Uchaguzi 2020 Majina 13,000 ya wagombea yamejadiliwaje kwa siku mbili?

Hivi tutaweza kuelezana njia na utaratibu uliotumika hapa?
Ngoja msemaji atatwambia bwana....imekuwakuwaje?
 
Mkuu hawa ni mabingwa wa sanaa za maonyesho .
 
Hapa wanatumia system ya Computerized ku perform sifa na vigezo zilizo kuwa setting.
 
Sidhani kama walikuwa wanachambua watia nia wote bt mi nahc ni Ile top 3 ndo walikuwa wanajadili Kwahyo syo watu wengi kihvyo kushndwa kuchambua ndani ya siku mbili pia tambua kuna majimbo mshndi akitajwa tu lazma apite huyo huyo. na hakuna haja ya kuchambua wengine
 
Akili ya kawaida inapaswa ikuambie wanaojadiliwa ni wale watatu wa mwanzo kwenye maoni. Wakionekana wanakosa sifa wote watatu wanaenda kwenye 4-6..n.k.. Lakini akipatikana amabaye ana sifa zaidi ya wengine kati wa tatu wa mwanzo, huyo ndo anapita. Ripoti ya kamati ya maadili hutumika hapa katika kujua nanai ana sifa zaidi.
 
Hata kwenye kuteua mawaziri anasemaga alikuwa halali!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…