Uchaguzi 2020 Majimbo zaidi ya 11 ya mikoa ya Lindi na Mtwara hatarini kupotea

Hata wangeleta majina yaliyopitishwa na wajumbe bado hali ingekuwa ile ile.wameumizwa sana wale watu na suala la gesi,Unakumbuka lile sakata la "Gesi haitoki".na jambo la pili ni mbaazi na Korosho.haya yaliwapa umasikini kabisa.sidhani kama wana hamu tena kufanya majaribio na maisha yao.Anayeendelewa kuaminika huko ni Nape tuuu.kwa sababu alipaza sauti bila unafiki kabisa
 
Hiyo mikoa inawatu wengi wajinga sn
Umejaribu kuonyesha kiwango chako kikubwa sanaa cha ujinga mkuu,

Kanda au mikoa, ambayo imeweza kutoa Raisi( Amri jeshi mkuu wa Nchi) na waziri mkuu- hao ni viongozi wakubwa sanaa Nchini, unawaona wajinga.....

Ahahahhaa, we umetokea wapi tuone ujanja wako ulipo??
 
Kusikojulikana au porini
 
#NIYEYE2020
 
Kuna magaidi uko alivyo muoga hawezi nusa pua yake uko.
 
Hivi majimbo hayo yanapotea au yanajikomboa kutoka makucha ya ccm???
 
Pumbavu kupotea ndo Nini?
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangukuanzishwa kwa vyama vingi.
 
Uchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani ulishakufa tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
Kweli sana tu! Tundu Lissu hapati wafuasi popote aendapo kwa kuwa upinzani ulishajifia zamani. Anasombesha wanafunzi na wafanyakazi kwa kuwa ah! Upinzani ulishakufa tangu kale. Amezuia ccm isitangazwe kwenye vyombo vya habari kwa kuwa yenyewe ipo hai ila cha kina Lissu kimeshajifia zamani....! Unajitetenya mwenyewe halafu unahisi raha, unacheeeka! Lo! Kweli wajinga ndio waliwao!
 
Hizi Habari zipo toka chaguzi za nyuma mwisho CCM ndio inashinda kwa kishindo. Ukifuatilia siasa za mitandaoni unaweza sema Upinzani unashinda kumbe wananchi bado wanaimani na CCM naona ndugu yangu Membe kaweka mpira kwapani.
 
CCM mchezo wote wamemuachia Mahela...... Ndiyo Jecha wetu mpya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…