Uchaguzi 2020 Majina 13,000 ya wagombea yamejadiliwaje kwa siku mbili?

Mnadanganywa nyie ccm masalia. JPM ana majina yake mfukoni. Subirini muone.
 
Tufanye labda hawakulala wala kusinzia kwahiyo walitumia masaa 48.

Ukigawa kwa idadi ya wagombea, utapata majina 270 yalijadiliwa kila baada ya lisaa limoja.

Ukichukua majina 270 ukayagawa kwa dakika 60, utapata majina takriban 5 yalijadiliwa kila baada ya dakika 1.

Hii imenishangaza sana hasa baada ya kusikia Mwenyekiti wa CCM akikazia kwamba wamefanya tathmini ya jina kwa jina kwa muda wa siku mbili na Hivyo kuwa wamepitia majina yote 13000........
Naomba kuelimishwa iliwezekanaje, isije ikawa ni kudhulumu ushindi wa wale wasiowapenda

Wana CCM tulio 'Makini' na 'tunaojielewa' pia tukiwa tunawashauri tena kwa nia njema tu na kwa 'Mapenzi' mema ya Chama chetu Wao pamoja na 'Wanafiki' waliowakumbatia huwa wanatuona akina GENTAMYCINE ni 'Wapinzani' au ni Mawakala wa 'Beberu' nchini. Hivi kwa 'Akili' ya kawaida tu CCM ingesema tokea mapema kuwa wale watakaoongoza katika Kura za Maoni ndiyo Wagombee tungesumbuka namna hii leo?

Na Kinachonipandisha zaidi 'Hasira' Mimi ni huu 'Unafiki' mkubwa uliopo ndani ya CCM yangu. Huku nje tunawaambia Wananchi kuwa Chama chetu kinapinga 'Rushwa' wakati humo humo ndani ya Chama na hadi Serikalini kuna Watu wanapata 'Teuzi' zao za 'Vyeo' vyao mbalimbali kwa kupitia kwa 'Waandamizi' fulani ambao wako karibu na 'Mteuwaji' Mkuu Mwenyewe.

CCM tunasema kuwa tunachukia Vitendo vya 'Rushwa' hivi ni Mtanzania gani 'Makini' ambaye leo hii hajui kuwa kuna Kipindi 'Wapinzani' walikuwa 'Wananunuliwa' kutokana na 'Amri' ya fulani ( Mkubwa Sana ) akishirikiana na Mkuu wa Genge lake la Mafia na Wahuni Mkoani Dar es Salaam ambaye sasa 'anawasumbua' tu 'Wajumbe' hadi kwa 'Kuwatishia' huko Kigamboni alipo Kimakazi baada ya Kutoka Sea Cliff kule Masaki?

CCM mliopo huku Dodoma acheni 'Kutudanganya' na huyu Mleta Mada amehoji Swali la Msingi na lenye Mantiki Kubwa sana tu kwa Watu wenye Akili Kubwa na kama ningekuwa na uwezo wa 'Kutunuku' Shahada ya 'Heshima' basi 'ningemtunuku' rasmi kwani ameonyesha kuwa hata katika 'Ubongo' wake kumejaa 'Madini' tupu ni 'Mwerevu' na 'Mahiri' pia. GENTAMYCINE ninaungana na kukubaliana nae tena kwa 100% zote.

Mnajifanya Kuchukia 'Rushwa' na Kufuata 'Misingi' ya Kichama wakati ndani yake ( humo humo ) katika Kamati zenu kuna 'Double Standards' nyingi tu ila 'mnazificha' kwa Wanachama na Watanzania ili muonekane mna 'Misimamo' wakati kumbe ni 'Wanafiki' watupu tu. Najua kwa hii 'post' yangu 'mtanichukia' sana tu ila katika Maisha yangu na hadi Kufa Kwangu Msamiati wa Uwongo, Unafiki na Kujipendekeza haupo.

Na nimezipata za 'chini chini' kuwa CCM mmeweka huu 'Utaratibu' ili Kipindi hiki wale wenye Hela 'Wahonge' Mtajirike na Chama Kitajirike vile vile.
 
Fiction (fix) tu.
 
ushaambiwa mwenyekiti anamajina yake mfukoni.
tufanye walijadili kwa majimbo 270
Kila jimbo dakika 10, then 270x 10 ni dakika 2,700 gawa kwa dakika 60 (1Hr) ni 45Hrs
45Hrs ni sawa na siku mbili bila kulala mfululizo.
wamewazaje?
kwa MACCM.
hakuna kinachoshindikana.

Hapo hakuna njia ya haki inayoweza ikatumika, labda kama ilitumika hii ya majina mfukoni n sawa
 
Tufanye labda hawakulala wala kusinzia kwahiyo walitumia masaa 48.

Ukigawa kwa idadi ya wagombea, utapata majina 270 yalijadiliwa kila baada ya lisaa limoja.

Ukichukua majina 270 ukayagawa kwa dakika 60, utapata majina takriban 5 yalijadiliwa kila baada ya dakika 1.

Hii imenishangaza sana hasa baada ya kusikia Mwenyekiti wa CCM akikazia kwamba wamefanya tathmini ya jina kwa jina kwa muda wa siku mbili na Hivyo kuwa wamepitia majina yote 13000........
Naomba kuelimishwa iliwezekanaje, isije ikawa ni kudhulumu ushindi wa wale wasiowapenda
Wanapokea mapendekezo ya vikao vya chini, wanayajadili na kutolea maamuzi. Si lazima mfano sehemu waliotia nia watu 90 wakajadiliwe wote, sana ni majina mawili mpaka matano ndiyo yatajadiliwa. Kuna uwezekanao mfano kuacha 1 - 89 ukaangaika na mtu aliyeshika nafasi ya 90 kati ya watia nia 90?
 
Mchakato huo ni gelesha tupu report za Takukuru zimepuuzwa mawaziri karibia wote watarejeshwa majimboni
 
Tufanye labda hawakulala wala kusinzia kwahiyo walitumia masaa 48.

Ukigawa kwa idadi ya wagombea, utapata majina 270 yalijadiliwa kila baada ya lisaa limoja.

Ukichukua majina 270 ukayagawa kwa dakika 60, utapata majina takriban 5 yalijadiliwa kila baada ya dakika 1.

Hii imenishangaza sana hasa baada ya kusikia Mwenyekiti wa CCM akikazia kwamba wamefanya tathmini ya jina kwa jina kwa muda wa siku mbili na Hivyo kuwa wamepitia majina yote 13000.

Naomba kuelimishwa iliwezekanaje, isije ikawa ni kudhulumu ushindi wa wale wasiowapenda
Usanii tupu
 
Wanapokea mapendekezo ya vikao vya chini, wanayajadili na kutolea maamuzi. Si lazima mfano sehemu waliotia nia watu 90 wakajadiliwe wote, sana ni majina mawili mpaka matano ndiyo yatajadiliwa. Kuna uwezekanao mfano kuacha 1 - 89 ukaangaika na mtu aliyeshika nafasi ya 90 kati ya watia nia 90?
Nimekuelewa vizuri sana lkn
hii tafsiri yake ni kuwa mwenyekiti kaongopa hadharani, Maana yeye ndie aliesema na video ipo online, kwamba wamefanya kazi ya kutathmini majina yote 13000 kwa siku mbili na wamepitia jina baada ya jina.... au labda aliteleza
 
Hapo hakuna njia ya haki inayoweza ikatumika, labda kama ilitumika hii ya majina mfukoni n sawa
Tatizo la CCM wamewadharau watanzania kwa kiwango cha kutisha hawajui kuwa watanzania wana uwezo mkubwa zaidi yao
 
Nimekuelewa vizuri sana lkn
hii tafsiri yake ni kuwa mwenyekiti kaongopa hadharani, Maana yeye ndie aliesema na video ipo online, kwamba wamefanya kazi ya kutathmini majina yote 13000 kwa siku mbili na wamepitia jina baada ya jina.... au labda aliteleza
Uchaguzi ni mchakato kuanzia kuchukuwa Fomu jimboni, kura za maone, kama za siasa wilaya na mkoa hatima kamati kuu na Halmashauri kuu.
 
Tufanye labda hawakulala wala kusinzia kwahiyo walitumia masaa 48.

Ukigawa kwa idadi ya wagombea, utapata majina 270 yalijadiliwa kila baada ya lisaa limoja.

Ukichukua majina 270 ukayagawa kwa dakika 60, utapata majina takriban 5 yalijadiliwa kila baada ya dakika 1.

Hii imenishangaza sana hasa baada ya kusikia Mwenyekiti wa CCM akikazia kwamba wamefanya tathmini ya jina kwa jina kwa muda wa siku mbili na Hivyo kuwa wamepitia majina yote 13000.

Naomba kuelimishwa iliwezekanaje, isije ikawa ni kudhulumu ushindi wa wale wasiowapenda
Wajumbe watakuwa genius kwenye kuchunguza makada wa CCM,ama wanatumia software
 
Wana CCM tulio 'Makini' na 'tunaojielewa' pia tukiwa tunawashauri tena kwa nia njema tu na kwa 'Mapenzi' mema ya Chama chetu Wao pamoja na 'Wanafiki' waliowakumbatia huwa wanatuona akina GENTAMYCINE ni 'Wapinzani' au ni Mawakala wa 'Beberu' nchini. Hivi kwa 'Akili' ya kawaida tu CCM ingesema tokea mapema kuwa wale watakaoongoza katika Kura za Maoni ndiyo Wagombee tungesumbuka namna hii leo?

Na Kinachonipandisha zaidi 'Hasira' Mimi ni huu 'Unafiki' mkubwa uliopo ndani ya CCM yangu. Huku nje tunawaambia Wananchi kuwa Chama chetu kinapinga 'Rushwa' wakati humo humo ndani ya Chama na hadi Serikalini kuna Watu wanapata 'Teuzi' zao za 'Vyeo' vyao mbalimbali kwa kupitia kwa 'Waandamizi' fulani ambao wako karibu na 'Mteuwaji' Mkuu Mwenyewe.

CCM tunasema kuwa tunachukia Vitendo vya 'Rushwa' hivi ni Mtanzania gani 'Makini' ambaye leo hii hajui kuwa kuna Kipindi 'Wapinzani' walikuwa 'Wananunuliwa' kutokana na 'Amri' ya fulani ( Mkubwa Sana ) akishirikiana na Mkuu wa Genge lake la Mafia na Wahuni Mkoani Dar es Salaam ambaye sasa 'anawasumbua' tu 'Wajumbe' hadi kwa 'Kuwatishia' huko Kigamboni alipo Kimakazi baada ya Kutoka Sea Cliff kule Masaki?

CCM mliopo huku Dodoma acheni 'Kutudanganya' na huyu Mleta Mada amehoji Swali la Msingi na lenye Mantiki Kubwa sana tu kwa Watu wenye Akili Kubwa na kama ningekuwa na uwezo wa 'Kutunuku' Shahada ya 'Heshima' basi 'ningemtunuku' rasmi kwani ameonyesha kuwa hata katika 'Ubongo' wake kumejaa 'Madini' tupu ni 'Mwerevu' na 'Mahiri' pia. GENTAMYCINE ninaungana na kukubaliana nae tena kwa 100% zote.

Mnajifanya Kuchukia 'Rushwa' na Kufuata 'Misingi' ya Kichama wakati ndani yake ( humo humo ) katika Kamati zenu kuna 'Double Standards' nyingi tu ila 'mnazificha' kwa Wanachama na Watanzania ili muonekane mna 'Misimamo' wakati kumbe ni 'Wanafiki' watupu tu. Najua kwa hii 'post' yangu 'mtanichukia' sana tu ila katika Maisha yangu na hadi Kufa Kwangu Msamiati wa Uwongo, Unafiki na Kujipendekeza haupo.

Na nimezipata za 'chini chini' kuwa CCM mmeweka huu 'Utaratibu' ili Kipindi hiki wale wenye Hela 'Wahonge' Mtajirike na Chama Kitajirike vile vile.
Duh!
 
Uongo mtupu, sema Mwenyekiti kwa vile hawezi kuulizwa swali na mtu yoyote na chama ni mali yake binafsi
 
Back
Top Bottom