Pre GE2025 Majimbo yatakayochukuliwa na CHADEMA 2025 haya hapa!!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mpaka wazalendo waukweli, kutoka vyama vyote, watu wasio na vyama, makabila,dini, kanda zote, hata wale walio ndani ya CCM lakini hawakubaliani na mwelekeo wa sasa watakapounganisha nguvu kuipinga CCM.

Hapo ndio itakuwa mwisho wa CCM. Otherwise ni kujidanganya na kujifariji tu.
 
Hapo kwenye dar yote mkuu umetudangaya bhana
 

Kweli ccm haijawahi kufanya la maana pale mbozi wanyiha na ccm qumamaqe sijui iliwapa nini.

Tunduma chadema nazani watakuwa na mgombea mwengine tofauti na mwakajoka huyu wakimludisha hapiti alipata ndondokela Ila amna kitu umu.
 
Ongezea na Rorya, Ukerewe, Serengeti, kilombero, mlimba.............................................
 
Inashangaza sana
rais ambaye ni mwenyekiti wa ccm kuteua makada wenzake wawe wakurugenzi wa halimashauri za wilaya au majiji na haohao kuwa wasimamizi wa uchaguzi, pia kumtea mkurugenzi wa tume ambaye ndio mtangazaji wa matokeo

alafu wanasiasa wa upinzani wapo kmya kama vile na wao wamekubali iwe hvyo
 

TZ Hakuna wapinzani wa kisiasa, hawa waliopo ni mamluki na wasanii wa kisiasa, wao na ccm ni wamoja
 
Ccm ni ya kuondoka mazima au hili Taifa lianguke moja kwa moja kiuchumi...
Jambo ni moja..

CCM ingeshakufa muda mrefu na kusahaulika

ipo madarakani kwa kutumia vyombo vya dola, tume ya uchaguzi na udhaifu wa raia ktk ufahamu na njaa kali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…