Hakuna kujadili hapo watu wana watu wao kitambo.Tufanye labda hawakulala wala kusinzia kwahiyo walitumia masaa 48.
Ukigawa kwa idadi ya wagombea, utapata majina 270 yalijadiliwa kila baada ya lisaa limoja...
Kulipana miposho mirefu hali ya kuwa tunawadai koro show zetuTufanye labda hawakulala wala kusinzia kwahiyo walitumia masaa 48.
Ukigawa kwa idadi ya wagombea, utapata majina 270 yalijadiliwa kila baada ya lisaa limoja...
CCM wote walitoa Rushwa badala wafute huo mchakato warudie upya wameamua kuwachuja hao hao wanaccm waliotoa rushwa kwenye kura za maoniTufanye labda hawakulala wala kusinzia kwahiyo walitumia masaa 48.
Ukigawa kwa idadi ya wagombea, utapata majina 270 yalijadiliwa kila baada ya lisaa limoja...
Ya ccm tuachie ccm.. tunawaamini viongozi wetu..
Nyinyi endeleeni kujadiliana mwaka mzima
Wapite kwa Rushwa kisha tuwaachie tu kisa ngoswe?Ya Ngoswe mwachie Ngoswe.
Kuna majimbo wamepita bila kujadili mfano ni jimbo la waziri wa fedha, waziri wa mambo ya nje waziri wa Sheria waziri wa uwekezaji waziri wa Nishati mkazi tokea chato na wengineo marafiki wa mtukufu, wamechambua majimbo machache ambayo mtukufu hana marafiki hukoWametumia application ya upembuzi, mambo yamebadilika teknolojia inakua.
Kuna majimbo wamepita bila kujadili mfano ni jimbo la waziri wa fedha, waziri wa mambo ya nje waziri wa Sheria waziri wa uwekezaji waziri wa Nishati mkazi tokea chato na wengineo marafiki wa mtukufu, wamechambua majimbo machache ambayo mtukufu hana marafiki huko