Uchaguzi 2020 Majimbo zaidi ya 11 ya mikoa ya Lindi na Mtwara hatarini kupotea

yanapotea yanaenda wapi?? Boko haramu ?? Au??? Matcle wewe

Shabiki mandaZi wew€
 
Na wazee wa weka barabarani wenzao waone watapunguza kura za jiwe.
 
Hizi Habari zipo toka chaguzi za nyuma mwisho CCM ndio inashinda kwa kishindo. Ukifuatilia siasa za mitandaoni unaweza sema Upinzani unashinda kumbe wananchi bado wanaimani na CCM naona ndugu yangu Membe kaweka mpira kwapani.
Mkuu, ccm itashinda tu tena kwa kishindo. Huoni Lissu wao mikutano yake inavyomdodea. Mkutano haufikishi hata watu mia mbili watarajie kushinda? thubutuu..!! Kwa kazi iliyofanywa na serikali mbona ushindi ni asubuhi tu. Mifano michache ni; kufufua shirika la ndege, kuboresha miundombinu, meli za kisasa ziwa Victoria, kuongeza ajira kwa vijana maelfu kwa maelfu bila kusahau kusimamia kwa ufanisi masoko ya mazoa ya wakulima.
Utakumbuka mazao ya korosho, mbaazi na pamba, wakulima wanatanasamu tu. CCM ushindi nje nje[emoji1787][emoji1787][emoji1787]. Anyway kawafariji hivyohivyo.
 
Mtwara vijiijn na Mjini uhakika wa asilimia km zote. Hali si shwari CUF wanapenda kutwaa majimbo hauo kirahisi sana
 


Hayo majimbo hatarini kupotelea wapi??---- kuwa muwazi ndugu.
 
Weee mzee wa watu usimchongee kwa kina Njomba! Atawaambia nini kuhusu koro-show?
 
Acha upumbavu, mtu aliyetishia kupiga shangazi zenu unamwita baba, Magufuli Hana sofa hata moja ya ubaba
 
Hao wabunge 11 wanafidia wabunge waliopitishwa bila kupingwa na Mahera
 
Acha kutukana watu wewe, kwa akili yako unajiona mjanja kuliko watu wa kusini na kuwaita wajinga Sana? Huyo mbwatukaji wenu naona kafundisha wafuasi wake matusi Sasa unatukana mamilioni ya wana kusini.

Sasa wewe unajiona una akili?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…