangaa Lucas anapita bila kupingwa 😂😂😂
Sasa kwani ww oxygen mpk niumie?? Mimi nasema ukweli, kwa tume tuliyonayo hata wamuweke mgombea yeyote wa upinzani hawezi kupita. Sasa kosa langu nini??Acha tu ni ku ignore kuanzia hapa, umeniangusha big time
Hebu mnapoongea mambo serious mjaribu kuwa serious kweli, miaka mitano inaekekea kwisha, wakurugenzi walewale walioleta vitimbwi vya kuwanyima wapinzani fomu, kuwaondoa graduate's kwa kigezo Cha kutojua kusoma na kuandika, kufunga ofisi za umma, kutangaza matokeo kama walivyoona wao inafaa! Haohao ndiyo wasimamizi wa uchaguzi mwaka huu (serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwakani), hakuna mabadiliko, mwisho wa siku lawama zote mtazitupa kwa kundi dhaifu la walimu, sababu ndiyo mnaomudu kuwapigia kelele ambazo wao pia wanamudu kuendelea kuzisikiliza (sababu wanauzoefu wa muda mrefu huko makazini kwao kupigiwa kelele na wanafunzi, viongozi wa ngazi zote kianzia watendaji, madiwani, waratibu, viongozi wa halmashauri wote, Tamisemi na Taifa kwa ujumla). Wapinzani wameshindwa kuwaondoa wakurugenzi wasiwe wasimamizi wa uchaguzi hivyo hakuna jipya litatokea, wakara wanasema history is a good teacher.Nimepitia siasa za nchi hii, nimeona majimbo yafuatayo yatacjukuliwa na chadema kwenye uchaguzi mkuu 2025.
1. Kisesa
2. Mbeya Mjini
3. Arusha mjini
4. Kongwa
5. Iringa mjini
6. Hai
7. Arusha mjini
8. Ikungi
9. Babati mjini
10. Arumeru
11. Dar yote
12. Moshi mjini
13. Mikumi
14. Simanjiro
15. Chunya na Lupa
16. Kigoma yote
17. Chato
18. Hanang
19. Bukoba mjini
20. Tarime vijijini na Mjini
Umetumwa?Nimepitia siasa za nchi hii, nimeona majimbo yafuatayo yatacjukuliwa na chadema kwenye uchaguzi mkuu 2025.
1. Kisesa
2. Mbeya Mjini
3. Arusha mjini
4. Kongwa
5. Iringa mjini
6. Hai
7. Arusha mjini
8. Ikungi
9. Babati mjini
10. Arumeru
11. Dar yote
12. Moshi mjini
13. Mikumi
14. Simanjiro
15. Chunya na Lupa
16. Kigoma yote
17. Chato
18. Hanang
19. Bukoba mjini
20. Tarime vijijini na Mjini
Kuwa mpole!!! Kuna ANC inazaliwa TanganyikaUmetumwa?
CHADEMA itaunda vipi Serikali Kwa kushinda majimbo 20 pekee?
CCM haiwezi kushinda Jimbo lolote Nchi hii Kwa Uchaguzi huru na HAKI!!Kuwa mpole!!! Kuna ANC inazaliwa Tanganyika
Orodha ya majimbo ni mengi!! Usiwaamshe walio lala mkuuCCM haiwezi kushinda Jimbo lolote Nchi hii Kwa Uchaguzi huru na HAKI!!
Sasa iweje uongelee majimbo am Ayo wamewahi kushinda before?
Unamaanishi umetosheka na ujinga ulipo sasa na Hali iliyopo?Usiwe unavuta bange mbichi wakati wa jua la utosi ....chadema hawatashinda Jimbo hata Moja Niko palee!
Hayo ni machache sana.Nimepitia siasa za nchi hii, nimeona majimbo yafuatayo yatacjukuliwa na chadema kwenye uchaguzi mkuu 2025.
1. Kisesa
2. Mbeya Mjini
3. Arusha mjini
4. Kongwa
5. Iringa mjini
6. Hai
7. Arusha mjini
8. Ikungi
9. Babati mjini
10. Arumeru
11. Dar yote
12. Moshi mjini
13. Mikumi
14. Simanjiro
15. Chunya na Lupa
16. Kigoma yote
17. Chato
18. Hanang
19. Bukoba mjini
20. Tarime vijijini na Mjini
Upinzani wa kweli siyo kugombana.TZ Hakuna wapinzani wa kisiasa, hawa waliopo ni mamluki na wasanii wa kisiasa, wao na ccm ni wamoja
😂😂🤣🤣🤣Umelisahau Jimbo la Mbozi anakotokea kijana Lucas Mwashambwa!
Kamanda Mdude_Nyagali anaenda kulichukua hilo Jimbo saa 2 tu asubuhi iwapo tu chama chake cha CHADEMA kitampa nafasi ya kugombea. Na ikitokea akagombea, basi hilo eneo lote la Mbozi atalitetemesha na kukata kabisa kiu ya Wanambozi wote.
Naamini pia huyo kijana Lucas, atabubujikwa sana na machozi ya furaha mara tu baada ya matokeo kutangazwa.
HAHAAAA NIMECHEKA KWA SAUTI NAMBA MOJA LUHAGA MPINANimepitia siasa za nchi hii, nimeona majimbo yafuatayo yatacjukuliwa na chadema kwenye uchaguzi mkuu 2025.
1. Kisesa
2. Mbeya Mjini
3. Arusha mjini
4. Kongwa
5. Iringa mjini
6. Hai
7. Arusha mjini
8. Ikungi
9. Babati mjini
10. Arumeru
11. Dar yote
12. Moshi mjini
13. Mikumi
14. Simanjiro
15. Chunya na Lupa
16. Kigoma yote
17. Chato
18. Hanang
19. Bukoba mjini
20. Tarime vijijini na Mjini