Uchaguzi 2020 Majina 13,000 ya wagombea yamejadiliwaje kwa siku mbili?

Baba keegan wanamkata tena, mtu akikuita Mjumbe kuwa makiNi
 
Mbona Utumishi wanasahisha majina 45,000 siku 2
Utumishi kama Utumishi kwa uelewa wangu wa kiwango cha rami, hawana uwezo wakusahihisha izo paper zote wao kama wao....... ndio Maana huwa wanaingia mikataba na vyuo flani flani kuifanya iyo kazi, ivyo vyuo tayari vina resources ya kuifanya iyo kazi ktk muda huo, huwezi fananisha na hii ya NEC.
 
Tufanye labda hawakulala wala kusinzia kwahiyo walitumia masaa 48.

Ukigawa kwa idadi ya wagombea, utapata majina 270 yalijadiliwa kila baada ya lisaa limoja.

Ukichukua majina 270 ukayagawa kwa dakika 60, utapata majina takriban 5 yalijadiliwa kila baada ya dakika 1.

Hii imenishangaza sana hasa baada ya kusikia Mwenyekiti wa CCM akikazia kwamba wamefanya tathmini ya jina kwa jina kwa muda wa siku mbili na Hivyo kuwa wamepitia majina yote 13000.

Naomba kuelimishwa iliwezekanaje, isije ikawa ni kudhulumu ushindi wa wale wasiowapenda
Yaaah ni kweli kwa malezi yetu Watanzania, SIYO rahisi kulielewa hili. Suala la kuchapa kazi ni weledi na kujitoa. Hakuna lisilowezekana chini ya jua na hasa ukitilia maani kuwa majina hayo yalishapita kwenye vikao vitatu au vine vya awali kwa hiyo ALL THE SPADE WORK HAD BEEN DONE na hivyo vikao. Sana vikao hivi viwili - cha CC na cha NEC vilikuwa aidha vina kubaliana na mapendekezo au vinayakataa PERIOD.
 
kwakusema ivo ni kwamb taharifa ya Mwenyekiti wa CCM haikuwa sawa?? Maana yy ndiye aliyetmka kwamba wameyathmini majina 13000 kwa muda wa siku mbili, pia walipitia jina kwa jina
 
Sawa kwani huwezi kupitia makabrasha na kusema hilo sawa, hilo sawa, lete jingine, hilo hapana hilo hapana n.k. Mbona ni rahisi tu.
 
Tufanye labda hawakulala wala kusinzia kwahiyo walitumia masaa 48.

Ukigawa kwa idadi ya wagombea, utapata majina 270 yalijadiliwa kila baada ya lisaa limoja.

Ukichukua majina 270 ukayagawa kwa dakika 60, utapata majina takriban 5 yalijadiliwa kila baada ya dakika 1.

Hii imenishangaza sana hasa baada ya kusikia Mwenyekiti wa CCM akikazia kwamba wamefanya tathmini ya jina kwa jina kwa muda wa siku mbili na Hivyo kuwa wamepitia majina yote 13000.

Naomba kuelimishwa iliwezekanaje, isije ikawa ni kudhulumu ushindi wa wale wasiowapenda
Hoja yako ni ipi?
Mtoto ndogo kuchungulia nyumba za watu hivyo ni otovu wa nidhamu
 
Tufanye labda hawakulala wala kusinzia kwahiyo walitumia masaa 48.

Ukigawa kwa idadi ya wagombea, utapata majina 270 yalijadiliwa kila baada ya lisaa limoja.

Ukichukua majina 270 ukayagawa kwa dakika 60, utapata majina takriban 5 yalijadiliwa kila baada ya dakika 1.

Hii imenishangaza sana hasa baada ya kusikia Mwenyekiti wa CCM akikazia kwamba wamefanya tathmini ya jina kwa jina kwa muda wa siku mbili na Hivyo kuwa wamepitia majina yote 13000.

Naomba kuelimishwa iliwezekanaje, isije ikawa ni kudhulumu ushindi wa wale wasiowapenda
Yani unamuamini! Pole sana kwa kuchelewa kumjua.
 
Kila kitu kina miongozo yake na kanuni zake mleta mada umeongea kama motivation 🔊 kuwa<ufugaji wa kuku unalipa Anza na kuku watano baada ya miez sita utakuwa na vifaranga hamsini baada ya miez sita tena utakuwa na kuku mia tatu Ila ikifika miaka miwili utakuwa na Zaid ya kuku buku mbili WAACHE CCM kwan walishatengeneza miongozo Yao kabla bunge kuvunjwa hvyo kuna wanaccm walikuwa wanajuwa kabisa mie bunge hili ndo mwisho
 
Mimi n mpiga kura tu, haipendezi kunijibu kirahisi sana, kabla sijapiga kura yangu ni lzma nitambue sifa za ninayempigia kura pamoja na Chama chake, Siwezi kupuuza mchakato wa upatikanaji wake ktk Chama chake
 
hiyo hawezi kua kufanya tathmini
Ni kufanya nini!? Scientifically hyio ndiyo tathmini na evaluation ambayo inakufikisha kwenye kufanya maamuzi sahihi. Huwezi kusoma mafaili hayo yote detail buy detail yaani mtake kujua (kwenye kikao cha maamuzi) vitu kama wasifu na mahali pa kuzaliwa pa kila MTI NIA, no a summary kutoka Sekretariati na background ya kila mjumbe kwa MTIA NIA ndiyo basis ya maamuzi
 
Mimi n mpiga kura tu, haipendezi kunijibu kirahisi sana, kabla sijapiga kura yangu ni lzma nitambue sifa za ninayempigia kura pamoja na Chama chake, Siwezi kupuuza mchakato wa upatikanaji wake ktk Chama chake
Kumbe huwa unachagua chama Pole jifunze kumjua mgombea tabia yake binafsi na familia yake watu waliomzunguka pia sikiliza Sera zake Zina msaada gani kwako alafu oanisha wasifu wake na sera zake ukimaliza hivyo Nenda katumie wajibu wako kwenye karatasi ya kura
 
Tufanye labda hawakulala wala kusinzia kwahiyo walitumia masaa 48.

Ukigawa kwa idadi ya wagombea, utapata majina 270 yalijadiliwa kila baada ya lisaa limoja.

Ukichukua majina 270 ukayagawa kwa dakika 60, utapata majina takriban 5 yalijadiliwa kila baada ya dakika 1.

Hii imenishangaza sana hasa baada ya kusikia Mwenyekiti wa CCM akikazia kwamba wamefanya tathmini ya jina kwa jina kwa muda wa siku mbili na Hivyo kuwa wamepitia majina yote 13000.

Naomba kuelimishwa iliwezekanaje, isije ikawa ni kudhulumu ushindi wa wale wasiowapenda
Sio 13k ni 10367... Acha mihemko naya chama cha watu.....
 
Ni kufanya nini!? Scientifically hyio ndiyo tathmini na evaluation ambayo inakufikisha kwenye kufanya maamuzi sahihi. Huwezi kusoma mafaili hayo yote detail buy detail yaani mtake kujua (kwenye kikao cha maamuzi) vitu kama wasifu na mahali pa kuzaliwa pa kila MTI NIA, no a summary kutoka Sekretariati na background ya kila mjumbe kwa MTIA NIA ndiyo basis ya maamuzi
Hilo sawa, Hilo hapana, lete lingine Maana yake nini??
Sababu zinazokufanya uweze kusema Ilo sawa Ilo hapana, zinatokana na tathmini, kusema sawa na hapana ni baada ya kuwa na sababu zilizotokana na tathmini.....
 
Tathmini na uchambuzi vilishafanywa na vikao hivyo viwili au vitatu nilivyosema. Mbona huelewi?Hivi viwili vya mwisho - CC na NEC ni vya maamuzi following recommendations and suggestions from the previous Party sittings. Sijui nimeeleweka?
 
kwakusema ivo ni kwamb taharifa ya Mwenyekiti wa CCM haikuwa sawa?? Maana yy ndiye aliyetmka kwamba wameyathmini majina 13000 kwa muda wa siku mbili, pia walipitia jina kwa jina ktk izo siku mbili.
 
Tufanye labda hawakulala wala kusinzia kwahiyo walitumia masaa 48.

Ukigawa kwa idadi ya wagombea, utapata majina 270 yalijadiliwa kila baada ya lisaa limoja.

Ukichukua majina 270 ukayagawa kwa dakika 60, utapata majina takriban 5 yalijadiliwa kila baada ya dakika 1.

Hii imenishangaza sana hasa baada ya kusikia Mwenyekiti wa CCM akikazia kwamba wamefanya tathmini ya jina kwa jina kwa muda wa siku mbili na Hivyo kuwa wamepitia majina yote 13000.

Naomba kuelimishwa iliwezekanaje, isije ikawa ni kudhulumu ushindi wa wale wasiowapenda
Rahisi, haihitaji kisomo wala mtu ameamkaje, majina ya Watanzania wote yanawatambulisha maeneo watokako. Kwa kuangalia tu orodha ya majina mbele ya wajumbe bila kuangalia matokeo ya kura za maoni watapatikana wanaotakiwa maana Wagogo wana majina yao, Wasukuma wana yao, vivyo hivyo Wanyakyusa na Wahehe, Wakurya nk. Hiyo ndiyo sababu ya kuamuru majina yote ya waliopigiwa kura lazima yapelekwe Dodoma kwa uteuzi wa mwisho. Mwenzetu Pascal Mayalla na kura zake 2 mara hii ana nafasi kubwa ya kuondokewa na njaa.
 
kwakusema ivo ni kwamb taharifa ya Mwenyekiti wa CCM haikuwa sawa?? Maana yy ndiye aliyetmka kwamba wameyathmini majina 13000 kwa muda wa siku mbili, pia walipitia jina kwa jina
10367 sio namba yako hyo unayosema
 
Kama hujui ni bora ukakaa kimya kuficha upumbavu wako
 
Back
Top Bottom