Pre GE2025 Majimbo yatakayochukuliwa na CHADEMA 2025 haya hapa!!

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Acha tu ni ku ignore kuanzia hapa, umeniangusha big time
Sasa kwani ww oxygen mpk niumie?? Mimi nasema ukweli, kwa tume tuliyonayo hata wamuweke mgombea yeyote wa upinzani hawezi kupita. Sasa kosa langu nini??
 
Tarime imeshaondoka hiyo
 

Attachments

  • VID-20240620-WA0002.mp4
    6.9 MB
Hebu mnapoongea mambo serious mjaribu kuwa serious kweli, miaka mitano inaekekea kwisha, wakurugenzi walewale walioleta vitimbwi vya kuwanyima wapinzani fomu, kuwaondoa graduate's kwa kigezo Cha kutojua kusoma na kuandika, kufunga ofisi za umma, kutangaza matokeo kama walivyoona wao inafaa! Haohao ndiyo wasimamizi wa uchaguzi mwaka huu (serikali za mitaa na uchaguzi mkuu mwakani), hakuna mabadiliko, mwisho wa siku lawama zote mtazitupa kwa kundi dhaifu la walimu, sababu ndiyo mnaomudu kuwapigia kelele ambazo wao pia wanamudu kuendelea kuzisikiliza (sababu wanauzoefu wa muda mrefu huko makazini kwao kupigiwa kelele na wanafunzi, viongozi wa ngazi zote kianzia watendaji, madiwani, waratibu, viongozi wa halmashauri wote, Tamisemi na Taifa kwa ujumla). Wapinzani wameshindwa kuwaondoa wakurugenzi wasiwe wasimamizi wa uchaguzi hivyo hakuna jipya litatokea, wakara wanasema history is a good teacher.
 
Umetumwa?

CHADEMA itaunda vipi Serikali Kwa kushinda majimbo 20 pekee?
 
CCM haiwezi kushinda Jimbo lolote Nchi hii Kwa Uchaguzi huru na HAKI!!

Sasa iweje uongelee majimbo am Ayo wamewahi kushinda before?
Orodha ya majimbo ni mengi!! Usiwaamshe walio lala mkuu
 
Usiwe unavuta bange mbichi wakati wa jua la utosi ....chadema hawatashinda Jimbo hata Moja Niko palee!
 
Usiwe unavuta bange mbichi wakati wa jua la utosi ....chadema hawatashinda Jimbo hata Moja Niko palee!
Unamaanishi umetosheka na ujinga ulipo sasa na Hali iliyopo?
Una watoto au una wajukuu wewe?
 
Hayo ni machache sana.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ€£πŸ€£
 
HAHAAAA NIMECHEKA KWA SAUTI NAMBA MOJA LUHAGA MPINA
 
Umesahau Nyamagana, Ukerewe, Bunda mjini, Rorya, Serengeti, Shinyanga Mjini , Momba n.k.
 
CHADEMA hii hii iliyotuonyesha ni kwa namna gani ni watoa na wala rushwa wazuri kwenye chaguzi za Kanda au Chadema gani unaizungumzia?
 
Kuna Tume, kuna polisi kuna walimu.....😹 Hatoki mtu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…